Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Akili yako ni tunu ya taifa
 
Kwani nyinyi wagalatia sikuhizi mna shida gani mbona mnalialia sana kuhusu Quran?

Mmekosa hoja ya kuthibitisha kuwa Quran ni maneno ya uongo mmebaki mnalialia tu

Allah alishajua kuwa hakuna binadamu atakaeweza kuthibisha kuwa Quran sio kitabu Cha Mungu

Na ndio maana akasema ndani ya Quran asiyemtaka mtume Muhammad basi na ACHUKUE KAMBA AJINYONGE
 
Nikwambie kitu mkuu. Wewe ni kiazi. Unalidhalilisha jina la mufti.


Na wasiwasi hata kama madrassa umepita wewe.

Kama umeweza kukariri kiarabu unashindwa vipi kuelewa hoja nyepesi kama hii.


Muislamu unatakiwa kuwa mjanja mjanja.
Ujanja janja Upo huko, kwenu, Akina masanja wamecheza komedi, wakaons hailipi leo hii nae mchungaji, anawapiga wenzie pesa.

Gwajima ameuza genge kule kwa Matias Kibaha, Leo hii anawapiga watu pesa.

Hivi unamjia mwingira, anawapiga watu pesa vya kutoshs, amewekeza sana kwenye ardhi, waumini wake huenda kuhiji shambani kwake kibaha mara mbili kwa mwaka, wakiwa huo yeye huwalisha na garama wanajilipia.

Niishie hapa ila ujanja ujanja, upo kanisani na wajinja wajinga wapo huko pia.
 
Huu uzi wa pili leo unakosoa uislam ule wa mwanzo umetoa mpaka kipande cha biblia. Kama wewe atheists amini unacho amini sisi waislam tunaamini tunacho kiamini. Wewe una imani yako na sisi tunayo yetu.
 
Kwa hiyo waliozowa bila ndoa halali gesti ndio wasifie dini??
Mkuu acha tufie dini, maana sisi hatuzaliwa kwa mimba za gesti bali kwa ndoa halali, hivyo tumekua kufuata maadili ya kijamii kupitia dini zetu.

Unajua watoto wengi, wanaozaliwa gesti hukosa matunzo mazuri ya wazazi.
 
Waislamu wanasema Qur'aan imekamilika.kwa sababu imetoka KWA Mungu
Naongeza hapa ikiwa imekamilika kwann kuna kitu kinaitwa fatwa(sina uhakika na spellings zake) yaani ile kitu ambacho kimetokea na quran haijatoa mwongozo wake badala yaka wanadamu( wasomi wa dini) ndiyo hukitolea mwongozo. Kwanini iwe hivyo ilihali mnasema quran
imekamilika?
 
Kwanza hakijatungwa, kimehamishiwa katika maandishi na watu.

Quraan ni maelekezo aliyokuwa akipewa(kauli ya kushushwa ni kutokana na kuamini mungu yupo juu, hivyuo kitokacho juu kuja chini ni kimeshushwa,) malaika jibril ndio mara nyingi alikuwa anakuja na hayo maelezo (MUONGOZO) juu ya jambo fulani, nae baada ha kufundishwa alikuwa akiwafundisha maswahaba wake, kuwa mola wetu mlezi kasema kadha kadha wa kadha. Baadae wakaamua kuhamishia kwenye maandishi kwa sababu ya kuogopa watu kubadili vitu sababu ya mapokezi, nadhani tulijifunza maneno kupokewa pokewa huwa yanabadilika, mwishowe itabadilika maana.

Hii quraan haijawahi badilika ukichukua msahafu wa mwaka 1950 uko sawa na wa leo, ukipata nakala ya 1000 huko ni iko sawa na ya leo.


AHSANTE
 
Wewe sio muislamu,wacha kujitekenya,huku wacheka.
 
Jua linazama kwenye matope mazito, au siyo?
 
Maana yangu ni kwamba labda tuongee kwa mfano.
Unaposema Muhammad alisikia habari kwa Paul, nataka kujua huyu paulo hiyo bahari isiyochangamana aliijulia/kuiona wapi?

Mfano we unaishi bongo hapa habari za kangaroo wa Australia unazijuaje kama hujawaona. Kwa teknolojia ya sasa utasoma hata google au insta... Sasa kipindi hiko paulo aliionea wapi bahari ya maji kutokuchangamana, maana moja ya sehemu hiyo ni huko Marekani kama sikosei, sasa aliionea wapi kiasi asimulie mpaka mtume asikie kwake?
 
Umemaliza mjadala.Kutwa wanalia lia na kulalamika. Enyi wagalatia msio na akili nani amewaroga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…