Nature preserved! Only for nature lovers

Mimi nipo fresh kabisa pacha. Uwe na siku njema.
Ugonjwa wako pacha pamoja na Mshana Jr. Mti Wa Bonsai una umri wa zaidi ya miaka 800. Uliza bei hapo utaambiwa bajeti ya serikali ya tanzania ya miaka miwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2068177
Tanzania tupo bussy kukata miti ili tuchome mkaa.
 
Dah hatari sana asee. Dedication iliyowekwa kwenye huo mti mpaka kufikia hapo sio ya kitoto pacha. Watu wana passion na mambo yako.

It's a generation thing. Ni kama urithi wa familia kaa vizazi kadhaa.
 
Kumbe umri wetu si lolote si chochote..imagine mti unaishi miaka yote hiyo na bado uko fit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…