Nauchukia Utanzania wangu

Hasa ukiwa na exposure, uafrika ni kikwazo sana. Unaona wenzako walivyo serious na kujenga nchi zao.
 
Kk hata mbegu uliopanda ww haijafa, siku ikipata maji na mwanga itamea tuu.

Kutokuhoji, kukosoa na kukemea ni kumkosea Muumba kwa kipawa hiki cha akili alichotupatia
Kukosa,kuhoji na kukemea uko sahihi ila kwenye hoja za kuubagaza utanzania umefeli jombaa
 
Siku zote maisha ni magumu na siku zote kuna matajiri na masikini mahala popote pale. Ulaya wapo ma jobless na homeless sijui labda Uarabuni kwenye mafta.
Pia njia pekee ya kumtoa ccm ni kuandamana kwa wananchi nje ya hapo haitoki
 
Badilisha uraia.Watu wanabadili hadi makabila sembuse uraia?
 
Brother trust me, km hujaelewa hii simple thread hutoelewa kamwe.

Am not feeling proud to be a citizen of this country.

Na nikibahatika kuvuka mipaka sitajitambulisha km Mtanzania, and if i get an opportunity to apply for dual or new citizenship i wont hesitate
 
Wachache sn, mlio barikiwa maono hayo..

Wengine wamebakia uchawa tuu huku wanaugulia maumivu
Ukikaa ukaangalia na kutafakari mambo ya kipuuzi yanayoendelea humu nchini ,
Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima ajue tu kwamba hili taifa ni hopeless na hali itazidi kuwa mbaya mno kadiri siku zinavyozidi kwenda .
Kiufupi future ya mwananchi wa kawaida nchi hii ni mbovu mno
 
Future imebaki kwa watoto wa vigogo ambao wanajua kesho baba na mama zao wakistaafu wao ndo watapokea vijiti,

Ndomana now days utaona mawaziri wanapanda jukwaani na watoto zao eti wawasalimie wananchi its nonsense and shame for the country that claimed to be democratic one.

Ss hawa vijana wenzetu wakimasikin wamegeuka chawa wakiamin watakumbukwa kwny keki y taifa, kumbe ni njozi y mchana
 
Inawezekanaje hakuna anachochangia wakati analipa tozo na kodi zote za manunuzi bado ya ardhi na majengo mkuu nia aibu mwanaume kuogopa kusema ukweli ona aibu kula kisicho halali...ona aibuuu mkuu
Nafuu mimi sokwe ninajitambua kuwa sina nchi nyingine zaidi ya Tanzania kuliko wewe ambaye kichwa chakonno tabula rasa tu.

Una faida gani kwenye nchi hii? Unalalamika wakati hakuna chochote unachofanya kuchangiabkukua kwa uchumi wa nchi hii
 
Acha Ujinga,

Hupaswi kujivunia CCM,

Lakini unatakiwa uipende na kujivunia Nchi Yako nzuri Tanzania.
 
Acha Ujinga,

Hupaswi kujivunia CCM,

Lakini unatakiwa uipende na kujivunia Nchi Yako nzuri Tanzania.
Huo n mtazamo wako mkuu.

Labda ungesema niipende na kujivunia Tanganyika kidogo ningekuelewa, bt Tanzania hell no,

The damage is beyond repair
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…