BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Suala ni Global? Sawa, Sasa Raisi wetu ameumiza kichwa chake vipi ili kuwapa Wananchi wake Nafuu ya Suala hili ambalo Global??All in all Raisi Hana control yoyote kwenye duala la mfumuko wa bei especially kwenye suala la kupanda bei ya mafuta narudia Tena hili ni suala ni global Kila nchi imeguswa
Aliwahi kusilizs hotuba ya Nyerere kwamba kama wewe ndio Raisi ukipita Barabani ukiona Wananchi wako wanavyotaabika, Raisi nawe unapaswa kuumia Kichwa Kwa kuona ni Tatizo lako!