Nature preserved! Only for nature lovers

Nature preserved! Only for nature lovers

Screenshot_20220104-101341.jpg
 
Mimi nipo fresh kabisa pacha. Uwe na siku njema.
Ugonjwa wako pacha pamoja na Mshana Jr. Mti Wa Bonsai una umri wa zaidi ya miaka 800. Uliza bei hapo utaambiwa bajeti ya serikali ya tanzania ya miaka miwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2068177
Screenshot_20220104-091515_Opera%20Mini.jpg

Tanzania tupo bussy kukata miti ili tuchome mkaa.
 
Ugonjwa wako pacha pamoja na Mshana Jr. Mti Wa Bonsai una umri wa zaidi ya miaka 800. Uliza bei hapo utaambiwa bajeti ya serikali ya tanzania ya miaka miwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2068177View attachment 2068178
Tanzania tupo bussy kukata miti ili tuchome mkaa.
Dah hatari sana asee. Dedication iliyowekwa kwenye huo mti mpaka kufikia hapo sio ya kitoto pacha. Watu wana passion na mambo yako.

It's a generation thing. Ni kama urithi wa familia kaa vizazi kadhaa.
 
Kumbe umri wetu si lolote si chochote..imagine mti unaishi miaka yote hiyo na bado uko fit
 
Back
Top Bottom