Nauhakika Nyerere angekua yu hai, lazima angetekwa katika utawala huu

Nauhakika Nyerere angekua yu hai, lazima angetekwa katika utawala huu

Kwa jinsi mambo yalivyo utawala huu, Nyerere amgekuwepo na zile hotuba zake, nina uhakika wanamtandao wasingemuacha.

Hawa watu hawacheki na yoyote
Niliwaambieni mwaka 2022 kuwa samia anamchikia nyerere na karume kuliko jpm amkunielewa
 
Hakika kabxa, watu wanalinda mali na madaraka yao kwa nguvu zote
 
Ideology za Nyerere, Hazitofautiani na za Pole pole. So kilichomkuta pole pole, ndo kingemkuta Mwl. Na ndo kilimkuta hata huko nyuma.

Hii michezo ya kuwaishana safari, Kijani hawajaanza leo
 
Kwa jinsi mambo yalivyo utawala huu, Nyerere amgekuwepo na zile hotuba zake, nina uhakika wanamtandao wasingemuacha.

Hawa watu hawacheki na yoyote
Hapana Ila wangemuweka house arrest
 
Kwa jinsi mambo yalivyo utawala huu, Nyerere amgekuwepo na zile hotuba zake, nina uhakika wanamtandao wasingemuacha.

Hawa watu hawacheki na yoyote
Kumteka wangeogopa ila wangemuua kwa sumu.
 
Nyerere angekua hai sasa hivi angekua na miaka 100+. Angekua ni mzee wa kutolewa nje aote jua jioni arudishwe ndani, asingekua na madhara yoyote kwa watawala

Hata hivyo Nyerere ndie muasisi wa haya mambo. Fuatailia yaliyowakua Oscar kambona, bibi titi n.k
 
Nyerere siyo wakumuwazia kwa sasa maana angekuwepo angekuwa kashazeeka wangekuwa wanamtoa nje wanamwanika wanamrudishq ndani asingekuwa computer ingekuwa imefuta mafile yote
 
Back
Top Bottom