Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

Naona kuna Mtu ipo siku atasimama Mahakamani kujibu hizi hoja.

Matumizi mabaya ya Madaraka na raslimali za Nchi.
 
Hata kama ni 'Mtu kwao',hii sasa imezidi. Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa,Hayati Samwel Sitta alianzisha na kusimamia ujenzi wa Ofisi ya Spika huko Urambo,Tabora. Nyumbani na jimboni kwake. Ofisi ikajengwa.

Sasa unajengwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa huko Chato,Geita. Nyumbani na lililokuwa jimbo la Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM,Dr. John Pombe Magufuli. Uwanja umeshaanza kujengwa na ujenzi umeshika kasi.

Ofisi ya Spika kule Urambo,kama ulivyo Uwanja wa Ndege wa Chato,ilijengewa hoja na kutetewa na Wabunge wetu wa CCM. Kwasasa,haijulikani Ofisi ile ya Urambo inatumikaje na inatumika na nani. Labda Spika Ndugai huwa anaitumia.

Mambo ya Urambo yaweza kujirudia Chato. Hii ndiyo courtesy begins at home? Urambo=Chato?

Bunduki za nini tena jamani katika kujenga hoja!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Kibiti,Pwani)
Turahisishie na Picha ya Ofisi ya Spika Urambo na Uwanja wa ndege Chato.
Pamoja na picha za wahusika ikikupendeza.
 
Hata kama ni 'Mtu kwao',hii sasa imezidi. Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa,Hayati Samwel Sitta alianzisha na kusimamia ujenzi wa Ofisi ya Spika huko Urambo,Tabora. Nyumbani na jimboni kwake. Ofisi ikajengwa.

Sasa unajengwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa huko Chato,Geita. Nyumbani na lililokuwa jimbo la Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM,Dr. John Pombe Magufuli. Uwanja umeshaanza kujengwa na ujenzi umeshika kasi.

Ofisi ya Spika kule Urambo,kama ulivyo Uwanja wa Ndege wa Chato,ilijengewa hoja na kutetewa na Wabunge wetu wa CCM. Kwasasa,haijulikani Ofisi ile ya Urambo inatumikaje na inatumika na nani. Labda Spika Ndugai huwa anaitumia.

Mambo ya Urambo yaweza kujirudia Chato. Hii ndiyo courtesy begins at home? Urambo=Chato?

Bunduki za nini tena jamani katika kujenga hoja!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Kibiti,Pwani)
VUTA-NIKUVUTE: kweny moja na mbili 😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom