BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Kuna upigaji nini?Wapelekee hiyo link ukoo wako wapate hizo hela za bure!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna upigaji nini?Wapelekee hiyo link ukoo wako wapate hizo hela za bure!
Nashukuru kwa ushauri mkuuFanya kazi online Kwa mtaji wa muda wako, ushawishi na bandle lako
Jaribu hii [emoji1541][emoji1541] aihitaji kuwekeza mtaji zaidi ya kushawishi watu kujiunga na kusambaza link
Utaingiza pesa Kila siku na % Kwa Kila atakayejiunga kupitia link hii
Pesa yako itaingia moja Kwa moja kwenye simu Kwa kulingana na namba yako utakayotaka ipokee pesa
Fata link hii kujiunga
Mbona unacheka mkuu [emoji16][emoji28][emoji28]
WAKUU NINA MILIKI COMPUTER (DESKTOP) YA KAWAIDA TU, RAM GB 3 HDD GB 500 ILA IPO TU HAINA KAZI NAWEZAJE KUITUMIA KUINGIZA KIPATO MAZINGIRA YA MJINI?
Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya stationary, na library, pia nina uwezo waku edit video,(video production), kiufupi napenda sana kutumia computer na kama kuna idea ya kuhusu computer ambayo ninaona ina matter huwa nafanya juu chini kujifunza,
Nilisha kuwa vizuri hapo mwanzo nilijenga msingi ukakaa sawa ila mambo ya ujana siku za hivi karibuni yakanifanya nipoteze mtaji, akili inakuja kunikaa sawa najikuta nilicho baki nacho ni hii computer tu.
Nimeshaanza kuchukua hatua ushauri niliopewa ila naendelea kupokea maarifa zaidi kwa wadau wanao endelea kuchangiaMkuu Bado hujafika muafaka wa wazo la computer?
Nashukuru mkuu nitalizingatiafanya trading
Mbona unacheka mkuu [emoji16]
Nashukuru sana mkuu [emoji123][emoji120][emoji120]Tumia kwa kile kilichokufanya uinunue, anza upya, achana na mambo ya ujana. Tafuta pesa nunua printer ya Epson, simu yenye kamera kuanzia 20mp, location nzuri, gonga passport size.
Ninakuombea ufanikiwe kwenye hili.
[emoji38][emoji38]Natumiaje kompyuta kupata kipato?
Mkuu kuna kitu nimetafakari sijapata jibu, hivi kwani kuna tofauti gani kwenye kutumia simu na kutumia computer kufungua hii page, ilihali Facebook ni ile ileNasubiri jibuwww.jamiiforums.com
Nacheka hii reply [emoji1][emoji16]
🤣🤣Ngoja wazee wa kurusha season waje kukujaza upepo
Naomba nikuulize studio ya kurusha season uliwezaje kwa GB 500, mbona ni ndogo sana kwa kuhifadhi vitu. Maana hata mimi nimeshindwa kufungua studio kutokana na sababu mbali mbali ila mambo yaliyomo kwenye computer yako hata mimi ndo hayo hayo, pia me nimefanya kazi na wahindi maswala ya photo printing na Adobe nilikuwa naweza kuitumia vizuri ingawa nina miaka sijashirikisha kwenye huo utundu.Nilifilisiwa kaka saivi sina mtaji wa kufungulia ofisi ndio kisanga kilipo, ila nataka nianze na vimishe vidogodogo vya kawaida mpaka nirudi juu.
Kuna mwamba hapo juu kanishauri niweke meza nje ya ofisi ya mtu nadhani hio itakuwa poa kwangu.
Na mimi napenda sana hii je naweza kua mwanafunz wako?Njoo nikufundishe kuflash simu huo ujuzi utautumia kufanya kazi popote
Nina external HDD ya Tb 1 hio ndio nilijaza movie humu kwenye internal HDD niliweka nyimbo zaidi na movie chacheNaomba nikuulize studio ya kurusha season uliwezaje kwa GB 500, mbona ni ndogo sana kwa kuhifadhi vitu. Maana hata mimi nimeshindwa kufungua studio kutokana na sababu mbali mbali ila mambo yaliyomo kwenye computer yako hata mimi ndo hayo hayo, pia me nimefanya kazi na wahindi maswala ya photo printing na Adobe nilikuwa naweza kuitumia vizuri ingawa nina miaka sijashirikisha kwenye huo utundu.
Nimekupata vizuri mkuu na program niliyo kuwa napendelea kuitumia ni Wonder share filmora.Kuna idea umepewa kurusha season na kuanza picha au ku edit hizo videos. Naongezea hapo kweny video editing.
Unajua kuedit haswa au ndo una idea? Na ubatumia software gani vizuri, ni Movavi, Da Vinci, Filmora, Premiere Pro au Vegas Studio?
Kama hufahamu editing kutumia any ya hizo nimetaja, jipe walau mwezi wa useriois kujifunza kiundani software moja wapo na uive.
Then jaribu chukua videos za kawaida hata kwa simu na ku edit ukiweka manjonjo yako yote, composition, text animation, editing yenyewe, color grading, sfx ma transitions na kila kitu . Vuwe vuvideo vufupi walau dakika 15 hivi. Tengeneza vutatu hadi vutana hivi.
Hatua ya mwisho, kuna watu wana exposure tayari ikija swala la kushoot hizo video za harusi, sijui kapu la mama, nk karibia kila sehemu tz na wanalipwa hela ya maana. Japo kazi zao ni utumbo. Wafuate hao kama kumi, waoneshe video zako na waambie unaweza kuwa una waeditia na kuwapa wao waburn tu hizo mikanda kwa cd na kuwapa clients wao.
Kama umekwiva na edits zako zinaonekana ni pro kuwazidi(maana wengi hutambaa kwa jina lakini skills ni zero), ukimtajia offer ya bei yako hato bargain sana na kati ya hao kumi utakaofuata, watu 5 lazima wakubali. Usikubali kufanyia kazi ofisin kwao. Ni wanakupa videos una edit, wanakulipa unawapa , kwa flash.
Nimefanya hizo nambo za ku edit mikanda ya harusi saana enzi hizo na lazima kazi upate karibia kila week. Price ilianzaga nacharge laki na nusu baadae nikapandisha kwenda laki mbili na elf 45 per video na bafo walikuwa wanatoa hela. Then nka upgrade comouter yenyewe, na kuendelea kuboost maujuzi etc, hadi nlipokuja acha kujikita na mambo mengine.
Hio ni bora kuliko ku burn.movie kwa buku buku kwa jua la stend japo nayo nimefanya miaka hiyo.[emoji1783]
Kila lakheri.
Karibu boss [emoji120][emoji120]Nitarudi baadae kidogo