Nature inavyo-expose hoja ya ukamilifu wa QUR'AAN

Who can'not say what to who?
Tangu lini viumbe wakampangia muumba wao cha kuongea? Kwani unadhani ng'ombe na mbwa wanyama wengine wanaotumia mikono na miguu kutembea walipenda kuwa hivyo? But what are they complainig? Jibu ni hapana wanashukuru kwa kuumbwa walivyoumbwa na jukumu walilopewa.

Yeye ndo katuumba majini na watu tena tukiwa na machaguzi na akatupa na sheria zake tufuate atutie peponi milele tuwe naye au tukatae atutie motoni kwa muda atakaotaka yeye an now we complaining?

Hao walokole wangeanza kwanza na aya kama hizi

Ezekieli 16:15 BHN​

“Lakini, ulitegemea uzuri wako, ukatumia sifa yako kwa kufanya uzinzi, ukifanya umalaya na mtu yeyote apitaye..."
 
Tupo duniani as a test, kila mtu anakuwa tested kivyake vyake, hakuna shida unayoipata hapa duniani ambayo hutalipwa, na watu wote wataenda peponi unless wenyewe hawataki. So wewe jitahidi kadri ya uwezo wako mengine Muachie Mungu mwenyewe.

KWA hiyo kumbe Mungu hajui mambo yajayo sio? Ndio maana akutest ILI aone kama utashindwa au utashinda?

Utoto raha sana mkuu.


You can just think anyhow
 
Kaun a majini na watu ili baadae awatumbukize jahannamu? [emoji848]... that's insane

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna moja ya mtume aliwahi kuuliza kama wewe akaambiwa aoteshe ngano na zikikomaa basi amalizie kama inavyotakiwa , akaotesha zikakuwa akavuna akatenga shayiri na makapi kisha makapi akayachoma moto .

Hapo Mola wetu Muumba akamuuliza kwanini kayachoma makapi moto akajibu kwamba hayana faida tena na ndo akaambiwa hivyo hivyo kwamba Mwenyezi Mungu ametuumba na tupo duniani ametupa muongozo kupitia manabii na mitume wanaotokana na sisi lakini kuna ambao hawayafuati wanapuuzia na kufanya machafuzi sasa hao ndo hayo makapi very easy .
 
Acha kujitetea kaka. Walokole wana hoja. Na hizo ndo zile zinaitwa satanic verses in Qur'aan.

Huyo anae jiapiza kupeleka watu motoni ni ibilisi na sio Mungu...
 
Story za kusadikika hizi mkuu.
 
Hehee Umeuliza maswali mazito na magumu sana, ila Tegemea kujibiwa majibu mepesi kama unyoya wa mwewe, kuna tatizo kubwa kwenye hizi dini na nafurahi nawe kuwa mmoja ya walioamka kutoka usingizini.
 
Nikishakujibu happ juu issue za Alberto rivera na connection yake na jesuits zilishakuwa debunked just save us time usome zipo online nyingi tu so sitojisumbua kuzirudia hap.
 
Acha kujitetea kaka. Walokole wana hoja. Na hizo ndo zile zinaitwa satanic verses in Qur'aan.

Huyo anae jiapiza kupeleka watu motoni ni ibilisi na sio Mungu...
Prove kwamba ni ibilisi , kwenye imani yetu ibilisi ni just insignificant being with mischifious behaviours anayependa kupoteza watu kwa ku whisper and influence their dark fantasies hata wakajikuta wanafanya hayo madhambi yeye ni katika majini na wala hana nguvu yoyote ya kuumba wala kumpeleka yoyote motoni.

Yeye mwenyewe anamtegemea mungu kwa kila kitu kuanzia rizki zake, usalama wake na anaomba pia afanikiwe kuwapoteza wengi.
 
Mkuu umezaliwa katika wazee wako Waislam lakini wewe haujuwi Uislam na nini maana ya neno Uislam ndio maana unaropoka ovyo pasivyo na kujuwa kitu katika Uislam. Ungelisoma dini ya uislam kwanza halafu uje hapa ulete pumba zako. Wazungu wenye PHD wajaribu kushindana na Quran na wameshindwa wengi wao wamesilimu itakuwa wewe haujuwi kitu unaleta hoja zako za pumba hapa jukwaani? Jiulize kwanza Mungu amekuumba wewe kwa sababu gani? Au mungu alikuumba uje uzaane tu pasipo an sababu muhimu? Acha Mkuu kupotosha watu wewe sio muislam na wala sio mkristo wewe ni mpagani huna dini uliza Waisla wenye elimu watakufundisha uislam. Kuzaliwa Baba na mam wote ni waislam haiamanishi eti unajuw adini ya kiislam nenda kasome dini upate kujuwa na uje ulete hoja zako za pumba hapa.
 
Mlokole ndiyo kidubwasha gani we pimbi!?..yaani sisi tibabaishwe na watu mungu wao kiziwi hasikii mpaka wapayuke!!?
 
Muislamu wa ukweli hatukani mkuu. Anyways wewe unaijua dini hebu nifafanulie kuhusu hii ayat
 

Attachments

  • Screenshot_20221211-231752.png
    29.6 KB · Views: 3
Acha kujitetea kaka. Walokole wana hoja. Na hizo ndo zile zinaitwa satanic verses in Qur'aan.

Huyo anae jiapiza kupeleka watu motoni ni ibilisi na sio Mungu...
Ibilisi ana moto wa kupeleka watu!?
 
Mlokole ndiyo kidubwasha gani we pimbi!?..yaani sisi tibabaishwe na watu mungu wao kiziwi hasikii mpaka wapayuke!!?
Mlokole ni mfuasi wa mafundisho ya Allah kwenye Qur'aan 5;46
 

Attachments

  • Screenshot_20221211-231752.png
    29.6 KB · Views: 4
Ila ninacho wapendea bananhata uwatukane vipi hawapigani.


Ila sisi dada. Duh ndo maana wanasemaga tumepagawa na majini
Wewe kakupiga nani!?..zaidi ya serikali kuua waislam miaka ya 90 na kuwafunga kumtetea yesu!?
 
Unsjua tofauti ya kusoma na kikariri? Wapi nimesema alisoma au aliandika? Alikuwa anadikiloza mahubiri, anaweka kichwani, akabafilisha baadhi ya story alizosikia mfano story ya Ibrahim kumtoa kafara mwana wake wa ahadi Isaka aliomzaa uzeeni na mke wake wa ndoa Sara ila yeye alivyokuja kuwasimulia maswahaba wake kwa mfumo mnaoita kuteremshwa akawaambia alitaka kumchinja ishmail mwana wa mchepuko wake hajir aliyekuwa house girl wao.

Kwa msingi huo wa kikariri ndio unaotumiwa na dini hiyo aliyoianzisha hadi Leo kwa kumeza kwa kurudiarudia, tena kwa viboko na mkaubatiza eti ni kuhifadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…