Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Jibu Aya maswali

Vitabu vya Allah vipo wapi
.Daudi muislamu na zaburi yake ya waislamu IPO wapi?
.injili ya muislamu Isa ipo wapi?
.torati ya Musa muislamu ipo wapi ?
Nimeedit post unaweza kuangalia, ama viko wapi jibu lake ni kwamba vitabu vilivyotangulia havikuwekewa ahadi ya kuchungwa na kuingiziwa ziada au kupunguzwa na hili ni kwasababu mitume walikuwa bado wanakuja wengine na zaidi wakija wanayafufua mafundisho yaliyotangulia.

Hivyo kwa sasa hakuna zaburi, injili, wala torati iliyosalimika na mabadiliko maana wayahudi na wakristo wamevifanyia mabadiliko hivi vitabu na vimepotea kwa kiasi kikubwa.
 
Hivyo kwa sasa hakuna zaburi, injili, wala torati iliyosalimika na mabadiliko maana wayahudi na wakristo wamevifanyia mabadiliko hivi vitabu na vimepotea kwa kiasi kikubwa.
Wayahudi na wakristo walihuaikaje na vitabu vya waislamu na wao wanavyo vyao mpaka Leo?
 
Una uhakika , Isa alikuwa anaongea lugha gani?
Uhakika ninao, na haya yamethibitishwa na wanachuoni wetu wenye kuhakiki mambo kama ibnul qayyim na pia mwalimu wake ibnu taymiyyah allah awarehemu wote, wamenukuu kuwa injili iliteremeshwa kwa lugha ya kihebrania kwasababu yesu alikuwa muhebrania.
 
Quran IMESHUSHWA NA MAJINI MAPEPO NA MASHETANI KWA MSAADA WA VATCAN FREE MASON, NA MOHAMED KUSHIRIKIANA NA MAJINI.

Ndugu zangu WAISLAMU nawaonea HURUMA sana.

MMEPOTEA.
Mtafuteni
Abel SHIRIWA Atawasaidia.
 
Wayahudi na wakristo walihuaikaje na vitabu vya waislamu na wao wanavyo vyao mpaka Leo?
Mkuu usinichoshe mimi niko hapa kutoa ufafanuzi na si kubishana ubishi wa kitoto, kama hujanielewa mpaka sasa basi mimi nakubali kushindwa na namalizia kwa kusema mitume hawa walitumwa kwa wana wa israeli na ujumbe mmoja tu watu wamuabudu allah nawaache ushirikina.
 
Uhakika ninao, na haya yamethibitishwa na wanachuoni wetu wenye kuhakiki mambo kama ibnul qayyim na pia mwalimu wake ibnu taymiyyah allah awarehemu wote, wamenukuu kuwa injili iliteremeshwa kwa lugha ya kihebrania kwasababu yesu alikuwa muhebrania.
Injili ni neno limetolewa kwenye kigiriki na kuwa la kiaarabu, na Yesu sio Isa na character wawili tofauti , Isa maana yake punda
 
Mkuu usinichoshe mimi niko hapa kutoa ufafanuzi na si kubishana ubishi wa kitoto, kama hujanielewa mpaka sasa basi mimi nakubali kushindwa na namalizia kwa kusema mitume hawa walitumwa kwa wana wa israeli na ujumbe mmoja tu watu wamuabudu allah nawaache ushirikina.
Ni wapi wayahudi walishawahi kimtaja Allah , wao wamemtaja Jehovah

Ndio maana nakwambia awa wayahudi waislamu na walikuwa wanamtaja Allah Kuna ushahidi wote wa zamani wa kihistoria
 
Muislamu wa ukweli hatukani mkuu. Anyways wewe unaijua dini hebu nifafanulie kuhusu hii ayat
Wewe Mpagani sijakutukana nimekwambia ukweli na mara nyingi ukweli unauma. huwezi kuwa eti Muislam halafu ukata kui-chalanger Quran? hutoweza kui-chalenger Quran kabisa hata muwe watu Bilioni moja hamuwezi kuishinda kitabu Cha Mwenyeezi Mungu kabisa. Ninakuwekea hizo aya ulizo toa kw alugha yetu ya kiswahili halafu useme unataka nikufafanulie kitu gani?wakati aya zimesha eleza wazi .kabisa. Wewe umelewa kitu gani katika hizo Ayaulizo zitoa? Kwanza ninatak kujuwa kichwa chako kinafanaya kazi kweli au Pumba tupu?

Umetoa Aya ya Kwanza ipo katika Suurat Al-Maida SURA 5:46 inasema hivi ninanukuu: 5:46. Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wacha Mungu.

Ninakuuliza Swali umeelewa kitu gani kuhusu hiyo AYa uliyo itowa?

Na Aya Ya Pili umetoa Sura 32 aya ya 13. ninanukuu hapa.

Sura 32:13 13. Na lau tungeli taka tunge mpa kila mtu uwongofu wake. Lakini imekwisha kuwa kauli iliyo toka kwangu : Kwa yakini nitaijaza Jahannamu kwa wote hawa, majini na watu.

Swali langu Haya umeelewa kitu gani hapo katika hiyo Aya ya pili? Nijibu kabla sijakufafanulia zaidi.
 
QURAN IMEIBA WAHUSIKA/ CHARACTER KWENYE BIBLE.

yani Mkenya Anaezaliwa miaka 500 ijayo anaandika anamfahamu Nyerere.
Na walikuwa marafiki na Nyerere.

Kwanza Mudi ALIOA MTOTO WA MIAKA 6
 
Hivyo kwa sasa hakuna zaburi, injili, wala torati iliyosalimika na mabadiliko maana wayahudi na wakristo wamevifanyia mabadiliko hivi vitabu na vimepotea kwa kiasi kikubwa.
Vimepotea kwa kiasi kikubwa ?!

Inamaana waislamu baada ya wakrito na wayahudi kupoteza vitabu vya mungu wenu je Kuna ata ka verse au surah kalibakia ?
 
Quran IMESHUSHWA NA MAJINI MAPEPO NA MASHETANI KWA MSAADA WA VATCAN FREE MASON, NA MOHAMED KUSHIRIKIANA NA MAJINI.

Ndugu zangu WAISLAMU nawaonea HURUMA sana.

MMEPOTEA.
Mtafuteni
Abel SHIRIWA Atawasaidia.
Unao ushahidi kuwa unayoyasema?au unaropoka kama mlevi aliye lewa kwa kunywa pombe nyingi? Qur'an Tukufu haıija shushwa na majini na wala mapepo Qur'an aliye ishusha ni Mungu amaemtuma Malaika wake Mkuu Jibrili kumshushia MtumeMuhammad Rehema za Allah ziwe juu yake hiyo Qur'an tukufu. Kama kitu haujuwi bora uulize kuliko kuropoka maneno ambayo huna uhakika nayo . Ikiwezekana bora unyamaze kimya ili upate faida zaidi.
 
KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA SHOGA NA ALIKUWA ANAKAA ANAKAA UCHI MBELE ZA WANAUME USHAHIDI NA KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA ULIMI WA HASAN KILA SIKU NDANI YA MISIKITI JAMANI?

Imesimuliwa 'Aishah: "

Zaid bin Harithah aliwasili Al-Madinah wakati Mtume wa Allah (ﷺ) alikuwa nyumbani kwake. Kwa hivyo alikwenda na kugonga mlango, kwa hivyo Mjumbe wa Allah (ﷺ) alisimama uchi akiburuza nguo yake - na Wallahi! Sikumuona akiwa uchi kabla na baadaye - naye akamkumbatia na kumbusu. Wanasema kuwa maana ya uchi hapa ni kwamba hakuwa amevaa Rida (chupi )yake au kanga ya juu na ndiyo iliyokuwa ikiburuza, kwa hivyo eneo kati ya kitovu na magoti lilifunikwa.

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ إِسْمَاعِيلَ، حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ يَحْيَى بْنِ مُحَمَّدِ بْنِ عَبَّادٍ الْمَدَنِيُّ، حَدَّثَنِي أَبُو يَحْيَى بْنُ مُحَمَّدٍ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ إِسْحَاقَ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ مُسْلِمٍ الزُّهْرِيِّ، عَنْ عُرْوَةَ بْنِ الزُّبَيْرِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ قَدِمَ زَيْدُ بْنُ حَارِثَةَ الْمَدِينَةَ وَرَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي بَيْتِي فَأَتَاهُ فَقَرَعَ الْبَابَ فَقَامَ إِلَيْهِ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عُرْيَانًا يَجُرُّ ثَوْبَهُ وَاللَّهِ مَا رَأَيْتُهُ عُرْيَانًا قَبْلَهُ وَلاَ بَعْدَهُ فَاعْتَنَقَهُ وَقَبَّلَهُ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ غَرِيبٌ لاَ نَعْرِفُهُ مِنْ حَدِيثِ الزُّهْرِيِّ إِلاَّ مِنْ هَذَا الْوَجْهِ ‏.‏

Jami` at-Tirmidhi 2732 Juzuu ya 5 kitabu cha 40 Hadith 2732

NJOO TENA HAPA MUHAMMAD ALIKUWA ANAKAA UCHI MBELE YA MASWAHABA ZAKE

Aisha amesema Mtume wa Allah : “kuwa Mtume alikuwa anakaa uchi mbele ya maswahaba.”

قالت عائشة: أن النبي كان الله: "أن النبي كان جالسًا عريانًا أمام الصحابة".
: Sahihi Muslim Juzu . 4 Ukrasa . 153

KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA WA ULIMI HASSAN NDANI YA MISIKITI?

Imesimuliwa na Abu Huraira

alisema, "Sikuwahi kumwambia sa-al-Hasan bila macho yangu kufurika machozi. Hiyo ni kwa sababu Mtume, Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake, alitoka siku moja na akanikuta ms
Hizo zote hadithi feki walizo zitunga Mayahudi ili kumpaka matope Mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake pamoja na amani. Hadithi za Kutunga lete Aya ya Qur'an ndiyo kitabu kinacho sema ukweli juu ya Uislam usilete hadithi feki za kutunga za Wayahudi lete hoja ya Qur'an tukufu kitabu cha Waislam kinacho sema ukweli upate kujibiwa usilete hadithi za pumba hizo.
 
Hizo zote hadithi feki walizo zitunga Mayahudi ili kumpaka matope Mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake pamoja na mani. Hadithi za Kutunga let Aya ya Qur'an ndiyo kitabu kinacho sema ukweli juu ya Uislam usilete hadithi feki za kutunga za Wayahudi lete hoja ya Qur'an tukufu kitabu cha Waislam kinacho sema ukweli upate kujibiwa usilete hadithi za pumba hizo.
Hahah waislam bana, huwa mnanichekesha mnapokataa hadithi zenu na kusema Quran tu ndio kila kitu.

Hiyo Quran hata haisemi unatakiwa uswali vipi, haisemi swala ngapi, haisemi mambo mengi sana kiasi kwamba muislam akikana hadithi akasema afuate Quran tu, Waislam wengine watasema huyu sio muislam
 
Hizo zote hadithi feki walizo zitunga Mayahudi ili kumpaka matope Mtume Muhammad Rehema za Allah ziwe juu yake pamoja na mani. Hadithi za Kutunga let Aya ya Qur'an ndiyo kitabu kinacho sema ukweli juu ya Uislam usilete hadithi feki za kutunga za Wayahudi lete hoja ya Qur'an tukufu kitabu cha Waislam kinacho sema ukweli upate kujibiwa usilete hadithi za pumba hizo.
Kwanini waislamu mkakubali mpaka Leo wayahudi wapoteze Hadith zenu na pia wamepoteza maandiko ya mungu wenu Allah ?
 
Back
Top Bottom