Nauli kwenda mikoani hatimae zapanda. Mama anaupiga mwingi

Nauli kwenda mikoani hatimae zapanda. Mama anaupiga mwingi

All in all Raisi Hana control yoyote kwenye duala la mfumuko wa bei especially kwenye suala la kupanda bei ya mafuta narudia Tena hili ni suala ni global Kila nchi imeguswa
...Suala ni Global? Sawa, Sasa Raisi wetu ameumiza kichwa chake vipi ili kuwapa Wananchi wake Nafuu ya Suala hili ambalo Global??
Aliwahi kusilizs hotuba ya Nyerere kwamba kama wewe ndio Raisi ukipita Barabani ukiona Wananchi wako wanavyotaabika, Raisi nawe unapaswa kuumia Kichwa Kwa kuona ni Tatizo lako!
 
NASHANGAA SANA WANAPOSEMA MAMA ANAUPIGA MWINGI.KWA WALE TULIYOCHEZA MPIRA HATUAMINI KTK MCHEZAJI MMOJA MMOJA BALI KTK TIMU.NA NI KOSA KUSEMA RAIS AMETOA SH..MANA HATOI ZAKE.
Natumai unaelewa kuwa kusema kaupiga mwingi mara nyingi huwa ni dhihaka na si sifa.
 
Tumshukuru Mungu maana kwa vyovyote maisha lazima yaendelee
 
Watanzania tufanye kazi. Yani nauli kuongezeka 5000 tu tayari tunalilia hali ngumu. Je ikiongezeka sh. 10000.
WTF! Why majority can't own 50000$ ?????
 
Latra ramani ya kwenda babati hamuifahamu.bei zilipobadilika mara ya mwisho mlitupitisha singida kwa maana ya dsm dodoma singida hadi babati.badala ya dsm dodoma kondoa babati.kwa sasa ni dsm kuipitia bagamoyo hadi babati.tunajiuliza hamjui mabasi ya babati.safari ni dsm dodoma kondoa babati.tafadhali rekebisheni km.za babati na nauli pia.
 
Kifo cha JPM ni hasara kwa hili taifa..nadhani mnajionea.

Wahuni ndio zao hizo...kumuumiza mwananchi hayanaga huruma.

#MaendeleoHayanaChama
Kalinde kaburi mkuuu!!!sijawahi impigia kura mgombea wa ccm ila kwa sasa nitamoigia mh samia!!! Magu aliliharibu hili taifa
 
Back
Top Bottom