...Suala ni Global? Sawa, Sasa Raisi wetu ameumiza kichwa chake vipi ili kuwapa Wananchi wake Nafuu ya Suala hili ambalo Global??All in all Raisi Hana control yoyote kwenye duala la mfumuko wa bei especially kwenye suala la kupanda bei ya mafuta narudia Tena hili ni suala ni global Kila nchi imeguswa
Natumai unaelewa kuwa kusema kaupiga mwingi mara nyingi huwa ni dhihaka na si sifa.NASHANGAA SANA WANAPOSEMA MAMA ANAUPIGA MWINGI.KWA WALE TULIYOCHEZA MPIRA HATUAMINI KTK MCHEZAJI MMOJA MMOJA BALI KTK TIMU.NA NI KOSA KUSEMA RAIS AMETOA SH..MANA HATOI ZAKE.
Hata kampuni husikaMbona hamna nembo ya serikali au latra?
Daah, nilifika hoi mkuu. Leo ndo nimepata nafuu.Wagambakii!!!
Kalinde kaburi mkuuu!!!sijawahi impigia kura mgombea wa ccm ila kwa sasa nitamoigia mh samia!!! Magu aliliharibu hili taifaKifo cha JPM ni hasara kwa hili taifa..nadhani mnajionea.
Wahuni ndio zao hizo...kumuumiza mwananchi hayanaga huruma.
#MaendeleoHayanaChama