Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Ni kama umejitia kidole mwenyewe halafu unajinusa mjinga ww.
 
Hoja ya kwamba binadamu ameumbwa na Mungu umeipata wapi? Na kama una ushahidi hebu weka hapa .

Note
Haufungamani na dini yoyote ile hivyo sitarajii jibu lako liegemee kwenye dini yoyote ile .
Nimejua kwamba nimeumbwa na Mungu kupitia :


1. My third brain ( it is known as Subconscious Brain or Subconscious Mind)

I have downloaded the message from the universal mind. Everything about everything that humans need to know is in the universal mind...


2. By studying the nature.


3. Sijazaliwa taburalasa. Nimezaliwa tayari Mungu akiwa ame print this information in my dna.

Sikuwahi kufundishwa kudindisha nikimuona mwanamke yupo nusu uchi.

Ila ulipofika wakati wa kufanya hivyo nolijikuta nadindisha tu.

Alienifundisha kudindisha. Alienifundisha kukunja ngumi. Alienifundisha kukimbia kwenye hatari.Alie nifundisha kunyonya, alienifundisha kuweka CHAKULA kupitia mdomoni, Alienifundisha kuogopa giza nikiwa mtoto mchanga etc ndio alienifundisha " subconsciously" kwamba Mungu yupo na kwamba mimi nimeumbwa na Mungu
 
Ni dhahiri kuna maandiko kwenye hivyo vitabu mnavyoviita vitakatifu kwa akili tu ya kawaida hayaiingii akilini ila kwasababu wameambiwa ni dhambi kuyahoji wanabaki kimya kama kuku mtaga mayai
 
Ni dhahiri kuna maandiko kwenye hivyo vitabu mnavyoviita vitakatifu kwa akili tu ya kawaida hayaiingii akilini ila kwasababu wameambiwa ni dhambi kuyahoji wanabaki kimya kama kuku mtaga mayai
Nakazia
 
Ni dhahiri kuna maandiko kwenye hivyo vitabu mnavyoviita vitakatifu kwa akili tu ya kawaida hayaiingii akilini ila kwasababu wameambiwa ni dhambi kuyahoji wanabaki kimya kama kuku mtaga mayai
Watu wajinga hamna elimu mnapata wapi ujasiri wa kukosoa maandiko matakatifu
 
Scientifically ndio Dna zetu zimeandikwa, ili Uwe Binadamau, Kinyonga, Simba una specific Dna zinazokuongoza. Na Dna maelekezo namna gani tu behave.
 
Scientifically ndio Dna zetu zimeandikwa, ili Uwe Binadamau, Kinyonga, Simba una specific Dna zinazokuongoza. Na Dna maelekezo namna gani tu behave.
Exactly mkuu. Ur the true son of ur father.

Watu wa dini eti wao wanaamini Kitabu ndio kimeshushwa kumuelekeza binadamu jinsi ya kuishi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio maana kiranga huwaga anawaita wagonjwa wa akili..
 
Umeandika nini sasa wewe ni miongoni mwa watu wajinga sana,unaandika kama umeshurutishwa ,ungetemani hata ile bar ya delete itokee ,ndo kizazi cha siku hizi unaleta hoja isiyo na miguu wala kichwa ,siku ingine atleast upangilie hoja vizuri
 
Sasa biblia kama kweli inatoka kwa mungu hiyo biblia mbona yanatoka matolea yake wakati aliyeandika ni mmoja agano moja linasema msile nguruwe jingine linaruhusu litakalotoka sasa hivi mtaambiwa kuona jinsia moja ni sawa alieleta kitabu hayupo ila matoleo yake yanaendelea kutoka kweli hilo lipo sawa nielimishe kidogo mkuu nipo tayari kujifunza.
 
@LIKUD acha uongo bhana ww ni kufar

Natoa mfano wa kitu kingine mwenye akili ataelewa na pia anaetaka ubishi usio na mwisho pia ataelewa lakin atajifanya kujibu utumbo ili kudhihirisha upumbavu wake.


Haya ww bwana ulitaka waumbwe binadamu wote na afya njema wote wenye miraba minne wote wana hela kama elon musk ?? Duniani watu wangeishi vip?

Ulitaka kila mtu awe na akili timamu?? Kila mtu awe mwalimu ,kila mtu awe bankers,

Hivi sijui unanielewa lakini?

Ulishawai enda sokon ukaona machungwa yote yanayouzwa yapo vizuri hayana dosari au ndizi zote ni aina moja size moja bei moja.???

Hivi sijui mnanielewa lakin nyie viumbe wazito???

Dunia haiwez kuenda kwa kuwa na watu sampuli moja wote

Ulitaka wote tuwe wagalatia au wote tuwe waislamu ,sasa hapo tabaka gani litawaelimisha wengine.??


Mapungufu ya binadamu ndio ukamilifu wake ,yan mwanadamu kuwa na mapungufu ndio sifa yake kuu

Ila sasa ambae hana mapungufu hata punje ni muumba mwenyewe Allah jala jalali ,Allah tabaraka wataala ,Al malku lkulubu ,Allah ambae ameumba mbingu na Ardhi pasipo na nguzo
Allah ambae anawasikia viumbe wake wote dunian kwa wakati mmoja na anajua mpaka unachofikiria hapo kichwani mwako ,anajua pia kesho utaamka saa ngapi

Allah mwenye kusifiwa ,

Naishia hapa maana sifa za Allah ni nyingi na watu wanahitaji kuelezwa ili wajue maana wasije wakaona kama wanaishi kwa nguvu zao na pesa zao wenyewe,mwisho wa siku wakapata kiburi kwa kujiona wao ndio wao hawagusiki

Allah waviumbe wote hata wale ambae hawajui kama wameumbwa na Allah ,pia wana nafasi ya kujivunia japo mioyoni mwao

Hata kama mbele ya watu watakuwa wanaabudu watu wao walio watengeneza katika fikra zao.


Note
Kwa wanaotaka kumjua Allah zaidi wanitafute wabillah taufiq......
 
Imekuwaje stories zikafanana sasa?
Hii hoja ishajibiwa sana humu jukwaani,

Quran imekuja kama Upgrade ya Taurat, Injili, Zaburi, so si jambo la ajabu kukuta vifungu vinafanana.

Na ili mwenyez Mungu kuthibitisha hakuishia na stori za Injili/Biblia tu bali ameongezea saidi ya hapo.

Leo kuna story kibao ambazo zipo kwenye Biblia Quran imezikosoa ama kuongezea na elimu ya sasa imethibitisha Quran ipo sahihi.

Mifano kama
1. Quran haijamtaja Mfalme wa Egpty kipindi cha yusuf kama farao, Biblia inamtaja kama Farao, Elimu ya sasa inakubaliana na Quran Hakuwa Farao kipindi cha Yusuf sababu Farao ni Cheo cha kidini na Kipindi cha Yusuf mfalme alitoka Syria hakuwa akiabudu dini moja na Watu wa Egpty.

Hivyo unaona Quran haijacopy bali inajua inachokiongelea, kama Angekuwa mtume amecopy na yeye pia angesema Mfalme kipindi cha Yusuf ni pharaoh.

2. Quran inasema specific Kipindi cha Ibrahim waliabudu miungu 3 jua, Mwezi na Nyota ya asubuhi (Ishtar) wakati si Biblia wala Taurat inaongelea nyota ya asubuhi wao wanaongelea tu mwezi na jua, gunduzi za karibuni za magofu ya Babylon huko Iraq inaonesha waliabudu miungu 3.


Pia yapo mambo mengi sana ambayo Biblia inayasema ila yamekuwa proved sio sahihi ila Quran haijayasema, kama Muhammad angekua anacopy tu angeyakopy na Biblia na Quran zote zingekua sio sahihi, mfano Claim ya Bible dunia imeumbwa miaka 5000 iliopita.
 
Exactly mkuu. Ur the true son of ur father.

Watu wa dini eti wao wanaamini Kitabu ndio kimeshushwa kumuelekeza binadamu jinsi ya kuishi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ndio maana kiranga huwaga anawaita wagonjwa wa akili..
We kilaza kweli, yaani Point inapinga Hoja yako unaona kama nakusuport?
 
We jamaa siku nyingi tu nishakuona hamnazo kupitia thread zako na comments zako
 
Sawa wewe sio dhaifu sasa kaa bila kula au kulala usingizi halafu utupatie mrejesho.
 
Watu wajinga hamna elimu mnapata wapi ujasiri wa kukosoa maandiko matakatifu
Matakatifu ni neno linaloweza kupewa kitu chochote kama ambavyo ujinga wako ulivyo mtakatifu wewe bwana simbilisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…