Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

Mwanamke mpumbavu...

Wenzake tunafanyiwa surprise yeye anademand woiiiii...
 
Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January.

Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb.

Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake utakereka tu, eidha uwe na Hela au usiwe nazo, nakuapia mbele ya miungu yote kwamba utakereka tu.

Inakuja St. Valentine's Day, utake usitake utakasirika, ni lazima umnunulie nguo mpya za sikukuu, hizi ni tofauti na za mwaka Jana.

Pia ni lazima umtoe out, umpeleke sehemu classic kwa ajili ya candle light dinner, table for two.

Umpeleke akacheze classic jazz, au wakati mwingine umpeleke akacheze salsa na Latinos, dah kichwa kinauma.

Ukimwambia tubane matumizi, anakujibu kwamba yeye ana siku mbili tu za kufurahia maisha yake, birthday yake na Valentine's day.

Wenye ndoa tuna changamoto sana. Mke wako ni changamoto Yako, watoto wako ni changamoto Yako, ndugu zako ni changamoto Yako, ndugu wa mkeo ni changamoto Yako, yaani full machangamoto.

Kazini changamoto ni zako, mitaani, yaani kila sehemu pasua kichwa.

February hebu Isha mapema aisee.
Nawaza candle light dinner na table for two ukiwa umekereka ndani ya moyo inakuwaje🤔
 
Yeye ana changia kiasi gani kwenye hizo bajeti, usipokuwa makini utakufa masikini na ukifilisika atakuacha
 
pole kwa yote.
1. kuhusu ada, peleka watoto shule ambazo utamudu gharama zake pasi na stress nyingi.
2. CCM wakatae kutokea moyoni. elimisha jamii yako pia inayokuzunguka, waikatae kwa moyo na kwa mataendo

watoto wapeleke shule za kawaida,
CCM wafute moyoni na akilini na uwaambie wengine hivyo
mdhibiti mkeo, awe anasikiliza kutoka kwako. kaa kwenye nafasi yako. wewe ni kichwa cha familia
CCM ni adui namba moja wa Tanganyika
 
Mkaushie, mwambie huna hela. Ikishindikana sana anza routes za chooni frequently. Mwambie una tumbo la kuhara, hiyo itasaidia mtoko usiwepo.
Kumbe hii ya kujifanya unaumwa kukwepa birthday ipo sana, nilifikiri ni huyu tu mzee wa matukio wangu 🤣🤣🤣🤣
 
Juzi ilikua birthday yangu tareh 11 lakin sijaizingatia zaid ya kushukuru mungu maisha yaendelee
 
pole kwa yote.
1. kuhusu ada, peleka watoto shule ambazo utamudu gharama zake pasi na stress nyingi.
2. CCM wakatae kutokea moyoni. elimisha jamii yako pia inayokuzunguka, waikatae kwa moyo na kwa mataendo

watoto wapeleke shule za kawaida,
CCM wafute moyoni na akilini na uwaambie wengine hivyo
mdhibiti mkeo, awe anasikiliza kutoka kwako. kaa kwenye nafasi yako. wewe ni kichwa cha familia
Amina
 
Back
Top Bottom