Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
sinza pazuri huwa unaropoka na kuandika vitu kimuhemko, utakuwa na maisha magumu sana kwenye hii dunia. Zuchu umemjua lini ? Mida huu saa 15:22 nipo na Jamaa anaitwa Mzazizo ni moja ya watu wanaomuandikia Zuchu nyimbo.
Wewe ni Kijana wa hovyo na umejaa ushabiki maandazi tu hujui kitu. Nyerere aliikomboa Tanzania mikononi mwa Wakoloni halafu leo hii uje useme eti Jakaya Kikwete ni Tajiri kuliko Nyerere. Muache Jide kumfananisha na Zuchu kila kitabu kina zama zake.
Nakupa assignment mtafute Mzazizo ni nani ?