Nianze ku declare interest. Nimezaliwa katika familia ya kiislamu/ ukoo wa kiislamu. Tena sio waislamu wa wasiwasi.
But ndani ya nafsi nimesha jivua huo utambulisho wa uislamu.
Siji identify na dini yoyote.
Nimeujua ukweli kuhusu dini zote.
Mungu alie umba Mbingu na ardhi na viumbe wote waliomo ndani yake hahitaji mimi niwe Mkristo wala muislamu ILI eti ndio anipende.
Mungu hajawahi kuwa na Nabii wala Mtume yoyote yule kwa sababu Mungu alimuumba mwanadamu akiwa amekamilika KWA KILA.kitu. ..
Kusema sijui Mungu alimtuma Nabii nani nani sijui KWA watu ni kuidhalilisha sifa ya uungu alio nao..
Mungu angehitaji watu wake wawe kama ambavyo amesema kwenye hayo yanayo itwa maandiko ya watu alio watuma angewapa wanadamu uwezo wa kufanya hivyo toka binadamu wa KWANZA.
Mungu hana watu ambao eti ndio wateule wake eti taifa lake .
Wala hapa duniani hakuna sehemu ambayo ni takatifu kushinda nyingine.
Sehemu zote ni SAWA KWA Mungu.
Back to the point..
Hoja ya waislamu ni kwamba Kitabu chao ndio kimetoka KWA Mungu na sababu yao ni kwamba Kitabu chao hakina makosa..Kitabu chao kimekamilika...
Hapa wanamaanisha kwamba ILI kitu kitajwe kwamba kimetoka KWA Mungu ni lazima kiwe kimekamilika yani kisiwe na kasoro hata kidogo.
Kama jibu ni ndio, waislamu mna.majibu GANI kwa hoja hii?
1. Je binadamu hajawaumbwa na Mungu kwa sababu miongoni mwao wamo walio na mapungufu mfano walemavu wa aina mbalimbali?
2. Waislamu wanasema Qur'aan imekamilika.kwa sababu imetoka KWA Mungu lakini hao hao ndio wa KWANZA kusema " MWAMADAMU NI KIUMBE MWENYE MAPUNGUFU. KIUMBE DHAIFU...
So waislamu mnataka.kusema kwamba KWA Mungu mnae.muabudu ninyi ni muhimu zaidi kwake kushusha Kitabu ambacho kimekamilika.kuliko kuumba binadamu ambae amekamilika?....
@LIKUD acha uongo bhana ww ni kufar
Natoa mfano wa kitu kingine mwenye akili ataelewa na pia anaetaka ubishi usio na mwisho pia ataelewa lakin atajifanya kujibu utumbo ili kudhihirisha upumbavu wake.
Haya ww bwana ulitaka waumbwe binadamu wote na afya njema wote wenye miraba minne wote wana hela kama elon musk ?? Duniani watu wangeishi vip?
Ulitaka kila mtu awe na akili timamu?? Kila mtu awe mwalimu ,kila mtu awe bankers,
Hivi sijui unanielewa lakini?
Ulishawai enda sokon ukaona machungwa yote yanayouzwa yapo vizuri hayana dosari au ndizi zote ni aina moja size moja bei moja.???
Hivi sijui mnanielewa lakin nyie viumbe wazito???
Dunia haiwez kuenda kwa kuwa na watu sampuli moja wote
Ulitaka wote tuwe wagalatia au wote tuwe waislamu ,sasa hapo tabaka gani litawaelimisha wengine.??
Mapungufu ya binadamu ndio ukamilifu wake ,yan mwanadamu kuwa na mapungufu ndio sifa yake kuu
Ila sasa ambae hana mapungufu hata punje ni muumba mwenyewe Allah jala jalali ,Allah tabaraka wataala ,Al malku lkulubu ,Allah ambae ameumba mbingu na Ardhi pasipo na nguzo
Allah ambae anawasikia viumbe wake wote dunian kwa wakati mmoja na anajua mpaka unachofikiria hapo kichwani mwako ,anajua pia kesho utaamka saa ngapi
Allah mwenye kusifiwa ,
Naishia hapa maana sifa za Allah ni nyingi na watu wanahitaji kuelezwa ili wajue maana wasije wakaona kama wanaishi kwa nguvu zao na pesa zao wenyewe,mwisho wa siku wakapata kiburi kwa kujiona wao ndio wao hawagusiki
Allah waviumbe wote hata wale ambae hawajui kama wameumbwa na Allah ,pia wana nafasi ya kujivunia japo mioyoni mwao
Hata kama mbele ya watu watakuwa wanaabudu watu wao walio watengeneza katika fikra zao.
Note
Kwa wanaotaka kumjua Allah zaidi wanitafute wabillah taufiq......