Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

1600066706752.png
1600066742492.png
1600066786396.png

Hata Idd Amin alikuwa na Private Lodge yake along Nile river .... kwa sasa ni Wanyama ndiyo wanaishi hapo .....!!
 
Attachments

  • 1600066243626.png
    1600066243626.png
    17.1 KB · Views: 4
  • 1600066278624.png
    1600066278624.png
    23.6 KB · Views: 4
  • 1600066304861.png
    1600066304861.png
    17.4 KB · Views: 4
  • 1600066361844.png
    1600066361844.png
    17.1 KB · Views: 4
Ujajibu swali la msingi kwanini ulalamiki flyover inajengwa dar? Why kujenga uwanja chato Ni nongwa? Kwani watu wa chato sio watanzania? Ungejua mantiki ya swali langu using uliza swali
Kujibu swali lako Jiulize kwann watu hawafungui duka la kitimoto Zanzibar, utaelewa....
 
Kijijini Chato? Chato? Kwanini isiwe Geita au Katoro au Buseresere?

Kwa umimi huu.
Kwa ubinafsi huu.
Kwa ufujaji wa pesa huu.
Kwa ubabe huu
Kwa tabia hii ya ukanda.
Kwa tabia hii ya ukabila.

John must go. Hapati kura.

Na Watanzania tumeamua. Hatum-"beep" tunampigia kabisa.
Watanzani tumekuwa wajinga ifike wakati tuelewe kwamba kuwa na uwanja wa ndege ndani ya wilaya si anasa ,malengo yetu kama taifa kila almashauri iwe na uwanja wa lami na ndege kiwe ni kitu cha kawaida kwa watanzania,ndio maana nchi zilizoendelea watu binafsi wanamiliki ndege na kila ni kila mamlaka ya mji ina viwanja vya ndege, ukitolea mfano wa uwanja wa KIA upo Kilimanjaro na hupo kwenye wilaya ya HAI na kwa wanaokumbuka kuhusu uwanja huu ulileta sana maneno wapo watu wa moshi walitaka ujengwe huko lakini maamuzi yakapitishwa ujengwe HAI,Mimi sioni ubaya wowote kwa sababu umelenga Siku za usoni ambapo kila almashauri itakuwa na uwanja,na kuhusu kutua ndege ili jambo ni mwendawazimu tu anaweza kuhoji,kuna vitu vingi ambavyo ununuliwa kwa lengo la sasa na baadaye, mfano: silaha zinatumika pesa nyingi kununua silaha na unakuta hazitumiki kila siku lakini ni muhimu inakuwaje nchi ishindwe kujenga viwanja vya lami eti tu kisa ndege hazipo au hakuna wateja wakwenda huko kwani nchi itabaki hivihivi.kwenye nchi zilizoendelea watu wanawekewa lami kwenye barabara za mazoezi,kwenye fukwe,maeneo kupumzika na maeneo mengi ambayo magari na ndege hazifiki marazote .
 
Watanzani tumekuwa wajinga ifike wakati tuelewe kwamba kuwa na uwanja wa ndege ndani ya wilaya si anasa ,malengo yetu kama taifa kila almashauri iwe na uwanja wa lami na ndege kiwe ni kitu cha kawaida.
Wewe ndiyo mjinga. Maamuzi ya nini kifanyike wapi na kwann hufanywa bungeni siyo kama huyu dikteta anavyojiamulia.

Mambo anayofanya yalifanywa na madikteata wenzake akina Mobutu, Nkurunziza, na wengine wengi.

Acha kutetea ujinga.
 
View attachment 1569331 View attachment 1569333 View attachment 1569334
Hata Idd Amin alikuwa na Private Lodge yake along Nile river .... kwa sasa ni Wanyama ndiyo wanaishi hapo .....!!
Nyie mnaombatanisha hizi picha hamjuhi historia,ni kwamba vitu hivi vilivunjwa na wananchi wale wenye chuki na wahusika na sio kwamba vilibomoka vyenyewe,na mnatakiwa muwe mnaambatanisha na historia ya kwanini yapo hivyo,kumbukeni kuwa mabutu na IDD amini waliondolewa kwa nguvu na vitu hivyo vikijengwa kwenye maeneo yao ambayo wao waliamua kuishi na mpaka Leo bado ardhi hizo ni Mali za watoto wao tofauti kabisa na suala la magufuli,uwezi kufananisha mtu aliyeondolewa kwa nguvu na aliyejenga uwanja kwenye makazi yake na baadaye ya kuondolewa kwa nguvu wananchi wakayabomoa na kuiba thamani na kuacha maghofu uje ufananishe MTU aliyeingia madarakani kidemokrasia na amejenga uwanja kwenye wilaya ya chato sio nyumbani kwake .
 
Wewe ndiyo mjinga. Maamuzi ya nini kifanyike wapi na kwann hufanywa bungeni siyo kama huyu dikteta anavyojiamulia.

Mambo anayofanya yalifanywa na madikteata wenzake akina Mobutu, Nkurunziza, na wengine wengi.

Acha kutetea ujinga.
Unaweza kuniambia kwanini moshi inabarabara nyingi za lami mtaani kuliko wilaya yoyote Tanzania ni kweli kwamba barabara hizo zilipitishwa bungeni.
 
Wat
Wewe ndiyo mjinga. Maamuzi ya nini kifanyike wapi na kwann hufanywa bungeni siyo kama huyu dikteta anavyojiamulia.

Mambo anayofanya yalifanywa na madikteata wenzake akina Mobutu, Nkurunziza, na wengine wengi.

Acha kutetea ujinga.
Watu dizaini yako ni wale mnaoamini katika ukanda ukijengwa hai sawa bila chato hapana,hai ni wilaya na chato ni wilaya na ukizingatia ukuaji wa miji ni halali kabisa kwamba kiwanja cha ndege lazima kikae mbali na mji .
 
Kijijini Chato? Chato? Kwanini isiwe Geita au Katoro au Buseresere?

Kwa umimi huu.
Kwa ubinafsi huu.
Kwa ufujaji wa pesa huu.
Kwa ubabe huu
Kwa tabia hii ya ukanda.
Kwa tabia hii ya ukabila.

John must go. Hapati kura.

Na Watanzania tumeamua. Hatum-"beep" tunampigia kabisa.
“In the land of the blind, the one eyed man isn’t a king but a thief. He will continue to rob us blind, loot and pillage everything until there is Nothing Left To Steal."

Kipangaspecial 2020
 
Wat

Watu dizaini yako ni wale mnaoamini katika ukanda ukijengwa hai sawa bila chato hapana,hai ni wilaya na chato ni wilaya na ukizingatia ukuaji wa miji ni halali kabisa kwamba kiwanja cha ndege lazima kikae mbali na mji .
Na fahamu tu kwamba hakuna wilaya yoyote ambayo katika ramani ya mipango miji ikakosa kuwa na kiwanja cha ndege kama IPO nipatie,tatizo hapa ni lami tu tumezoea kuona viwanja vya almashauri nyingi kuwa na viwanja vya vumbi naona hamtaki maendeleo itafika mahali kila almashauri itaonganishwa na lami kila upande.
 
Nyie mnaombatanisha hizi picha hamjuhi historia,ni kwamba vitu hivi vilivunjwa na wananchi wale wenye chuki na wahusika na sio kwamba vilibomoka vyenyewe,na mnatakiwa muwe mnaambatanisha na historia ya kwanini yapo hivyo,kumbukeni kuwa mabutu na IDD amini waliondolewa kwa nguvu na vitu hivyo vikijengwa kwenye maeneo yao ambayo wao waliamua kuishi na mpaka Leo bado ardhi hizo ni Mali za watoto wao tofauti kabisa na suala la magufuli,uwezi kufananisha mtu aliyeondolewa kwa nguvu na aliyejenga uwanja kwenye makazi yake na baadaye ya kuondolewa kwa nguvu wananchi wakayabomoa na kuiba thamani na kuacha maghofu uje ufananishe MTU aliyeingia madarakani kidemokrasia na amejenga uwanja kwenye wilaya ya chato sio nyumbani kwake .
Those places were abandoned kwa sababu hakuna mtu alitaka kwenda kuishi huko .... same itakuwa Chato International Airport, wakina mama wa kisukuma watakuwa wanaanikia mpunga hapo na kuna mjengo ambayo yatakuwa abandoned baada ya 2025!!
 
Unafananisha chato na dar, hizo fly over unataka zijengwe chato halafu nyani ndio wazitumie? wacha utani ngosha.
Nendeni mkaangalie ramani za mipango ya kuendeleza miji yote Tanzania kama Luna ramani ambayo haina kiwanja cha ndege,tatizo hapa inaonekana hamjazoea kuona lami kwenye viwanja vya almashauri,mkakati huo unawezekana kwa sababu lami ya kiwanja haizidi kilomita 03.
 
Ujajibu swali la msingi kwanini ulalamiki flyover inajengwa dar? Why kujenga uwanja chato Ni nongwa? Kwani watu wa chato sio watanzania? Ungejua mantiki ya swali langu using uliza swali
Rais ajaye akitokea huko Kisarawe,naye ajenge uwanja huko!Huo utaratibu ungekuwepo kwa marais waliotamgulia,tungekuwa na viwanja Msoga,Butiama,huko kijijini kwa Mwinyi na kijijini kwa Mkapa huko kusini!
Kwasasa inajengwa hospitali kubwa ya rufaa ya kuhudumia kanda huko Chato!Bado bandari imejenga chato,bado tunahamisha wanyama kwenda pori la chato liwe mbuga!
Kama akichaguliwa miaka mitano mingine,Chato patajaa kila kitu!
 
Those places were abandoned kwa sababu hakuna mtu alitaka kwenda kuishi huko .... same itakuwa Chato International Airport, wakina mama wa kisukuma watakuwa wanaanikia mpunga hapo na kuna mjengo ambayo yatakuwa abandoned baada ya 2025!!
Hapana!ni uwongo wa mchana kweupe,maeneo hayo ya mabutu na IDD amin yalibomolewa na kuibiwa vitu na wananchi na wanajeshi waasi na kutokana na kwamba maeneo Yale ni Mali alali ya wahusika serikali za nchi hizo ziliamua kuwaachia watoto wa wahusika kuzimiliki na kutokana na ukubwa wa maeneo hayo ndugu walishindwa kuyarudisha kama yalivokuwa na ni gharama sana,mfano mzuri:nyerere au mkapa hawa wawili walikuwa na makazi dar lakini walikuwa na makazi sehemu walizochagua mmoja butiama mwingine muheza sasa mbona maeneo yao bado yapo na yapo pembeni na miji japo yanaweza yasiendelezwe sana kwa kuwa hawapo,kwa iyo hoja ya kubaki magofu ni kwasababu yakibomolewa na hoja ya kiwanja kutotumika ni kwa sababu Kongo hawana ndege za kusafirisha abilia kutoka wilaya moja kwenda nyingine sisi tunazo na zinafanya safari kila Leo na kwa vile zinaongezwa itafika mahali ndege itakuwa sio anasa na nauli itashuka mpaka 80000/=sasa itakuwa ni uchaguzi wako abiria upande basi 50000 au ndege 80000.
 
Rais ajaye akitokea huko Kisarawe,naye ajenge uwanja huko!Huo utaratibu ungekuwepo kwa marais waliotamgulia,tungekuwa na viwanja Msoga,Butiama,huko kijijini kwa Mwinyi na kijijini kwa Mkapa huko kusini!
Kwasasa inajengwa hospitali kubwa ya rufaa ya kuhudumia kanda huko Chato!Bado bandari imejenga chato,bado tunahamisha wanyama kwenda pori la chato liwe mbuga!
Kama akichaguliwa miaka mitano mingine,Chato patajaa kila kitu!
Hakuna ubaya kwa sababu wilaya yoyote lazima kuwe na uwanja wa ndege,nenda pale ofisi ya ardhi waambie nionyesheni ramani ya mipango miji kisalawe kama hakuna uwanja wa ndege ,haya mambo ya viwanja kutojengwa yalitokea baada ya shirika la ndege LA taifa kuhujumiwa na wajanja nawaambienibie kuwa kila wilaya itapata uwanja wa lami wa ndege na ndege zitashuka bei na hazitakuwa anasa tena aya mambo ya mtu kufa bila kupanda ndege yanaenda kukoma,zitakuwa kama mabasi tu nauli itafika kati ya 80000 na 100000 nyie mnataka kuturudisha nyuma.
 
Back
Top Bottom