makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Hatokuja kwa kazi ya unabii.ISSA sio nabii wenu? Na unasema hapa hatarudi 😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatokuja kwa kazi ya unabii.ISSA sio nabii wenu? Na unasema hapa hatarudi 😂😂😂😂
Isa ni nabii wenu au laHatokuja kwa kazi ya unabii.
Kumbe hua anatetea ushoga?Mtoa post endelea kutetea ushoga, mambo ya dini achana nayo, yatakupotezea muda wako tu.
Tafuta post zake tu.
Haya kazi kwenu wavaa Makobazi......Nianze ku declare interest. Nimezaliwa katika familia ya kiislamu/ ukoo wa kiislamu. Tena sio waislamu wa wasiwasi.
But ndani ya nafsi nimesha jivua huo utambulisho wa uislamu.
Siji identify na dini yoyote.
Nimeujua ukweli kuhusu dini zote.
Mungu alie umba Mbingu na ardhi na viumbe wote waliomo ndani yake hahitaji mimi niwe Mkristo wala muislamu ILI eti ndio anipende.
Mungu hajawahi kuwa na Nabii wala Mtume yoyote yule kwa sababu Mungu alimuumba mwanadamu akiwa amekamilika KWA KILA.kitu. ..
Kusema sijui Mungu alimtuma Nabii nani nani sijui KWA watu ni kuidhalilisha sifa ya uungu alio nao..
Mungu angehitaji watu wake wawe kama ambavyo amesema kwenye hayo yanayo itwa maandiko ya watu alio watuma angewapa wanadamu uwezo wa kufanya hivyo toka binadamu wa KWANZA.
Mungu hana watu ambao eti ndio wateule wake eti taifa lake .
Wala hapa duniani hakuna sehemu ambayo ni takatifu kushinda nyingine.
Sehemu zote ni SAWA KWA Mungu.
Back to the point..
Hoja ya waislamu ni kwamba Kitabu chao ndio kimetoka KWA Mungu na sababu yao ni kwamba Kitabu chao hakina makosa..Kitabu chao kimekamilika...
Hapa wanamaanisha kwamba ILI kitu kitajwe kwamba kimetoka KWA Mungu ni lazima kiwe kimekamilika yani kisiwe na kasoro hata kidogo.
Kama jibu ni ndio, waislamu mna.majibu GANI kwa hoja hii?
1. Je binadamu hajawaumbwa na Mungu kwa sababu miongoni mwao wamo walio na mapungufu mfano walemavu wa aina mbalimbali?
2. Waislamu wanasema Qur'aan imekamilika.kwa sababu imetoka KWA Mungu lakini hao hao ndio wa KWANZA kusema " MWAMADAMU NI KIUMBE MWENYE MAPUNGUFU. KIUMBE DHAIFU...
So waislamu mnataka.kusema kwamba KWA Mungu mnae.muabudu ninyi ni muhimu zaidi kwake kushusha Kitabu ambacho kimekamilika.kuliko kuumba binadamu ambae amekamilika?....
Okay nimekuelewa, iko hivi vitabu vilivyoteremeshwa kwa wanaadamu ni vinne kwa kauli fulani na wengine huzidisha sahifa za ibraahiym na musa amani iwe juu yao.Vitabu hivi viliteremshwa kwa lugha ya wahusika wake yaani kwa lugha ya walioteremeshiwa mfano torati iliteremshwa kwa musa kwa lugha ya kihebrania, zaburi iliteremshwa kwa daudi kwa lugha ya kihebrania na injili iliteremshwa kwa issa kwa lugha ya kihebrania sasa utaona kila mmoja aliteremshiwa kwa lugha yake na hili limebainishwa katika quran pale allah جلّ و على aliposema: "Na hatukumtuma mtume yeyote isipokuwa kwa lugha ya jamaa zake ili apate kuwabainishia...." al ayah..Kama mungu kaumba kila kitu, watu wote. Kwann hakuteremsha kitabu kilichotafasiriwa katika kila lugha? Huoni hapo kuna uwezekano ikawa ni mtu anaeongea kiarabu katunga mambo yake tu na kuyaandika...? Hata ukiangalia description ya dunia katika quran utaona ni pov ya mtu wa mashariki ya kati, na sio dunia ilivo kiuhalisia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uislamu kila kitu kina majibu yake mkuu.
Injili ni neno la lugha gani?Okay nimekuelewa, iko hivi vitabu vilivyoteremeshwa kwa wanaadamu ni vinne kwa kauli fulani na wengine huzidisha sahifa za ibraahiym na musa amani iwe juu yao.Vitabu hivi viliteremshwa kwa lugha ya wahusika wake yaani kwa lugha ya walioteremeshiwa mfano torati iliteremshwa kwa musa kwa lugha ya kihebrania, zaburi iliteremshwa kwa daudi kwa lugha ya kihebrania na injili iliteremshwa kwa issa kwa lugha ya kihebrania sasa utaona kila mmoja aliteremshiwa kwa lugha yake na hili limebainishwa katika quran pale allah جلّ و على aliposema: "Na hatukumtuma mtume yeyote isipokuwa kwa lugha ya jamaa zake ili apate kuwabainishia...." al ayah..
Quran 14:4
Sasa hawa walitumwa makundi maalumu ya wana wa israeli na walipelekwa kwa lugha zao, tukija kwa kesi ya quran hii imeteremshwa kwa muhammad alayhi ssalaam ambaye ni mwarabu na jamaa zake walikuwa waarabu tena walio fasaha mno na wajuzi wa lugha hii quran ikateremshwa katikati yao kwa lugha fasaha mno kuliko ile waliyokuwa wakijisifu nayo wao, lakini mtume muhammad hakuja kwaajili ya waarabu peke yao yeye ametumwa kwaajili ya watu wote na hatokuja tena mtume mwingine mpaka qiyama kisimame sasa swali la kujiuliza kwanini imekuja kwa kiarabu wakati watu wengine wanazungumza lugha nyingine? jibu la mwanzo tunalitoa kwenye quran yenyewe, anasema allah hali ya kuwa ametukuka:
"Hakika sisi tumeiteremsha Qur'ani hali ya kuwa ni ya kiarabu ili mpate kuelewa"
Quran 12:2
Sasa turudi kwenye point yetu, dunia nzima inakiri kuwa hakuna lugha iliyo tajiri kwa upande wa misamiati, ufasaha na utukufu kama lugha ya kiarabu na hili liko wazi hata ukigoogle utajionea kwenye kiarabu kuna utajiri na ufasaha wa hali ya juu, kwa hilo imekuwa wepesi mkubwa kuitafsiri quran kutoka kwenye kiarabu kuja lugha nyingine jambo ambalo lisingewezekana kama ingekuwa kinyume chake kutokana na uchache wa misamiati kwenye lugha nyingine, kwa hilo allah akaiteremshaa quran kwa kiarabu kwaajili ya watu wote.
Nadhani nimekujibu.
Vitabu vya Allah vipo wapitorati iliteremshwa kwa musa kwa lugha ya kihebrania, zaburi iliteremshwa kwa daudi kwa lugha ya kihebrania na injili iliteremshwa kwa issa kwa lugha ya kihebrania
Kihebrania.Injili ni neno la lugha gani?
Mkuu acha kujiress twende taratibu, sisi waislamu tumetajiwa mitume 25 kwenye quran akiwemo mtume daudi na tunamuamini na kumswadikisha kuwa alikuwa ni mtume na ujumbe wake ni wa haki, na vivyo hivyo mitume wote waliotajwa na wasiotajwa.Vitabu vya Allah vipo wapi
.Daudi muislamu na zaburi yake ya waislamu IPO wapi?
.injili ya muislamu Isa ipo wapi?
.torati ya Musa muislamu ipo wapi ?
Je Kuna history yoyote awa waislamu waliwahi kuwepo ?
Una uhakika , Isa alikuwa anaongea lugha gani?Kihebrania.
Kwa hiyo akirudi cheo Cha nabii mnakifutaIssa bin maryam(a.s) siyo nabii(kiongozi) wetu, nabii wa umma huu ni Muhammad s.a.w.
Ila tunamtambua kuwa ni miongoni mwa manabii, waliotumwa na Mwenyezi mungu, akawe nabii(kiongozi) kwa wana wa israel, kiswahili kingine aende kuwaongoa wana wa israel.
Jibu Aya maswaliMkuu acha kujiress twende taratibu, sisi waislamu tumetajiwa mitume 25 kwenye quran akiwemo mtume daudi na tunamuamini na kumswadikisha kuwa alikuwa ni mtume na ujumbe wake ni wa haki, na vivyo hivyo mitume wote waliotajwa na wasiotajwa.
Sasa kama kuna versions mbili za mitume hilo ni katika yale nisiyoyajua.
Usikaze kichwa, shida una yako kichwani.Kwa hiyo akirudi cheo Cha nabii mnakifuta
Isa sio nabii ndio umeitimishaUsikaze kichwa, shida una yako kichwani.
Nimekwambia alitumwa kwa wana wa israel, nabii wa umma huu ni Muhammad.
Issa bin maryam atarudi kwa mambo mawili, kubwa kabisa ni kutimiza wajibu wa kufa, kila nafsi itaonja mauti.
Na kummaliza masih dajjal.. Hatokuja kutangaza neno, unajua kazi ya nabii? Kama hatangazi neno, kukataza maovu na kufundisha mabaya anakuwaje nabii?