Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

Matatizo mengine mnayalea wenyewe,kwa nini ufanye kitu kumfurahisha mwenzio huku wewe moyo ukivuja damu,acheni unafiki mtakufa siku sio zenu.It means kila mwaka ni mateso
Na usipomdhibiti huyo slay queen kuna siku atakupiga tukio mpaka utazinduka usingizini.
 
Alafu wanawake wa hivo anakuwa hakupendi ila yuko pale kwa sababu anapata kitu fulani.Hongera kwa kuoa slay queen.
Yaani mambo kama hayo utakuta hata Tulia hayajui ila sasa hawa goalkeeper wanayajua balaa.
 
Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January.

Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb.

Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake utakereka tu, eidha uwe na Hela au usiwe nazo, nakuapia mbele ya miungu yote kwamba utakereka tu.

Inakuja St. Valentine's Day, utake usitake utakasirika, ni lazima umnunulie nguo mpya za sikukuu, hizi ni tofauti na za mwaka Jana.

Pia ni lazima umtoe out, umpeleke sehemu classic kwa ajili ya candle light dinner, table for two.

Umpeleke akacheze classic jazz, au wakati mwingine umpeleke akacheze salsa na Latinos, dah kichwa kinauma.

Ukimwambia tubane matumizi, anakujibu kwamba yeye ana siku mbili tu za kufurahia maisha yake, birthday yake na Valentine's day.

Wenye ndoa tuna changamoto sana. Mke wako ni changamoto Yako, watoto wako ni changamoto Yako, ndugu zako ni changamoto Yako, ndugu wa mkeo ni changamoto Yako, yaani full machangamoto.

Kazini changamoto ni zako, mitaani, yaani kila sehemu pasua kichwa.

February hebu Isha mapema aisee.

Inakuja St. Valentine's Day, utake usitake utakasirika, ni lazima umnunulie nguo mpya za sikukuu, hizi ni tofauti na za mwaka Jana.😂😂😂😂
 
Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January.

Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb.

Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake utakereka tu, eidha uwe na Hela au usiwe nazo, nakuapia mbele ya miungu yote kwamba utakereka tu.

Inakuja St. Valentine's Day, utake usitake utakasirika, ni lazima umnunulie nguo mpya za sikukuu, hizi ni tofauti na za mwaka Jana.

Pia ni lazima umtoe out, umpeleke sehemu classic kwa ajili ya candle light dinner, table for two.

Umpeleke akacheze classic jazz, au wakati mwingine umpeleke akacheze salsa na Latinos, dah kichwa kinauma.

Ukimwambia tubane matumizi, anakujibu kwamba yeye ana siku mbili tu za kufurahia maisha yake, birthday yake na Valentine's day.

Wenye ndoa tuna changamoto sana. Mke wako ni changamoto Yako, watoto wako ni changamoto Yako, ndugu zako ni changamoto Yako, ndugu wa mkeo ni changamoto Yako, yaani full machangamoto.

Kazini changamoto ni zako, mitaani, yaani kila sehemu pasua kichwa.

February hebu Isha mapema aisee.
Kuna jamaa huu mwezi humpa kumbukumbu taam,,,,,siku ya Valentine alimtumia meseji boss wake wa kike kimasihara tu akajikuta ghafla keshamlamba...
 
Huu mwezi sipendi kabisa. Nimetoka kulipa ada ya watoto watatu,mwezi uliopita January.

Inaingia February inaanza na siku ya CCM, mkosi namba Moja tarehe 05/ Feb.

Inafuata birthday ya mama watoto, she is very much demanding, yaani kwake birthday yake ni kama kamungu kake kadogo, utake usitake utakereka tu, eidha uwe na Hela au usiwe nazo, nakuapia mbele ya miungu yote kwamba utakereka tu.

Inakuja St. Valentine's Day, utake usitake utakasirika, ni lazima umnunulie nguo mpya za sikukuu, hizi ni tofauti na za mwaka Jana.

Pia ni lazima umtoe out, umpeleke sehemu classic kwa ajili ya candle light dinner, table for two.

Umpeleke akacheze classic jazz, au wakati mwingine umpeleke akacheze salsa na Latinos, dah kichwa kinauma.

Ukimwambia tubane matumizi, anakujibu kwamba yeye ana siku mbili tu za kufurahia maisha yake, birthday yake na Valentine's day.

Wenye ndoa tuna changamoto sana. Mke wako ni changamoto Yako, watoto wako ni changamoto Yako, ndugu zako ni changamoto Yako, ndugu wa mkeo ni changamoto Yako, yaani full machangamoto.

Kazini changamoto ni zako, mitaani, yaani kila sehemu pasua kichwa.

February hebu Isha mapema aisee.
Remember all you Protestants and athiest while you're celebrating Saint Valentines day you're celebrating a CATHOLIC PRIEST who was a martyr for the CATHOLIC CHURCH.

THANK YOU FOR YOUR SUPPORT! 😆
 
Ndivyo ulivyomzoesha
 
Remember all you Protestants and athiest while you're celebrating Saint Valentines day you're celebrating a CATHOLIC PRIEST who was a martyr for the CATHOLIC CHURCH.

THANK YOU FOR YOUR SUPPORT! 😆
Tena juzi nimepoteza driving license yangu na wallet yenye vitambulosho vyote,.. ahhhhh I hate this month na mizimu yake yoye
 
Back
Top Bottom