Bongo Trust
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 253
- 247
[emoji23][emoji23]Ngoja wazee wa kurusha season waje kukujaza upepo
Nashukuru kwa ushauri mkuuFungua stationary.
Bonge la idea mtu wangu, shukran sanaTafuta meza
Jitahidi utafute sabufa
Tafuta eneo kama stend au eneo lenye mkusanyiko mkubwa
Anza kurusha nyimbo
Unganisha Whatsapp
Nk! Huwezi kukosa 10k per Day
Usijari karibu Sana.Bonge la idea mtu wangu, shukran sana
[emoji120][emoji120]Usijari karibu Sana.
Nasubiri mtoa mada kijibu oisha na mimi nizungumze na wewe pengine muongozo wako utanifungua macho pia.Umesema unamiliki kompyuta lakini hujasema unafahamu nini kuhusu software zilizomo kwenye kompyuta yako. Nafikiri ukiweka wazi kilichopo kichwani kwako utasaidiwa zaidi.
Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya stationary, na library, pia nina uwezo waku edit video,(video production), kiufupi napenda sana kutumia computer na kama kuna idea ya kuhusu computer ambayo ninaona ina matter huwa nafanya juu chini kujifunza, nilisha kuwa vizuri hapo mwanzo nilijenga msingi ukakaa sawa ila mambo ya ujana siku za hivi karibuni yakanifanya nipoteze mtaji, akili inakuja kunikaa sawa najikuta nilicho baki nacho ni hii computer tu.Umesema unamiliki kompyuta lakini hujasema unafahamu nini kuhusu software zilizomo kwenye kompyuta yako. Nafikiri ukiweka wazi kilichopo kichwani kwako utasaidiwa zaidi.
Ushasema unafaham video edit sasa unakwama wapi?Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya stationary, na library, pia nina uwezo waku edit video,(video production), kiufupi napenda sana kutumia computer na kama kuna idea ya kuhusu computer ambayo ninaona ina matter huwa nafanya juu chini kujifunza, nilisha kuwa vizuri hapo mwanzo nilijenga msingi ukakaa sawa ila mambo ya ujana siku za hivi karibuni yakanifanya nipoteze mtaji, akili inakuja kunikaa sawa najikuta nilicho baki nacho ni hii computer tu.
Kwanzaa anza an hayo mambo yaliyo fanya ukaboronga kama usipo yamaliza utakwama tenaWAKUU NINA MILIKI COMPUTER (DESKTOP) YA KAWAIDA TU, RAM GB 3 HDD GB 500 ILA IPO TU HAINA KAZI NAWEZAJE KUITUMIA KUINGIZA KIPATO MAZINGIRA YA MJINI?
Namshauri atege sikio hapaNjoo nikufundishe kuflash simu huo ujuzi utautumia kufanya kazi popote
Unapatikana wapi mkuuWAKUU NINA MILIKI COMPUTER (DESKTOP) YA KAWAIDA TU, RAM GB 3 HDD GB 500 ILA IPO TU HAINA KAZI NAWEZAJE KUITUMIA KUINGIZA KIPATO MAZINGIRA YA MJINI?
Nilishawahi kuitumia kwenye mambo ya stationary, na library, pia nina uwezo waku edit video,(video production), kiufupi napenda sana kutumia computer na kama kuna idea ya kuhusu computer ambayo ninaona ina matter huwa nafanya juu chini kujifunza, nilisha kuwa vizuri hapo mwanzo nilijenga msingi ukakaa sawa ila mambo ya ujana siku za hivi karibuni yakanifanya nipoteze mtaji, akili inakuja kunikaa sawa najikuta nilicho baki nacho ni hii computer tu.
Fungua Facebook business account uwe unarusha matangazo facebook Adds wewe wanakulipa na wewe unawalipa Facebook.Kuna mengi humo utasema ulichelewa.NB uwe na Visa Card ya kuwalipa mpunga wao na Kizungu kiwemo kidogo maana maswali lukuki.