Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli...this is nature
Ugonjwa wako pacha pamoja na Mshana Jr. Mti Wa Bonsai una umri wa zaidi ya miaka 800. Uliza bei hapo utaambiwa bajeti ya serikali ya tanzania ya miaka miwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2068177Mimi nipo fresh kabisa pacha. Uwe na siku njema.
Dah.. Nilicheki mmoja OG unauzwa usd 400 kumbe ni cheap kabisa..Ugonjwa wako pacha pamoja na Mshana Jr. Mti Wa Bonsai una umri wa zaidi ya miaka 800. Uliza bei hapo utaambiwa bajeti ya serikali ya tanzania ya miaka miwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2068177View attachment 2068178
Tanzania tupo bussy kukata miti ili tuchome mkaa.
Ugonjwa wako pacha pamoja na Mshana Jr. Mti Wa Bonsai una umri wa zaidi ya miaka 800. Uliza bei hapo utaambiwa bajeti ya serikali ya tanzania ya miaka miwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2068177View attachment 2068178
Tanzania tupo bussy kukata miti ili tuchome mkaa.
Dah hatari sana asee. Dedication iliyowekwa kwenye huo mti mpaka kufikia hapo sio ya kitoto pacha. Watu wana passion na mambo yako.Ugonjwa wako pacha pamoja na Mshana Jr. Mti Wa Bonsai una umri wa zaidi ya miaka 800. Uliza bei hapo utaambiwa bajeti ya serikali ya tanzania ya miaka miwili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2068177View attachment 2068178
Tanzania tupo bussy kukata miti ili tuchome mkaa.
Kumbe umri wetu si lolote si chochote..imagine mti unaishi miaka yote hiyo na bado uko fitDah hatari sana asee. Dedication iliyowekwa kwenye huo mti mpaka kufikia hapo sio ya kitoto pacha. Watu wana passion na mambo yako.
It's a generation thing. Ni kama urithi wa familia kaa vizazi kadhaa.