sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Pamoja mkuu!sinza pazuri naunga mkono hoja yako Zuchu yuko sana.
Upo nje ya mada mkuu. Hii mada haizungumzii nani ni mkongwe.Jay Dee si kumlinganisha na Zuchu.
Jay Dee huyo anamzaa huyo Zuchu, heshimu amekaa kwenye game muda wote huo na bado anapambana na watoto wa 2000s.
Kitu ambacho hatuna uhakika Zuchu atafika hapo...
Kama ulishawahi ingia shows za Jay Dee utakiri Zuchu hawezi kufanya live performance kwa kuimba kama Jay Dee....
Unadhani wataelewa hawa watoto wa juzi?Jay Dee si kumlinganisha na Zuchu.
Jay Dee huyo anamzaa huyo Zuchu, heshimu amekaa kwenye game muda wote huo na bado anapambana na watoto wa 2000s.
Kitu ambacho hatuna uhakika Zuchu atafika hapo...
Kama ulishawahi ingia shows za Jay Dee utakiri Zuchu hawezi kufanya live performance kwa kuimba kama Jay Dee....
Watoto wa 2000 hawa...Huenda hujui hata Ngoma za Lady Jaydee
Kweli Utafananisha "HONEY" ya Zuchu na
"UNDERSTANDING" ya Lady Jaydee
watoto wa 2005 nyie
Kalamu ipi , kalamu ya kuandika matusi, hivi nyie madogo mmekuwaje?Upo nje ya mada mkuu. Hii mada haizungumzii nani ni mkongwe.
Mada inahusu kalamu.
Mfano wimbo upi Zuchu kaimba matusi?Kalamu ipi , kalamu ya kuandika matusi, hivi nyie madogo mmekuwaje?
Zuchu nyimbo zake si matusi tu, hata ukikaa na mzazi aibu kusikiliza.