Kwanza wewe inaonekana hujawahi kupanda ndege,kwa tunaojua umuhimu wa kupanda ndege tunajua faida yake kutokea dar mwanza Massa 16,dar kigima 18,sasa ukuwa na ndege nyingi bei itashuka na kila MTU anaweza kupanda kwenda popote na hizi ndege ni kama gari tu nazo zinaitaji sehemu mzuri za kutua wala si anasa tuungane kumpigia kura magu ili apite aendelee kujenga viwanja kama vilivyojengwa kigoma,mtwara,songea,mbeya,rukwa,kagera,hai, arusha,mwanza,iriga,njombe na sehemu nyingine ndege ni usafiri wa haraka na unapunguza muda wa kukaa njiani tumuunge mkono ili watu wote tupande ndege.