Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Mkuu acha tufie dini, maana sisi hatuzaliwa kwa mimba za gesti bali kwa ndoa halali, hivyo tumekua kufuata maadili ya kijamii kupitia dini zetu.

Unajua watoto wengi, wanaozaliwa gesti hukosa matunzo mazuri ya wazazi.
Umenena kweli tupu.
 
Je simba kaumbiwa utashi kama mwanadamu, simba kawekewa moto, simba kuna sheria ya baya na zuri,!?

Simba mtoto kumpanda bimkubwa wake sio tatizo, simba kudhurumu chakula cha chui si tatizo, sisI wenye utashi ndio tumeelekezwa kwenye kitabu(muongozo) bwana fulani kugonga bila ya kuoa ni dhambi, umeumbiwa kugonga lakini fanya hivi na hivi, ebwana eeh, usifanye tendo fulani na aliyekuzaa hilo ni kosa, ukitaka kufanya jambo fulani fanya hivi.
 
Kasome,huwezi kuelewa kitu bila kusoma.Hizo fatwa ndio ujuwe uislamu,uko huru,kuchaguwa kilicho na uwezo wa muislamu.
 
Wakati Mohamad anapewa hayo mafunuo na Jibril, nani alishuhudia?

Quran imesimuliwa na Mohamad , maana yake kwenye masimulizi Mohamad alisema kuwa alishushiwa hayo maelekezo.

Sasa swali: Wakati Mohamad anapewa/anashushiwa, ni nani aliona au alithibitisha hilo tukio?
 
Quran iliyoshuka kutoka kwa Mungu inasema jua jioni huwa linataka kwenye tope!
Kama unataka Kujua Quran inasemaje kuhusu jua uliza tukufundishe

Quran inasema jua linaogelea angani

Je! Angani Kuna matope? Jibu ni kwamba angani hakuna matope ila wewe akili zako ndio zimejaa matope

Quran 21:33.
Na Yeye ndiye aliye umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga vinaogelea.
 
Hakuwepo shuhuda.

Hivyo kukosekana ushuhuda inaharibu maelekezo aliyopewa? Kinachojajiwa ni mashuhuda au impact ya maneno yake.
Ikitokea nimeokata pesa hakuna shuhuda haifai kuitumia kisa hakuna shuhuda?
 
Kwa hiyo waliozowa bila ndoa halali gesti ndio wasifie dini??
Wataijulia wapi na hawakupata malezi mema, Baba hamjui, mama anamuita mtoto mbwa, Unategemea amwambie mtoto aende Msikitini, au kanisani.
 
Hakuwepo shuhuda.

Hivyo kukosekana ushuhuda inaharibu maelekezo aliyopewa? Kinachojajiwa ni mashuhuda au impact ya maneno yake.
Ikitokea nimeokata pesa hakuna shuhuda haifai kuitumia kisa hakuna shuhuda?
Kumbe hamna aliyeshuhudia.

Kumbe ni muhamad aliwafuata wafuasi wake akawaambia "Malaika Jibril amenitokea na ameniambia hivi na vile..."

How can we prove kuwa ni kweli? Hebu tutumie akili zetu kujibu hili...TUTAAMINIJE kuwa kweli alitokewa? Nani aliona? Yaani ushahidi uko wapi?

Mimi nikisema Malaika amenitokea akaniambia hivi na hivi , wewe hapo utaniamini?
 
Kwani aliyeshuhudia wakati musa anapewa torati ni nani, aliyeshuhudia wakati yesu anapewa injili ni nani? aliyeshuhudia wakati daudi anapewa zaburi ni nani?.
 

"Na hawakumtukuza Allah haki ya kutukuzwa kwake, pale waliposema: Allah hakumteremshia mwanaadamu chochote. waambie:Ni nani aliyeteremsha kitabu alichokuja nacho musa, hali ya kuwa ni nuru na uongofu kwa watu, mlichokifanya kurasa kurasa mkizionyesha {baadhi yake!} na mkiyaficha mengi. Na mkafundishwa mliyokuwa hamyajui nyinyi wala baba zenu. Waambie: Ni Allah{ndiye aliyeteremsha} kisha waache katika upuuzi wao wakicheza."
quran 6:91

kusema ukweli quran ni kitabu cha maajabu mno kwa mwenye kuzingatia kina majibu ya mahitaji na maswali yote ya mwanadamu hapa duniani na baada ya kufa.
 
Hoja nyepesi ni kuwa hiyo quran ni maneno ya allah alie mkamilifu vipi itakuwa na mapungufu?.
Mungu wenu anajiita mkamilifu lakin bado kwenye maandiko yake anaonesha sio mkamulifu
.
Anasema kua ni mkamilifu, alafu anaumba watu baadae anawaangamiza (stori ya nuhu, sodoma & gomora etc...). Aliwaangamiza kwakua hawakutenda aliyotaka watende, hivo kazi yake haikua perfect in the first place.. hivo yy sio perfect.
.
Anajua yajayo, hivo anajua kama utatenda dhambi baadae alafu akuadhibu baada ya umauti wako. Does this make any sense?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Iweke sawa.

2. Kati ya kitabu na binadamu nani muongozo kwa mwenzie? Ikiwa ni kitabu basi ndi maana kimekamilika kinamuongoza huyu asiyekamilika(binadamu)
Na swali linakuja kwanini asubiri Miaka zaidi elfu 5 na Tangu kumuumba mwanadamu kushusha kitabu kilichokamilika ambacho ni mwongozo wa huyo mwanadamu asiyekamilika
 
Hebu nieleweshe, ulitaka watu wamkanushe aliyewaumba halafu wapongezwe sio? kwahyo kuwaadhibu wakosaji na kuwalipa mema waliotenda wema sio katika uadilifu wake ni upungufu?.

Kuhusu kujua yajayo sisi waislamu tuna mlango mpana sana wa kuamini qadar na hapa hata waislamu wengi tu wameteleza na hawajaelewa mlango huu, so siwezi kukushangaa wewe.
 
Na swali linakuja kwanini asubiri Miaka zaidi elfu 5 na Tangu kumuumba mwanadamu kushusha kitabu kilichokamilika ambacho ni mwongozo wa huyo mwanadamu asiyekamilika
Hapana gap baina ya yesu na muhammad alayhima ssalaam ni miaka 600 tu na wakati huo bado torati na injili vilikuwa active.
 
Hoja ya kwamba binadamu ameumbwa na Mungu umeipata wapi? Na kama una ushahidi hebu weka hapa .

Note
Haufungamani na dini yoyote ile hivyo sitarajii jibu lako liegemee kwenye dini yoyote ile .
 
Mfano wako wa kangaroo si hai, si hai kwasababu kangaroo ni viumbe Wanaweza fugwa popote pale as long as mazingira yanaruhusu. Si kila aliewai ona kangoroo aliwaikwenda Australia ila kila aliwawai ona pale bahari zinakutana ni lazima aliwa kwenda sehemu husika.
Nikisema" Maduhu alifika na kuuona Mlima kilimanjaro" na wewe ukaniuliza" aliwai fika na kuoonae wapi? " nitakushangaa.. Nitakushangaa kwasababu Mlima kilimanjaro hauhami hata useme khamis aliwai uonea Pwani, so ni lazima maduhu nae ataje ni wapi alipounea.
Sasa, ngoja nikujibu kwa MUKTADHA wa LINI (sio wapi kama unavyosema wewe) Paul alikuwa mtu wa RUTI, jana alikuwa Damascus, kesho Jerusalem mara Yupo ulaya na safari zote hizo alikuwa akitumia farasi, ngamia, miguu ama na mashua. Paul kwenda ulaya ilikuwa kama vile wewe unatoka Vingunguti kwenda mwananyamala..Ama hujui kuwa ulaya na Marekani wanashare bahari? Unajua Titanic iliundwa ili ipige RUTI ulaya To Us😂?
 
Kwann aumbe watu ili aje awaangamize baadae ihali anajua kabisa watatenda maovu...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…