Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Nianze ku declare interest. Nimezaliwa katika familia ya kiislamu/ ukoo wa kiislamu. Tena sio waislamu wa wasiwasi.

But ndani ya nafsi nimesha jivua huo utambulisho wa uislamu.

Siji identify na dini yoyote.

Nimeujua ukweli kuhusu dini zote.

Mungu alie umba Mbingu na ardhi na viumbe wote waliomo ndani yake hahitaji mimi niwe Mkristo wala muislamu ILI eti ndio anipende.

Mungu hajawahi kuwa na Nabii wala Mtume yoyote yule kwa sababu Mungu alimuumba mwanadamu akiwa amekamilika KWA KILA.kitu. ..

Kusema sijui Mungu alimtuma Nabii nani nani sijui KWA watu ni kuidhalilisha sifa ya uungu alio nao..

Mungu angehitaji watu wake wawe kama ambavyo amesema kwenye hayo yanayo itwa maandiko ya watu alio watuma angewapa wanadamu uwezo wa kufanya hivyo toka binadamu wa KWANZA.

Mungu hana watu ambao eti ndio wateule wake eti taifa lake .

Wala hapa duniani hakuna sehemu ambayo ni takatifu kushinda nyingine.

Sehemu zote ni SAWA KWA Mungu.

Back to the point..

Hoja ya waislamu ni kwamba Kitabu chao ndio kimetoka KWA Mungu na sababu yao ni kwamba Kitabu chao hakina makosa..Kitabu chao kimekamilika...

Hapa wanamaanisha kwamba ILI kitu kitajwe kwamba kimetoka KWA Mungu ni lazima kiwe kimekamilika yani kisiwe na kasoro hata kidogo.

Kama jibu ni ndio, waislamu mna.majibu GANI kwa hoja hii?

1. Je binadamu hajawaumbwa na Mungu kwa sababu miongoni mwao wamo walio na mapungufu mfano walemavu wa aina mbalimbali?

2. Waislamu wanasema Qur'aan imekamilika.kwa sababu imetoka KWA Mungu lakini hao hao ndio wa KWANZA kusema " MWAMADAMU NI KIUMBE MWENYE MAPUNGUFU. KIUMBE DHAIFU...

So waislamu mnataka.kusema kwamba KWA Mungu mnae.muabudu ninyi ni muhimu zaidi kwake kushusha Kitabu ambacho kimekamilika.kuliko kuumba binadamu ambae amekamilika?....
Afadhari umeanza kuupata ukweli ila ndiyo mwanzo endelea kuuchimba zaidi...
 
KWANINI MUHAMMAD ALIKUWA SHOGA NA ALIKUWA ANAKAA ANAKAA UCHI MBELE ZA WANAUME USHAHIDI NA KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA ULIMI WA HASAN KILA SIKU NDANI YA MISIKITI JAMANI?

Imesimuliwa 'Aishah: "

Zaid bin Harithah aliwasili Al-Madinah wakati Mtume wa Allah (ﷺ) alikuwa nyumbani kwake. Kwa hivyo alikwenda na kugonga mlango, kwa hivyo Mjumbe wa Allah (ﷺ) alisimama uchi akiburuza nguo yake - na Wallahi! Sikumuona akiwa uchi kabla na baadaye - naye akamkumbatia na kumbusu. Wanasema kuwa maana ya uchi hapa ni kwamba hakuwa amevaa Rida (chupi )yake au kanga ya juu na ndiyo iliyokuwa ikiburuza, kwa hivyo eneo kati ya kitovu na magoti lilifunikwa.

حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ إِسْمَاعِيلَ، حَدَّثَنَا إِبْرَاهِيمُ بْنُ يَحْيَى بْنِ مُحَمَّدِ بْنِ عَبَّادٍ الْمَدَنِيُّ، حَدَّثَنِي أَبُو يَحْيَى بْنُ مُحَمَّدٍ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ إِسْحَاقَ، عَنْ مُحَمَّدِ بْنِ مُسْلِمٍ الزُّهْرِيِّ، عَنْ عُرْوَةَ بْنِ الزُّبَيْرِ، عَنْ عَائِشَةَ، قَالَتْ قَدِمَ زَيْدُ بْنُ حَارِثَةَ الْمَدِينَةَ وَرَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم فِي بَيْتِي فَأَتَاهُ فَقَرَعَ الْبَابَ فَقَامَ إِلَيْهِ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم عُرْيَانًا يَجُرُّ ثَوْبَهُ وَاللَّهِ مَا رَأَيْتُهُ عُرْيَانًا قَبْلَهُ وَلاَ بَعْدَهُ فَاعْتَنَقَهُ وَقَبَّلَهُ ‏.‏ قَالَ أَبُو عِيسَى هَذَا حَدِيثٌ حَسَنٌ غَرِيبٌ لاَ نَعْرِفُهُ مِنْ حَدِيثِ الزُّهْرِيِّ إِلاَّ مِنْ هَذَا الْوَجْهِ ‏.‏

Jami` at-Tirmidhi 2732 Juzuu ya 5 kitabu cha 40 Hadith 2732

NJOO TENA HAPA MUHAMMAD ALIKUWA ANAKAA UCHI MBELE YA MASWAHABA ZAKE

Aisha amesema Mtume wa Allah : “kuwa Mtume alikuwa anakaa uchi mbele ya maswahaba.”

قالت عائشة: أن النبي كان الله: "أن النبي كان جالسًا عريانًا أمام الصحابة".
: Sahihi Muslim Juzu . 4 Ukrasa . 153

KWA NINI MUHAMMAD ALIKUWA ANAUNYONYA WA ULIMI HASSAN NDANI YA MISIKITI?

Imesimuliwa na Abu Huraira

alisema, "Sikuwahi kumwambia sa-al-Hasan bila macho yangu kufurika machozi. Hiyo ni kwa sababu Mtume, Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake, alitoka siku moja na akanikuta ms
 
Hakuna ushahidi wowote wa kwamba mwanadamu alikua huko unaposemea. Sisi binadamu, kama ilivo wanyama wengine, tunazaliwa, tunapumua, tunakula mwisho tunakufa. Utofauti wetu na wanyama wengine ni vile tulivo na uwezo mkubwa wa kifikiri...
.
Ushahidi pekee wa hayo mambo unayo yasema ni aya tu za quran, kitabu ambacho hakuna ushahidi kama hata kililetwa duniani na muumba wa ulimwengu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulitaka ushahidi wa namna gani ilihali akili yako ina ukomo wa elimu? mtu aliyeko nyuma ya ukuta wako hapo haumfahamu na haumuoni kisha unataka kujua habari za mbingu za juu bila kuambiwa na aliyeziumba, ifike mahali sisi wanadamu tuwe na adabu hivi vimasters na videgree visitutie kiburi.
 
Kuna kitu hakipo sawa either umemezeshwa au unaongea kile kinachokuja kwenye ubongo wako kwa muda huo kwanza nimekuomba ushahidi wa maandiko yoyote yale ya wayahudi wenuewe au popote kwenye spurces zinazoaminika kuonesha kwamba alikuwa akikariri hayo mahubiri bado nasubiri.

Kingine ni kwamba nabii Ibrahim (alayhi salaam) aliruhusiwa na mke wake bi sara ( radhialahu anha) kumuoa bi khajir (radhialahu anha) kama mke wake wa pili ili aweze kumzalia mwana na ndo hapo Allah( the exalted one) akambariki mwana wa kwanza wa pekee aliyeitwa ismail (alayhi salaam) ambaye pia alikuwa nabii na ndo hapo sasa nabii ibrahim(alayhi salaam) akaota ndoto ambayo ilikuwa ni wahyi (revelation) kwamba anamtoa mwana wake wa pekee kafara mbele za Allah (the exalted one) hii ikiwa ni kama kipimo cha imani kwake na akafuzu huo mtihani ndipo akabashiriwa kupata mtoto mwengine kutoka kwa bi sara (radhialahu anha) na mtoto wake atakuwa ni nabii pia hivyo atapata uzao wa mitume na manabii kutoka kwa watoro hao na uzao wao kama watakuwa ni waongofu.

Ushahidi huu tunaupata kwenye quran takatifu surah saffat aya ya 101-102

Quran 37:101-102
Hizo ni ngeli,alizozileta jamaa, ukweli ni mwana wa ahadi ambao waliokuwa wameahidiwa mwana wa uzee wao, na huyu walikuwa wameahidiwa na Mungu. Huyu Ishmael hakuwa mwana wa ahadi ya Mungu Bali ni sarat alimdanganya mumewe kutenda dhambi hiyo ya uasherati na house girl hajir mwenye asili ya misri baada ya kudhani kuwa Mungu kawadanganya na kwa umri wa kibaolojia alidhani haiwezekani lakini kumbe hakuna linaloshindikana kwa Mungu.

Nikuulize swali wakati Ibrahim anaamriwa akamtie sadaka mwanaye wa pekee , je! Isiaka alikuwa amezaliwa au bado? Kama alikuwa amezaliwa ni mwana gani alikuwa ameahidiwa tangu awali na wanandoa hao wazee?

Kumbuka , Hajir hakuwa mke Bali ni mchepuko na hsikuwepo ndoa Bali sarat alitaka tuu wapate mrithi, na ndio maana baada ya hajir kujifungua alianza kiburi na mashauzi kwa boss wake sarat kukata kutumwa na maugonvi alidhani yeye ni mke mpaka Mungu akasmurub aondoke nyumbani hapo na mwanaye huyo.
Ukiifuatilia tena hadithi hiyo huko mbele Kuna mauongo kibao jamaa kachomeka ikiwemo chemchem ya zamzam ilivyotokea total hypothetical
 
Hakuna ushahidi wowote wa kwamba mwanadamu alikua huko unaposemea. Sisi binadamu, kama ilivo wanyama wengine, tunazaliwa, tunapumua, tunakula mwisho tunakufa. Utofauti wetu na wanyama wengine ni vile tulivo na uwezo mkubwa wa kifikiri...
.
Ushahidi pekee wa hayo mambo unayo yasema ni aya tu za quran, kitabu ambacho hakuna ushahidi kama hata kililetwa duniani na muumba wa ulimwengu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi wa kuwa kimeletwa na mola wa walimwengu ni kule kubaki kwenye asili yake zaidi ya miaka 1440 sasa hakuna mabadiliko hata ya herufi moja na hili ameliahidi mwenyewe allah kwenye kitabu chake pale aliposema.
"Hakika sisi ndio tulioteremsha ukumbusho huu{quran}, na hakika sisi ndio tutakaouhifadhi"
Quran 15:9

"Ni uteremsho utokao kwa bwana wa walimwengu wote.."
Quran 56:80

sema mkuu haujafungua moyo wako, haya maneno yana ufasaha na utaalamu wa hali ya juu ambayo hayawezi kupatikana kwenye utunzi wowote wa mwanadamu wala jini na Qur'an yenyewe imetoa challenge ya kiumbe yeyote anaeweza alete mfano wake na imetoa ruhusa ya kushirikiana viumbe wote wakitaka, na haijawezekana mpaka leo na haitowezekana.

"Waambie: Lau wangelikusanyika watu wote na majini wote ili walete mfano wa hii Qur'ani hawawezi kuleta mfano wake, ijapokuwa wakisaidiana wao kwa wao.."
Quran 17:88

Mimi sijapatapo kuona maneno matamu na yenye ladha kwenye moyo kama hii quran, hata uwe na stress vipi ukiisoma moyo unapata utulivu na amani unasahau shida zote.
 
Wewe ulitaka ushahidi wa namna gani ilihali akili yako ina ukomo wa elimu? mtu aliyeko nyuma ya ukuta wako hapo haumfahamu na haumuoni kisha unataka kujua habari za mbingu za juu bila kuambiwa na aliyeziumba, ifike mahali sisi wanadamu tuwe na adabu hivi vimasters na videgree visitutie kiburi.
Wala hata huitaji masters kuona kwamba hakuna ushahidi wa kuepo kwa mungu (kama vitabu vya dini vinam-describe mungu). Nilipokua najifunza dini nilikua nauliza maswali mengi sana... nikaambiwa nikiendelea kuuliza ivo nakufuru! Yani wanani-encourage nisifikirie, kutofikilia sio asili ya binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi wa kuwa kimeletwa na mola wa walimwengu ni kule kubaki kwenye asili yake zaidi ya miaka 1440 sasa hakuna mabadiliko hata ya herufi moja na hili ameliahidi mwenyewe allah kwenye kitabu chake pale aliposema.
"Hakika sisi ndio tulioteremsha ukumbusho huu{quran}, na hakika sisi ndio tutakaouhifadhi"
Quran 15:9

"Ni uteremsho utokao kwa bwana wa walimwengu wote.."
Quran 56:80

sema mkuu haujafungua moyo wako, haya maneno yana ufasaha na utaalamu wa hali ya juu ambayo hayawezi kupatikana kwenye utunzi wowote wa mwanadamu wala jini na Qur'an yenyewe imetoa challenge ya kiumbe yeyote anaeweza alete mfano wake na imetoa ruhusa ya kushirikiana viumbe wote wakitaka, na haijawezekana mpaka leo na haitowezekana.

"Waambie: Lau wangelikusanyika watu wote na majini wote ili walete mfano wa hii Qur'ani hawawezi kuleta mfano wake, ijapokuwa wakisaidiana wao kwa wao.."
Quran 17:88

Mimi sijapatapo kuona maneno matamu na yenye ladha kwenye moyo kama hii quran, hata uwe na stress vipi ukiisoma moyo unapata utulivu na amani unasahau shida zote.
Kama mungu kaumba kila kitu, watu wote. Kwann hakuteremsha kitabu kilichotafasiriwa katika kila lugha? Huoni hapo kuna uwezekano ikawa ni mtu anaeongea kiarabu katunga mambo yake tu na kuyaandika...? Hata ukiangalia description ya dunia katika quran utaona ni pov ya mtu wa mashariki ya kati, na sio dunia ilivo kiuhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi wa pili leo unakosoa uislam ule wa mwanzo umetoa mpaka kipande cha biblia. Kama wewe atheists amini unacho amini sisi waislam tunaamini tunacho kiamini. Wewe una imani yako na sisi tunayo yetu.
Uzur mmoja mna mpka mistari yakujihami
 
Wala hata huitaji masters kuona kwamba hakuna ushahidi wa kuepo kwa mungu (kama vitabu vya dini vinam-describe mungu). Nilipokua najifunza dini nilikua nauliza maswali mengi sana... nikaambiwa nikiendelea kuuliza ivo nakufuru! Yani wanani-encourage nisifikirie, kutofikilia sio asili ya binadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapi huko ulipokatazwa kuuliza!?.
 
Hii aya wana nzuoni wa kiislamu wameitolea ufafanuzi mzuri sana. Haina shida yoyote hii aya.
Mwenye uwezo WA kutoa ufafanuzi WA Aya ni Muhammad maana yeye ndie katoa verse
Maome
Imesimuliwa Abu Dharr: Nilikuwa nimekaa nyuma ya Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) ambaye alikuwa akipanda punda wakati jua linachomoza. Akauliza: Je! Unajua jua linazama wapi? Nilimjibu: Mwenyezi Mungu na Mtume wake wanajua bora. Alisema: linazama katika chemchemi ya maji ya joto (Hamiyah).
 
Niishie hapa ila ujanja ujanja, upo kanisani na wajinja wajinga wapo huko pia.
Mpaka Leo hamjajibu Muhammad wanapo gawana Mali na Allah potion ya Allah anaipataje ?

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....

Binadamu anagawana pasu pasu na mungu wake
 
sisI wenye utashi ndio tumeelekezwa kwenye kitabu(muongozo) bwana fulani kugonga bila ya kuoa ni dhambi,
Muhammad Allah alimuwekea verse kabisa anaweza kugonga bila kuoa na akamwambia sio dhambi

Koran 33:50 ....na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii,.....
 
Mpaka Leo hamjajibu Muhammad wanapo gawana Mali na Allah potion ya Allah anaipataje ?

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....

Binadamu anagawana pasu pasu na mungu wake
Hiyo kutojibu usikumbue, Sisi ndiyo. wa kwanza kuuliza Walio mvua Yesu nguo zake na kumvisha nepi, walimaanisha nini, hatujajibiwa.
 
Hiyo kutojibu usikumbue, Sisi ndiyo. wa kwanza kuuliza Walio mvua Yesu nguo zake na kumvisha nepi, walimaanisha nini, hatujajibiwa.
Nenda kasome adhabu za kusulubiwa zilikuwaje

Alafu urudi ujibu uyu binadamu ambae anagawana Mali sawa na mungu wake inakuwaje , na Mali ya Mungu wake ilikuwa inafikaje ?

Muhammad wanapo gawana Mali na Allah potion ya Allah anaipataje ?

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....

Binadamu anagawana pasu pasu na mungu wake
 
Mpaka Leo hamjajibu Muhammad wanapo gawana Mali na Allah potion ya Allah anaipataje ?

Koran8:1. Wanakuuliza juu ya Ngawira. Sema: Ngawira ni ya Allah na Muhammad.....

Binadamu anagawana pasu pasu na mungu wake
halafu mbuguma aliowateka amgawie na allah
 
Kweli jamaa umevurugwa,akopi vifungu vya bibulia vinavyosema mwanadamu achonge sanamu lake aliite bikira malia na aanze kuliabudu?
muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamu
Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
 
Kaa hicho kitabu kitaelezea future events in precision before they even happen, na kama kitaelezea past events accurately without any errors na kama kitaelezea ground breaking scientific findings ambazo zitakuwa proved on the future accurately then basi kimetoka kwa mwenyezi mungu muumba wa vyote.
Kama kitabu kina ongelea embryology na kikasema ivi je kimetoka wapi?

Embryology, Damu inaganda (dead blood) alafu ipo ndani ya mwanamke. Damu iliyoganda inabadilika kuwa pande la nyama! Pande la nyama linabadilika linakuwa mifupa tupu alafu mifupa inakuja tena kuvalishwa nyama
 
Back
Top Bottom