Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,551
- 4,454
Hiyo ni Account maalumu ya Matangazo na Biashara ambayo wewe unailipia.Sasa kazi yako ni kuweka matangazo wao wanawafikia wateja.Kwa mfano ukiweka tangazo ukakubali kwa wiki $3 kwa siku linaweza wafikia wateja 200-300.Kadiri utavyobadli malipo ndivyo tangazo linavyozidi kupaa zaidi Duniani.Fafanua hii mkuu
Kikubwa ni uaminifu kwa wenye bidhaa.Ila ukipata connection za matangazo ya Akina Assas Basi ndani ya wiki Manara,kitenge akina Oscar watalala njaa.Matokeo watayaona.Facebook ina mamilioni ya watumiaji kuliko page zao.Nafikiri umenipata Mkuu.