EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Tangia lini simbilisi umekuwa lionMtu unajiita evilspirit, its either you are a dumb or a devil.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangia lini simbilisi umekuwa lionMtu unajiita evilspirit, its either you are a dumb or a devil.
Kaun a majini na watu ili baadae awatumbukize jahannamu? [emoji848]... that's insane"Na lau tungelitaka tungempa kila mtu uwongofu wake. Lakini imekwisha kuwa kauli iliyotoka kwangu: Kwa yakini nitaijaza jahannamu kwa wote hawa, majini na watu."
32:13
Who can'not say what to who?Mkuu hii ayat wenzako walokole wanasemaga ndio ina prove kwamba uislamu ni dini ya majini na imeanzishwa na mkuu wa majini na hiyo Ayat ni mkuu wa majini anajiapiza kwamba atawapeleka binadamu na Majini motoni. ..
Itafakari hiyo Ayat KWA kina mkuu. Think deep. God is not going to say those kinds of words to his creation.
Tupo duniani as a test, kila mtu anakuwa tested kivyake vyake, hakuna shida unayoipata hapa duniani ambayo hutalipwa, na watu wote wataenda peponi unless wenyewe hawataki. So wewe jitahidi kadri ya uwezo wako mengine Muachie Mungu mwenyewe.
Kaka walokole wanaamini kwamba uislamu ni dini ya majini na mkuu wa majini so maana ya hiyo Ayat wanasema ni kwamba huyo mkuu wa majini ana apa atawapeleka wanadamu na majini jehanamuKaun a majini na watu ili baadae awatumbukize jahannamu? [emoji848]... that's insane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna moja ya mtume aliwahi kuuliza kama wewe akaambiwa aoteshe ngano na zikikomaa basi amalizie kama inavyotakiwa , akaotesha zikakuwa akavuna akatenga shayiri na makapi kisha makapi akayachoma moto .Kaun a majini na watu ili baadae awatumbukize jahannamu? [emoji848]... that's insane
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujitetea kaka. Walokole wana hoja. Na hizo ndo zile zinaitwa satanic verses in Qur'aan.Who can'not say what to who?
Tangu lini viumbe wakampangia muumba wao cha kuongea? Kwani unadhani ng'ombe na mbwa wanyama wengine wanaotumia mikono na miguu kutembea walipenda kuwa hivyo? But what are they complainig? Jibu ni hapana wanashukuru kwa kuumbwa walivyoumbwa na jukumu walilopewa.
Yeye ndo katuumba majini na watu tena tukiwa na machaguzi na akatupa na sheria zake tufuate atutie peponi milele tuwe naye au tukatae atutie motoni kwa muda atakaotaka yeye an now we complaining?
Hao walokole wangeanza kwanza na aya kama hizi
Ezekieli 16:15 BHN
“Lakini, ulitegemea uzuri wako, ukatumia sifa yako kwa kufanya uzinzi, ukifanya umalaya na mtu yeyote apitaye..."
Story za kusadikika hizi mkuu.Kuna moja ya mtume aliwahi kuuliza kama wewe akaambiwa aoteshe ngano na zikikomaa basi amalizie kama inavyotakiwa , akaotesha zikakuwa akavuna akatenga shayiri na makapi kisha makapi akayachoma moto .
Hapo Mola wetu Muumba akamuuliza kwanini kayachoma makapi moto akajibu kwamba hayana faida tena na ndo akaambiwa hivyo hivyo kwamba Mwenyezi Mungu ametuumba na tupo duniani ametupa muongozo kupitia manabii na mitume wanaotokana na sisi lakini kuna ambao hawayafuati wanapuuzia na kufanya machafuzi sasa hao ndo hayo makapi very easy .
Hehee Umeuliza maswali mazito na magumu sana, ila Tegemea kujibiwa majibu mepesi kama unyoya wa mwewe, kuna tatizo kubwa kwenye hizi dini na nafurahi nawe kuwa mmoja ya walioamka kutoka usingizini.Nianze ku declare interest. Nimezaliwa katika familia ya kiislamu/ ukoo wa kiislamu. Tena sio waislamu wa wasiwasi.
But ndani ya nafsi nimesha jivua huo utambulisho wa uislamu.
Siji identify na dini yoyote.
Nimeujua ukweli kuhusu dini zote.
Mungu alie umba Mbingu na ardhi na viumbe wote waliomo ndani yake hahitaji mimi niwe Mkristo wala muislamu ILI eti ndio anipende.
Mungu hajawahi kuwa na Nabii wala Mtume yoyote yule kwa sababu Mungu alimuumba mwanadamu akiwa amekamilika KWA KILA.kitu. ..
Kusema sijui Mungu alimtuma Nabii nani nani sijui KWA watu ni kuidhalilisha sifa ya uungu alio nao..
Mungu angehitaji watu wake wawe kama ambavyo amesema kwenye hayo yanayo itwa maandiko ya watu alio watuma angewapa wanadamu uwezo wa kufanya hivyo toka binadamu wa KWANZA.
Mungu hana watu ambao eti ndio wateule wake eti taifa lake .
Wala hapa duniani hakuna sehemu ambayo ni takatifu kushinda nyingine.
Sehemu zote ni SAWA KWA Mungu.
Back to the point..
Hoja ya waislamu ni kwamba Kitabu chao ndio kimetoka KWA Mungu na sababu yao ni kwamba Kitabu chao hakina makosa..Kitabu chao kimekamilika...
Hapa wanamaanisha kwamba ILI kitu kitajwe kwamba kimetoka KWA Mungu ni lazima kiwe kimekamilika yani kisiwe na kasoro hata kidogo.
Kama jibu ni ndio, waislamu mna.majibu GANI kwa hoja hii?
1. Je binadamu hajawaumbwa na Mungu kwa sababu miongoni mwao wamo walio na mapungufu mfano walemavu wa aina mbalimbali?
2. Waislamu wanasema Qur'aan imekamilika.kwa sababu imetoka KWA Mungu lakini hao hao ndio wa KWANZA kusema " MWAMADAMU NI KIUMBE MWENYE MAPUNGUFU. KIUMBE DHAIFU...
So waislamu mnataka.kusema kwamba KWA Mungu mnae.muabudu ninyi ni muhimu zaidi kwake kushusha Kitabu ambacho kimekamilika.kuliko kuumba binadamu ambae amekamilika?....
Nikishakujibu happ juu issue za Alberto rivera na connection yake na jesuits zilishakuwa debunked just save us time usome zipo online nyingi tu so sitojisumbua kuzirudia hap.Hicho Kitabu chako mkuu kimeandikwa na watu wa Holy Sea KWA msaada wa majini. Then akatumiwa shushushu wao Bi Hadija lengo likiwa kutimiza agenda fulani. Ni agenda GANI?( U dont need to know it you look like a person who deserve to be deceived) ( Holy Sea ndio Wana literatures na connection na.majini wote ulimwenguni)
Ukamilifu wa hicho Kitabu ni kwa sababu watu walikaa ku copy na kupaste.
Prove kwamba ni ibilisi , kwenye imani yetu ibilisi ni just insignificant being with mischifious behaviours anayependa kupoteza watu kwa ku whisper and influence their dark fantasies hata wakajikuta wanafanya hayo madhambi yeye ni katika majini na wala hana nguvu yoyote ya kuumba wala kumpeleka yoyote motoni.Acha kujitetea kaka. Walokole wana hoja. Na hizo ndo zile zinaitwa satanic verses in Qur'aan.
Huyo anae jiapiza kupeleka watu motoni ni ibilisi na sio Mungu...
Prove that ni za kusadikika debunk any of it.Story za kusadikika hizi mkuu.
Mkuu umezaliwa katika wazee wako Waislam lakini wewe haujuwi Uislam na nini maana ya neno Uislam ndio maana unaropoka ovyo pasivyo na kujuwa kitu katika Uislam. Ungelisoma dini ya uislam kwanza halafu uje hapa ulete pumba zako. Wazungu wenye PHD wajaribu kushindana na Quran na wameshindwa wengi wao wamesilimu itakuwa wewe haujuwi kitu unaleta hoja zako za pumba hapa jukwaani? Jiulize kwanza Mungu amekuumba wewe kwa sababu gani? Au mungu alikuumba uje uzaane tu pasipo an sababu muhimu? Acha Mkuu kupotosha watu wewe sio muislam na wala sio mkristo wewe ni mpagani huna dini uliza Waisla wenye elimu watakufundisha uislam. Kuzaliwa Baba na mam wote ni waislam haiamanishi eti unajuw adini ya kiislam nenda kasome dini upate kujuwa na uje ulete hoja zako za pumba hapa.Nianze ku declare interest. Nimezaliwa katika familia ya kiislamu/ ukoo wa kiislamu. Tena sio waislamu wa wasiwasi.
But ndani ya nafsi nimesha jivua huo utambulisho wa uislamu.
Siji identify na dini yoyote.
Nimeujua ukweli kuhusu dini zote.
Mungu alie umba Mbingu na ardhi na viumbe wote waliomo ndani yake hahitaji mimi niwe Mkristo wala muislamu ILI eti ndio anipende.
Mungu hajawahi kuwa na Nabii wala Mtume yoyote yule kwa sababu Mungu alimuumba mwanadamu akiwa amekamilika KWA KILA.kitu. ..
Kusema sijui Mungu alimtuma Nabii nani nani sijui KWA watu ni kuidhalilisha sifa ya uungu alio nao..
Mungu angehitaji watu wake wawe kama ambavyo amesema kwenye hayo yanayo itwa maandiko ya watu alio watuma angewapa wanadamu uwezo wa kufanya hivyo toka binadamu wa KWANZA.
Mungu hana watu ambao eti ndio wateule wake eti taifa lake .
Wala hapa duniani hakuna sehemu ambayo ni takatifu kushinda nyingine.
Sehemu zote ni SAWA KWA Mungu.
Back to the point..
Hoja ya waislamu ni kwamba Kitabu chao ndio kimetoka KWA Mungu na sababu yao ni kwamba Kitabu chao hakina makosa..Kitabu chao kimekamilika...
Hapa wanamaanisha kwamba ILI kitu kitajwe kwamba kimetoka KWA Mungu ni lazima kiwe kimekamilika yani kisiwe na kasoro hata kidogo.
Kama jibu ni ndio, waislamu mna.majibu GANI kwa hoja hii?
1. Je binadamu hajawaumbwa na Mungu kwa sababu miongoni mwao wamo walio na mapungufu mfano walemavu wa aina mbalimbali?
2. Waislamu wanasema Qur'aan imekamilika.kwa sababu imetoka KWA Mungu lakini hao hao ndio wa KWANZA kusema " MWAMADAMU NI KIUMBE MWENYE MAPUNGUFU. KIUMBE DHAIFU...
So waislamu mnataka.kusema kwamba KWA Mungu mnae.muabudu ninyi ni muhimu zaidi kwake kushusha Kitabu ambacho kimekamilika.kuliko kuumba binadamu ambae amekamilika?....
Mlokole ndiyo kidubwasha gani we pimbi!?..yaani sisi tibabaishwe na watu mungu wao kiziwi hasikii mpaka wapayuke!!?Mkuu hii ayat wenzako walokole wanasemaga ndio ina prove kwamba uislamu ni dini ya majini na imeanzishwa na mkuu wa majini na hiyo Ayat ni mkuu wa majini anajiapiza kwamba atawapeleka binadamu na Majini motoni. ..
Itafakari hiyo Ayat KWA kina mkuu. Think deep. God is not going to say those kinds of words to his creation.
Muislamu wa ukweli hatukani mkuu. Anyways wewe unaijua dini hebu nifafanulie kuhusu hii ayatMkuu umezaliwa katika wazee wako WQaislam lakini wewe haujuwi Uislam na nini maana ya neno Uislam ndio maana unaropoka ovyo pasivyo na kujuwa kitu katika Uislam. Ungelisoma dini ya uislam kwanza halafu uje hapa ulete pumba zako. Wazungu wenye PHD wajaribu kushindana na Quran na wameshindwa wengi wao wamesilimu itakuwa wewe haujuwi kitu unaleta hoja zako za pumba hapa jukwaani? Jiulize kwanza Mungu amekuumba wewe kwa sababu gani? Au mungu alikuumba uje uzaane tu pasipo an sababu muhimu? Acha Mkuu kupotosha watu wewe sio muislam na wala sio mkristo wewe ni mpagani huna dini uliza Waisla wenye elimu watakufundisha uislam. Kuzaliwa Baba na mam wote ni waislam haiamanishi eti unajuw adini ya kiislam nenda kasome dini upate kujuwa na uje ulete hoja zako za pumba hapa.
Ibilisi ana moto wa kupeleka watu!?Acha kujitetea kaka. Walokole wana hoja. Na hizo ndo zile zinaitwa satanic verses in Qur'aan.
Huyo anae jiapiza kupeleka watu motoni ni ibilisi na sio Mungu...
Wewe kakupiga nani!?..zaidi ya serikali kuua waislam miaka ya 90 na kuwafunga kumtetea yesu!?Ila ninacho wapendea bananhata uwatukane vipi hawapigani.
Ila sisi dada. Duh ndo maana wanasemaga tumepagawa na majini
Halafu unasema ulizaliwa kwenye familia ya kiislam haswa!!..huo uhaswa inatoka wapi ikiwa vitu vya msingi kwenye Imani ya kiislam huvijui!?Mlokole ni mfuasi wa mafundisho ya Allah kwenye Qur'aan 5;46
Unsjua tofauti ya kusoma na kikariri? Wapi nimesema alisoma au aliandika? Alikuwa anadikiloza mahubiri, anaweka kichwani, akabafilisha baadhi ya story alizosikia mfano story ya Ibrahim kumtoa kafara mwana wake wa ahadi Isaka aliomzaa uzeeni na mke wake wa ndoa Sara ila yeye alivyokuja kuwasimulia maswahaba wake kwa mfumo mnaoita kuteremshwa akawaambia alitaka kumchinja ishmail mwana wa mchepuko wake hajir aliyekuwa house girl wao.Kwanza mtume muhammad (swalalah alayhi wasalam) alikuwa hajui kusoma wala kuandika how akariri vifungu vya biblia? Na unanua miaka hiyo kulikuwa hakuna nchi inaitwa ya kikristo? Kama una ushahidi weka hapa .
Ushahidi huu hapa alikuwa hajui kusoma wala kuandika ningependa na wewe uweke wa kwako kwamba aliiba kwente bible