Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Biblia ina mikono ya Watu kuna watu wameichafuwa hiyo Biblia ina makosa zaidi ya elfu 50.
Hatuzungumzii biblia , tunazungumzia vitabu vya waislamu wa zamani kabla ya Muhammad ambavyo Muhammad na Allah walidai vilikiwepo ila Kwa sasa hatuna ata verse moja imebaki
 
Muhammad alikuwa muaarabu habari za Musa muislamu alizitoa wapi, na mbona hakuna history yoyote nje ya Koran inasema Kuna muislamu aliitwa Musa
Mussa Myahudi lakini ametoka katika kizazi cha Yaakubu na Yaakubu alizaliwa na baba yake anaitwa isaka na isaka baba yake ni Nabii ibrahimu. Na hivyo hivyo Mtume Muhammad Rehema za Mungu ziwe juu yake pamoja na mani kizazichake kimetoka kwa ismail mwana kuwachinjwa na Nabii ibrahimu . Kwa hiyo Nabii ibrahim alikuwa ni Muislam pamoja kizazi chake chote ni waislam Dini ya kiislam ameanzisha Nabii ibrahimu sio Mtume Muhammad alikuja kuiendeleza uarabuni tunawezakusema Mtume muhammad ndio aliye leta dini ya kiislam uarabuni lakini Mwanzilisha wadini ya kiislam alikuwa ni Nabii ibrahim . Na Nabii ibrahim alikuwa ni Baba a Mataifa yote ya wayahudi pamoja na waarabu enzi hizo. Usahahidi Nabii ibrahim ndio aliye anzisha Dini ya kiislam soma aya ya Qur'am Sura. 22 AYA YA 78.

78. Na fanyeni juhudi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu kama inavyo stahiki jihadi yake. Yeye amekuteueni. Wala hakuweka juu yenu mambo mazito katika Dini. Nayo ni mila ya baba yenu Ibrahim. Yeye (Mwenyezi Mungu) alikuiteni Waislamu tangu zamani, na katika hii (Qur'ani) pia, ili awe Mtume shahidi juu yenu, na nyinyi muwe mashahidi kwa watu. Basi shikeni Sala na toeni Zaka na shikamaneni na Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye Mlinzi wenu, Mlinzi bora kabisa, na Msaidizi bora kabisa

Tafsiri yake
*78. Na wanieni katika Jihadi ya kunyanyua Neno la Mwenyezi Mungu na kutafuta radhi zake mpaka mwashinde maadui zenu na myashinde matamanio yenu. Kwani Yeye Subhanahu amekukaribisheni kwake, na amekuteueni muinusuru Dini yake, na amekujaalieni muwe Umma wa katikati. Wala hakukulazimisheni katika aliyo kuwekeeni Sharia lolote lenye mashaka juu yenu msilo weza kulichukua. Na amekufanyieni mepesi katika yanayo kuleteeni mashaka, na katika msiyo yaweza amekufanyieni ruhusa namna mbali mbali. Basi ishikeni Dini hii, kwani hii ndiyo Dini ya baba yenu Ibrahim katika misingi yake. Na Yeye Subhanahu ndiye aliye kuiteni Waislamu, (yaani Wanyenyekevu) katika Vitabu vya mbinguni vilivyo tangulia, na pia katika hii Qur'ani kwa ut'iifu wenu kwa yale aliyo kutungieni sharia. Basi kueni kama alivyo kuiteni Mwenyezi Mungu ili muwe mwisho wenu mnamshuhudia Mtume kama amekufikishieni ujumbe nanyi mkatenda aliyo kufikishieni, mpate kufanikiwa, na muwe mashahidi kwa kaumu zilizo tangulia kwa yaliyo kuja katika Qur'ani kwamba Mitume wao nao walifikisha ujumbe. Na ilivyo kuwa Mwenyezi Mungu amekuchagueni nyinyi khasa kuwa ni wat'iifu kwake, mkashika Sala kwa ukomo wa ukamilifu wake, basi ni waajibu wenu kulipa hayo kwa kumshukuru na kumt'ii, mshike Sala kwa utimilifu wake, na mwape Zaka wanao stahiki, na mumtegemee Mwenyezi Mungu katika mambo yenu yote, na mchukue kwake msaada, kwani Yeye ndiye Msaidizi wenu na ndiye wa kuwanusuru. Yeye ndiye Mbora wa ulinzi na Mbora wa kunusuru.

Kwa hiyo Mtume Muhammad a Nabii Mussa na yesu Babu yako alikuwa ni Mtume ibrahim aka Baba wa Mataifa yote 2 waarabu na wayahudi. Na Nabii ibrahimu alikuwa ni Muislam.
Ninakuuliza wewe swali Nionyeshe katika Biblia je ni wapi Nabii ibrahimu alikuwa ni Mkristo?
 
Mpaka sasa hujasema hivyo vitabu vya hao waislamu vipo wapi? Na nje ya Koran Kuna history yoyote hao waislamu waliwahi kuwepo? Unazunguka zunguka
 
Ninakuuliza wewe swali Nionyeshe katika Biblia je ni wapi Nabii ibrahimu alikuwa ni Mkristo?
Shida una copy ma insha na kuyapest jibu kwa kifupi

Biblia Ina character wake ambao sio hao wa Allah

Tumalize kwanza na character wa allah aliodai walikuwepo vitabu vyao vipo wapi maana Allah amesema alituma na vitabu
 
Shida una copy ma insha na kuyapest jibu kwa kifupi

Biblia Ina character wake ambao sio hao wa Allah

Tumalize kwanza na character wa allah aliodai walikuwepo vitabu vyao vipo wapi maana Allah amesema alituma na vitabu
Ninakuacha kama ulivyo huna hoja wewe Kitabu cha Allah ni Qur'an na kwenye hiyo Qur'an kuna Taurati ya mussa ,injili ya Bwana Yesu na Zaburi ya Mtume Daudi. Qur'an imekusanya vitabu vyote vya mitume aliwatuma Mwenyeezi Mungu kwa binadamu wake.Kazi kwako kuamini au kuto kuamini.
 
Waislamu wa kabla ya muhammad walikuwa hawana vitabu ila Allah amekuja kuvitoa kipindi Cha Muhammad?
 
Koran nzima Haina jina Yesu na Kwa kiaarabu jina la Yesu linajulikana , hii Yesu wewe umeitoa wapi?
 
Koran nzima Haina jina Yesu na Kwa kiaarabu jina la Yesu linajulikana , hii Yesu wewe umeitoa wapi?
Yesu sio jina halisi

YESU imetokana na YEHOSHUA

wagiriki walipoandika Bibilia walikuwa hawana herufi HOA ndio ikabaki YESU na haieleweki Hilo jina YEHOSHUA ndio halisi au la

Jibu swali ulilouzwa sio unarukaruka tu

Hizi dini na vitabu vyake umezaliwa umevikuta na utakufa utaviacha hivyo hakuna unayemkomoa ila unaikomoa nafsi itakayoenda kutupwa jahanam
 
Kanisa limetoka wapi na uzi unahusu uislam.
Akili za kushikiwa hizi, kila mleta uzi akiunanga uislam basi moja kwa moja unajisi huyo ni mkristo.
 
huo muongozo wala hautokani na vitabu babu zetu hawakujua kitabu chochote lakini walikua wanafunga ndoa,hawagomgi mama zao,kiba ni marufuku,kuzini ni marufufku ,hivyo vitabu vimekuja juzi tu
 
ile ya matope hujaitaja umeikana kabisa umechagua hio
 
k
kwahiyo alikua anakopi halafu anaediti kidogo,jamaa janjajanja sana
 
k

kwahiyo alikua anakopi halafu anaediti kidogo,jamaa janjajanja sana
Huwezi uka edit na kupredict vitu vinatokea maelfu ya miaka baadae, unapredict mamia ya vitu na vinatokea exactly hio sio nguvu ya kibinadamu.

Huwezi kuwa mjanja mjanja na mabilioni ya watu wakufuate, huwezi kuwa mjanja mnjanja ukatengeneza mfumo ambao kila siku unathibitisha ni bora zaidi kwa mwanadamu, huwezi kuwa mjanja mjanja ukapiga majeshi yote makubwa tena hata yakiwa yana ukubwa zaidi ya mara 10 yako etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…