Nature preserved! Only for nature lovers

Sorry una ambayo iko tayari? Unauza?
Hapana, ngumu sana kumuuzia mtanzania, fikiri mti uliouhangaikia kwa zaidi ya miaka 15 utauza kwa shs ngapi? Fanya kwa hobby tu, umri wako miaka 40 unapanda mti + 15=55! Utakayemuuzia awe na nyumba ya kistaarabu wanaojua faida ya mapambo vinginevyo utakuta wametupa jalalani! Utapiga nyumba nzima mpaka na paka nao utawapiga.
 
vinginevyo utakuta wametupa jalalani! Utapiga nyumba nzima mpaka na paka nao utawapiga.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…