Bongo Trust
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 253
- 247
WAKUU NINA MILIKI COMPUTER (DESKTOP) YA KAWAIDA TU, RAM GB 3 HDD GB 500 ILA IPO TU HAINA KAZI NAWEZAJE KUITUMIA KUINGIZA KIPATO MAZINGIRA YA MJINI?
Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya stationary, na library, pia nina uwezo waku edit video,(video production), kiufupi napenda sana kutumia computer na kama kuna idea ya kuhusu computer ambayo ninaona ina matter huwa nafanya juu chini kujifunza,
Nilisha kuwa vizuri hapo mwanzo nilijenga msingi ukakaa sawa ila mambo ya ujana siku za hivi karibuni yakanifanya nipoteze mtaji, akili inakuja kunikaa sawa najikuta nilicho baki nacho ni hii computer tu.