Naufunga mjadala: Zuchu ni mwandishi bora wa nyimbo kuliko Lady Jaydee

Inasemekana 'eti' WCB kama hauandiki nyimbo zako mwenyewe hauwezi kuwa signed(hii ukitoa Queen Darlin ambaye alisainiwa kwa kigezo cha undugu).
Nobody can prove this lakini viongozi(managers) wa label ndivyo wanavyodai.
Ndio criteria namba moja kusainiwq
WCB. Ndio maana Nandy palimshinda akatoswa.
 
Ukifuatilia comment za waja kwenye hii mada...

Utagundua kwanini watanzania wengi hawafiki kidato cha nne...

Suala la kuelewa mada kwa mtanzania ni mtihani...

Mtoa mada anawapima Jide na Zuchu kwenye angle ya uandishi, kuna mtu anabisha kwa kutumia criteria tofauti kabisa...
 
Kipindi cha lady Jay dee ukiingia studio tu tayari unakuwa maarufu hata kama umeimba utumbo,ushindani ulikuwa mdogo hata mashairi ya jide ukiyasikiliza utagundua kitu kwamba yeyote anaweza kuandika hakuna ubunifu.Game ya sasa ushindani ni mkubwa na wasanii ni wengi na watu wanaumiza vichwa kuandika mashairi.Hata tukiwaweka kwenye mizani kati ya ray c na jide Mimi naondoka na ray c na nilikuwa namwelewa zaidi.Jide anaonekana mkubwa kwenye industry kwa sababu ya kujiweka karibu na manguli wa industry na ni king'ang'anizi kwenye game na ndio maana kipindi kile mashindano ya kolla Africa mwakilishi kila mwaka alikuwa yeye tu na alikuwa anarudi bila tuzo miaka yote,means connection ilikuwa inamsaidia na sio uwezo.JIDE AMENG'AA KWENYE KIPINDI AMBACHO HAKUNA USHINDANI KAMA SASA ILIKUWA MSANII UKIBAHATIKA KUINGIA STUDIO TAYARI NGOMA INA HIT,hii haimaanishi tayari wewe ni msanii mzuri
 
sinza pazuri huwa unaropoka na kuandika vitu kimuhemko, utakuwa na maisha magumu sana kwenye hii dunia. Zuchu umemjua lini ? Mida huu saa 15:22 nipo na Jamaa anaitwa Mzazizo ni moja ya watu wanaomuandikia Zuchu nyimbo.
Wewe ni Kijana wa hovyo na umejaa ushabiki maandazi tu hujui kitu. Nyerere aliikomboa Tanzania mikononi mwa Wakoloni halafu leo hii uje useme eti Jakaya Kikwete ni Tajiri kuliko Nyerere. Muache Jide kumfananisha na Zuchu kila kitabu kina zama zake.
Nakupa assignment mtafute Mzazizo ni nani ?
Hata Zomboko almuandikia wimbo Zuchu
 
👏🏽
 
Mh una uhakika? Jide mbona anazo tuzo za kora. Hlf zmn ss kutoboa kimzik ilikua ngumu tofaut na ss hv. Zaman hizo studio tu zilikua chache, bdo redio pia ni chache. Wanamuziki wa ss hv wana bahati sn studio nyingi pia kuna platform nyingi zs nyimbo zao kusikilizwa tofauti na wasanii wa zamani
 
Hv unazijua vzr nyimbo za jaydee, zuchu anaandika sawa lkn hajamfikia jide. Jaydee ni mmoja tu yn hakuna km yy.
 
Kwanza unge -Declare interest kwamba wewe ni CHAWA wa DABLIYUSIBI.,....Tunaka wale Non-Aligned ndiyo watoe maoni.
 
Kwenye pen game hakuna msanii wa kike wa bongofleva amewahi kufikia uwezo wa Zuchu toka bongofleva izaliwe nasema hakuna.

Jide ni msanii mkali, anauwezo mkubwa kafanya hitsong nyingi namheshimu kwa ilo ila huu mjadala nimeuona uko kuwa Jide anaweza andika kumzidi Zuchu haupo sahihi.

Jide ni mkongwe ila ngoma nyingi ameandikiwa, Zuchu 97% ya ngoma zake anaandika mwenyewe.

Nafikiri mnaona uhandishi wa Zuchu hata wasanii wa kiume wengi hawamuwezi.

Nyimbo kama Raha, Kwaru, Nisamehe, Naringa ni uhandishi wa kiwango cha juu sana cha sanaa.

Huu mjadala usiendelee popote nimeumaliza rasmi.
Uko sahihi, juzi nilikuwa nasikiliz
sinza pazuri huwa unaropoka na kuandika vitu kimuhemko, utakuwa na maisha magumu sana kwenye hii dunia. Zuchu umemjua lini ? Mida huu saa 15:22 nipo na Jamaa anaitwa Mzazizo ni moja ya watu wanaomuandikia Zuchu nyimbo.
Wewe ni Kijana wa hovyo na umejaa ushabiki maandazi tu hujui kitu. Nyerere aliikomboa Tanzania mikononi mwa Wakoloni halafu leo hii uje useme eti Jakaya Kikwete ni Tajiri kuliko Nyerere. Muache Jide kumfananisha na Zuchu kila kitabu kina zama zake.
Nakupa assignment mtafute Mzazizo ni nani ?
 
Mm binafsi ni mpenzi wa mashairi, napenda sana kusikiliza lines ktk nyimbo zaidi ya melodies, zuchu ktk hili amefsulu, ni mwandishi mzur sana huchoki kumsikiliza, kasikilize nyimbo kama Wana, zawadi, nisamehe, Utaniua etc
 
Kwenye kipaji jide amemuacha sana Zuchu ila mtoa mada kazungumzia uandishi
Hawapaswi hata kumlinganisha na Jay Dee, ni kama leo umlinganishe Prof Jay na Young Lunya.

Kila mmoja ameimba kwa wakati wake, uandishi ,mdundo na hata uimbaji ni matokeo ya nyakati zilizopo, hata Jay Dee angekuwa age mate wa Zuchu uandishi wake ungekuwa tofauti.

Zuchu uandishi wake watapenda hawa madogo wa 2000s, Jay Dee uandishi wake huwezi waambia kitu vijana waliozaliwa early 90s au waliozaliwa 80s n.k...
 
Zuchu ana nyimbo nzuri zizizozidi 5,Ila za Jaydee zote Ni kaali.

Kuhusu uandishi unajuaje Kama huyo Zuchu haandikiwi nyimbo
 
Kwenye pen game hakuna msanii wa kike wa bongofleva amewahi kufikia uwezo wa Zuchu toka bongofleva izaliwe nasema hakuna.

Jide ni msanii mkali, anauwezo mkubwa kafanya hitsong nyingi namheshimu kwa ilo ila huu mjadala nimeuona uko kuwa Jide anaweza andika kumzidi Zuchu haupo sahihi.

Jide ni mkongwe ila ngoma nyingi ameandikiwa, Zuchu 97% ya ngoma zake anaandika mwenyewe.

Nafikiri mnaona uhandishi wa Zuchu hata wasanii wa kiume wengi hawamuwezi.

Nyimbo kama Raha, Kwaru, Nisamehe, Naringa ni uhandishi wa kiwango cha juu sana cha sanaa.

Huu mjadala usiendelee popote nimeumaliza rasmi.
Kumbe kulikuwa na mjadala
 
Back
Top Bottom