Nauchukia mwezi February, mwezi wa birthday ya mke wangu, mwezi wa birthday ya CCM, mwezi wa Valentine's Day

Mwanamke mpumbavu...

Wenzake tunafanyiwa surprise yeye anademand woiiiii...
 
Nawaza candle light dinner na table for two ukiwa umekereka ndani ya moyo inakuwaje🤔
 
Yeye ana changia kiasi gani kwenye hizo bajeti, usipokuwa makini utakufa masikini na ukifilisika atakuacha
 
CCM ni adui namba moja wa Tanganyika
 
Mkaushie, mwambie huna hela. Ikishindikana sana anza routes za chooni frequently. Mwambie una tumbo la kuhara, hiyo itasaidia mtoko usiwepo.
Kumbe hii ya kujifanya unaumwa kukwepa birthday ipo sana, nilifikiri ni huyu tu mzee wa matukio wangu 🤣🤣🤣🤣
 
Juzi ilikua birthday yangu tareh 11 lakin sijaizingatia zaid ya kushukuru mungu maisha yaendelee
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…