Natural girls live interview on DJ sepetu show!!

Anakuwa jukwaaa gani hasa

muosha rungu
Kwakweli sina idea atakuwa jukwaa gani kwa sasa ila nakumbuka nilishiriki tu kwenye uzi wake wa ''wanawake wanaochepuka na waume wa watu''..siku nyingi sijamuona humu but ukimpata ukamwambia na akakubali bac itakuwa vema[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nilipendezewa na majibu yake ambayo yanaonyesha upeo wake mzuri wa kujibu vizuri kulingana na anachoambiwa..ila akiudhiwa ana hasira balaa..jaribu kumtafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa nitapekua pekua nitampata mmu

muosha rungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…