Natumiaje kompyuta kupata kipato?

Pamoja, kuwa pasionate na kitu husika ni nzuri na ndo itakayofanya kazi zako ziwe nzuri, hao wengine wanafanya kaz kwa kukairi na hela wakishaanz pata wanapoteza na ile enthusiasm ya kazi, inakua tu wanafnya kwa hela basi.

So, utakuwa kile wanachotaka kazi zao, ziwe . Kuedit kwa simu sishauri sana, ila app kama CapCut iko powerful kuliko hata hio KineMaster, endapo ukijua kuitumia.


Filmora iko bomba, but baad ya muda taratibu nenda unajifunza na Premiere Pro maana tempates zake, tutorials na stock footages unazoweza download na kutuma ni nyingi mno kuliko Filmora.
 
Shukran mkuu nina kwenda kufanya hivyo
 
FUNGUA YOUTUBE CHANNEL TAFUTA CONTENT PIGA PESA
 
Fungua library uswahilini UZA CD za movie....pia kuwa na stock ya movie zakutosha unawabania KWENYE CD au unawawekea KWENYE flash zilizotafsiriwa Kwa kiswahili hakikisha unazo zakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…