Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

Nawe zingatia kumeza ARV zako kwa wakati mkuu.
Mie nazingatia ndio maana nipo hapa nina nguvu ya kukujibu. Tatizo ni wewe na jamaa yako wagonjwa wa "upstairs" lakini hamtaki kutumia dawa kwa wakati....mnaishia kuropoka kila siku.
 
Hata kama ni 'Mtu kwao',hii sasa imezidi. Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa,Hayati Samwel Sitta alianzisha na kusimamia ujenzi wa Ofisi ya Spika huko Urambo,Tabora. Nyumbani na jimboni kwake. Ofisi ikajengwa.

Sasa unajengwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa huko Chato,Geita. Nyumbani na lililokuwa jimbo la Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM,Dr. John Pombe Magufuli. Uwanja umeshaanza kujengwa na ujenzi umeshika kasi.

Ofisi ya Spika kule Urambo,kama ulivyo Uwanja wa Ndege wa Chato,ilijengewa hoja na kutetewa na Wabunge wetu wa CCM. Kwasasa,haijulikani Ofisi ile ya Urambo inatumikaje na inatumika na nani. Labda Spika Ndugai huwa anaitumia.

Mambo ya Urambo yaweza kujirudia Chato. Hii ndiyo courtesy begins at home? Urambo=Chato?

Bunduki za nini tena jamani katika kujenga hoja!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Kibiti,Pwani)
Mkuu naomba utuwekee hapa picha za ofisi ya spika iliyopo Urambo. Wengi hatujawahi kuiona
 
Hata kama ni 'Mtu kwao',hii sasa imezidi. Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa,Hayati Samwel Sitta alianzisha na kusimamia ujenzi wa Ofisi ya Spika huko Urambo,Tabora. Nyumbani na jimboni kwake. Ofisi ikajengwa.

Sasa unajengwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa huko Chato,Geita. Nyumbani na lililokuwa jimbo la Rais na Mwenyekiti wetu wa CCM,Dr. John Pombe Magufuli. Uwanja umeshaanza kujengwa na ujenzi umeshika kasi.

Ofisi ya Spika kule Urambo,kama ulivyo Uwanja wa Ndege wa Chato,ilijengewa hoja na kutetewa na Wabunge wetu wa CCM. Kwasasa,haijulikani Ofisi ile ya Urambo inatumikaje na inatumika na nani. Labda Spika Ndugai huwa anaitumia.

Mambo ya Urambo yaweza kujirudia Chato. Hii ndiyo courtesy begins at home? Urambo=Chato?

Bunduki za nini tena jamani katika kujenga hoja!?

Mzee Tupatupa wa Lumumba(kwasasa Kibiti,Pwani)

Mzee Tupatupa, bahati mbaya sana katiba yetu inampa rais mamlaka ya kuwa mtawala wa kiimla anayetawala kwa utashi wake (bila kulazimika kupokea ushauri wowote).

Kama katiba ingemlazimisha rais kupokea ushauri wenye kuzingatia maslahi ya taifa, ni dhahiri kuwa uwanja wa ndege ambao ni "white elephant" usingejengwa.

Kwa upande mwingine, kama bunge lingekuwa na uwiano wa idadi ya wabunge wa upinzani vs wale wa chama tawala unaowezesha kuwepo kwa checks and balances, pia mradi kama huu usingekuwepo. Kukosekana kwa checks and balances bungeni kunalifanya bunge lisiwe na maana yoyote!

(Na katika hili la idadi ya wabunge wa upinzani kuwa wachache sana bungeni kiasi cha kulifanya bunge kuburuzwa na mhimili wa utawala, kiongozi mkuu wa upinzani anastahili lawama).

Sasa unaweza kujiuliza, ni nini hasa kilichomsukuma Rais kutamani kuwa na uwanja wa ndege wa hadhi ya kimataifa kijijini kwake ambao dhahiri utakuwa ni white elephant?

Ni kawaida kwa mwanasiasa kuwa na kiongozi wa kisiasa wa sasa au wa zamani ambaye ni wa mfano kwake (inspirational political leader) na angependa akipata fursa kwa namna moja au nyingine afuate nyayo zake. Sasa huenda Rais alivutiwa sana na Rais Mobutu wa Zaire na kutamani afuate nyayo zake kwa kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake. Si Katiba inamruhusu kutawala kwa utashi wake?
 
Kubana matumizi kote huko alafu pesa zinakosa pa kuzielekeza ni upuzi wa kiwango cha airport ...yani unabomoa kibubu ukanjwe balimi so what?
 
Kijijini Chato? Chato? Kwanini isiwe Geita au Katoro au Buseresere?

Kwa umimi huu.
Kwa ubinafsi huu.
Kwa ufujaji wa pesa huu.
Kwa ubabe huu
Kwa tabia hii ya ukanda.
Kwa tabia hii ya ukabila.

John must go. Hapati kura.

Na Watanzania tumeamua. Hatum-"beep" tunampigia kabisa.
 
Screenshot_20200913-131413.jpg
 
Unajua kitu kinachoitwa Economic Sense. Kama hujui toka kijiweni rudi darasani.
Ujajibu swali la msingi kwanini ulalamiki flyover inajengwa dar? Why kujenga uwanja chato Ni nongwa? Kwani watu wa chato sio watanzania? Ungejua mantiki ya swali langu using uliza swali
 
Back
Top Bottom