Naufananisha Uwanja wa Ndege wa Chato na Ofisi ya Spika ya Urambo

Naona kuna Mtu ipo siku atasimama Mahakamani kujibu hizi hoja.

Matumizi mabaya ya Madaraka na raslimali za Nchi.
 
Turahisishie na Picha ya Ofisi ya Spika Urambo na Uwanja wa ndege Chato.
Pamoja na picha za wahusika ikikupendeza.
 
VUTA-NIKUVUTE: kweny moja na mbili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…