Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

Eeeh ndio sampuli hizi
Na ukizichunguza sana huwa na sifa hizi;

1. Wametoka familia maskini kupindukia.

2. Wanapenda ku fake maisha. Nina hakika mke wa jamaa anadai yote hayo ili kujaza pics insta aonekane 'bosiledi'.

3. Ni malaya wa kutupwa, ili kuweza kukidhi maisha yao fake.

4. Kubwa na la muhimu, huwa wana matatizo ya akili ukikaa nao. Hawapo sawa mentally.


View: https://youtu.be/ik8WTbUSe2Q?si=AjiKLd-EYqNTZs6_
 
Makelele yote haya ni mtoko mmoja tu na kasherehe kamoja tu kwa mwaka??? Jipange tu wala hutaona kero. Wenzio wana mitoko kila sikukuu, kila harusi ya jamii mnayofahamiana nayo, kila birthday ya mtoto mke anaomba mtoke mkajipongeze mlizaa ... hapo ndio utajua maana ya kuwa mwanamume 😀 😀 matesoooo matetesooo kuhangaikaaa
 
Sasa aliyekutuma kuoa slay Queen ni nani?mwanamke gani hana huruma na mwenza wake?rubbish
🐦 Birds of the same feathers 😁 flying together. Mimi ndoa ingekua isha vunjika.
Siku akikosa pesa za ku fullfil demand zake au ulemavu wa Maisha ndipo ataijua true colour ya huyo mwanamke .
Aishi kwa tahadhali nae Sana #YOLO
 
🐦 Birds of the same feathers 😁 flying together. Mimi ndoa ingekua isha vunjika.
Siku akikosa pesa za ku fullfil demand zake au ulemavu wa Maisha ndipo ataijua true colour ya huyo mwanamke .
Aishi kwa tahadhali nae Sana #YOLO
Nimeamini hapo kwenye same feathers,mume mwingine kwanza atakutia makofi uache upumbavu....eti nguo ya valentine,seriously?
 

pole kwa yote.
1. kuhusu ada, peleka watoto shule ambazo utamudu gharama zake pasi na stress nyingi.
2. CCM wakatae kutokea moyoni. elimisha jamii yako pia inayokuzunguka, waikatae kwa moyo na kwa mataendo
watoto wapeleke shule za kawaida,
CCM wafute moyoni na akilini na uwaambie wengine hivyo
mdhibiti mkeo, awe anasikiliza kutoka kwako. kaa kwenye nafasi yako. wewe ni kichwa cha familia
 
Kiufupi hamna ndoa hapo. Tupo kataa ndoa tunakusubiri muachane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…