Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

Huyu ndiye Magufuli hii ndio chato International airport [emoji41][emoji41]
images%20(7).jpg
images%20(6).jpg
images%20(5).jpg
images%20(4).jpg
images%20(3).jpg
images%20(2).jpg
images%20(1).jpg
 
dar? Why kujenga uwanja chato Ni nongwa?
Dar kuna idadi kubwa Sana ya watu na hivyo Kuna foleni kubwa Sana nyakati za asubh na jioni.
Ujenzi wa flyover unajaribu kutatua hiyo changamoto.

Sasa kijijini Chato hakuna hata watu wenye uhitaji wa ndege. Kwann mabilioni ya sh yamwagwe huko kufanya jambo lisilo na tija?
 
anataja miradi yooote ila Chato na burigi hazitaji.

Pengine sasa ametambua ulikuwa siyo uamuzi wa busara na ni mzigo kutetea mradi huo wa international airport na Vitu vingine Chato, maana havina faida pana kwa wana Chato na taifa pia

Mfano nchi jirani ya Congo DR , mtawala wake alijenga uwanja wa ndege mkubwa na sasa ni mahame :

Mahame ya kijiji cha Mobutu Sese Seko Ngebu wa Zabanga Zaire Congo DRC

22 Dec 2018
Katika mji wa Gbadolite alikotoka, Rais Mobutu Sese Seko alijenga kasri kubwa la kifahari na uwanja wa ndege ambao ndege za kusafirisha bidhaa za anasa kama vile mvinyo ghali kutoka Ulaya zilitua na kupaa. Njia ya kutumiwa na ndege kupaa na kutua katika uwanja huo ilikuwa kubwa kiasi cha kuweza kutumiwa na ndege kubwa ya wakati huo Concorde - ambayo aliikodi mara kwa mara. Lakini alipotimuliwa madarakani mwaka 1997, kila kitu kilisimama. Sasa ni mahame.
 
Kijijini Chato? Chato? Kwanini isiwe Geita au Katoro au Buseresere?

Kwa umimi huu.
Kwa ubinafsi huu.
Kwa ufujaji wa pesa huu.
Kwa ubabe huu
Kwa tabia hii ya ukanda.
Kwa tabia hii ya ukabila.

John must go. Hapati kura.

Na Watanzania tumeamua. Hatum-"beep" tunampigia kabisa.
Sexless ni jamaa fulani aliyerejea baada ya miaka mitatu hukoo temboni.

Sasa sikiliza.
Chato ipo Geita. Au ulidhani uwanja umejengwa Kenya au Uganda?

Ukiacha ujinga unaweza kiwa mke mwema
 
Kijijini Chato? Chato? Kwanini isiwe Geita au Katoro au Buseresere?

Kwa umimi huu.
Kwa ubinafsi huu.
Kwa ufujaji wa pesa huu.
Kwa ubabe huu
Kwa tabia hii ya ukanda.
Kwa tabia hii ya ukabila.

John must go. Hapati kura.

Na Watanzania tumeamua. Hatum-"beep" tunampigia kabisa.
Rubbish umeisha jengwa ,kanywe sumu ufe mbwa wewe
 
Kwa umimi huu.
Kwa ubinafsi huu.
Kwa ufujaji wa pesa huu.
Kwa ubabe huu
Kwa tabia hii ya ukanda.
Kwa tabia hii ya ukabila.
huko ulikokutaja hakuna tofauti na chato
Dhahabu yote ya Geita itakua inaruka kutoka hapo,tutashusha hapo watalii kwenda kuwinda Burigi
Angalia sana chuki zako zinaweza kukupa kiungulia sugu
 
Rubbish umeisha jengwa ,kanywe sumu ufe mbwa wewe
UnaAjengwa kijijini Chato? Uwanja wa mabilioni ya shilingi halafu ndege moja tu ndiyo inatua huko? Wakati wa krismas.

Kijijini Chato? Of all the places, kijinini Chato????!!!!!!!!
 
huko ulikokutaja hakuna tofauti na chato
Dhahabu yote ya Geita itakua inaruka kutoka hapo,tutashusha hapo watalii kwenda kuwinda Burigi
Angalia sana chuki zako zinaweza kukupa kiungulia sugu
Kijijini Chato??!!!! Chato!???!!!
 
Mbona ulalamiki miradi ya fly over kujengwa dar na si chato?
Angelalamika kama hiyo fly over ingejengwa Chato, kujenga fly over Dar kiuchumi ni jambo bora kabisa maana inaenda kutatua tatizo na kuchangia uchumi, sasa hiyo international airport Chato inatatua tatizo gani, inachangia kiasi gani kwenye uchumi?

Vv
 
MaCCM yanatetea uwanja wa Chato kwa kupanic, hii inaonyesha ni kwa namna gani huyu Jesus feki wao anavyo boronga mambo, inawapatia wakati mgumu sana kutetea maujinga yake.

#FutaCCMyaMagufuli
 
Ujajibu swali la msingi kwanini ulalamiki flyover inajengwa dar? Why kujenga uwanja chato Ni nongwa? Kwani watu wa chato sio watanzania? Ungejua mantiki ya swali langu using uliza swali
Kwa reasoning kama hizi, kuna haja ya kuangalia upya mitaala ya elimu yetu ndio maana IQ ya watanzania is one of the lowest in the world.
 
Halafu, mbona kwenye push-ups walinzi wake huwa 'chonjo' sana kuwainua wanaoshindana na mtu wao punde tu wakiona anakata upepo!!
Hivi ule ugonjwa wake wa pushups umemrudia tena?Kama bado madaktari wake hawajamtibia tatizo hilo watakuwa wanatukosea sana sisi Watanzania.I'm not so sure if the man is mentally fit to persue Presidency rally!
 
Ujajibu swali la msingi kwanini ulalamiki flyover inajengwa dar? Why kujenga uwanja chato Ni nongwa? Kwani watu wa chato sio watanzania? Ungejua mantiki ya swali langu using uliza swali

Kwa biashara gani hapo chato kwa uwekezaji wa PESA kwa mabilion?

Mbona JK hakujenga AIRPORT kule MIONO ili Watalii waende Sadani National Park?

TAFAKARI.
 
Ujajibu swali la msingi kwanini ulalamiki flyover inajengwa dar? Why kujenga uwanja chato Ni nongwa? Kwani watu wa chato sio watanzania? Ungejua mantiki ya swali langu using uliza swali
Uwanja wa ndege wa Chato hauna manufaa kiuchumi..fullstop
 
Wakati mnapeana moyo kama kawaida mkumbuke kuwa zoezi zima linaishia NEC!
 
Back
Top Bottom