Dada wa zanfaries usiwe na hasira jamanikapande flying horse nauli elf 20,000 tu kwa mwendo wa kobe usiku mzima uko baharini,
kwa nauli hiyo na muda unaofika mbona sawa tu, watu wanatoka pangani zanzibar kwa elf 30 tanga znz kwa elf 40 sema unaanzia pemba kwanza hivo kwa hoja yako ulitaka wakuekee nauli sh ngapi mkuu??
we ukiona unaweza ogelea ni free
Ni gharama za uendeshaji fuel consumption ya Boat iko juu si ajabu kwenda na kurudi Boat inatumia zaidi ya lt 500 Diesel.
Una uzoefu wa kusafiri na boat maeneo mengine tofauti na Tanzania ?Huo usafiri wa ndege duniani kote unajulikana, na ni kutokana na gharama nyingi zilizoko huko, hoja hapa ni kwenye usafiri wa majini, ki ukweli hizi gharama hapo hazina uhalisia kabisa na umbali, huo, hata kama labda ni kutokana na boat kuwa za kisasa lakini bado,
haha nakuambia uhalisia ulivyo zan fast na kilimanjaro unataka bei ni hiyo hutaki ni hiyo tena kwa economy wale wanaolipa 50,000 wasemeje??
Yule Baba!!Piga mbizi[emoji1787] by late JPM
Umbali wa Km 36 kwa mwanza ni sh 1500Shida sio kuona shida ni hao Ewura
NB toka zenji hadi daslam ni 36Km ambapo kwa bas almost ni 2000 to 3000
Kwenda Zenj,hutumii gari,unatumia boat yenye engine mbili za kuweza kusukuma maji,action and reaction,action force inayohitajika kusukuma maji ile chombo kiende mbele ni kubwa kuliko insyohitajikavkufana friction kwenye ground Ili gari litembeeNi kweli kabisa, pale ilibidi iwe elfu 10 tu daraja la kawaida.
Kama $10 na upuku puku.Ile nauli ya sh 25,000 vigezo ni vyombo vinavyotumika ni gali sana au ni umbali? Maana Zenji ukitoka na boti tu bandari ya Dar ukipiga hatua chache unaiona kwa macho, na ukitoka bandari ya Zanzibar hatua chache tu unaanza kukiona kiwanda cha Wazo yaani ni karibu tu ila nauli kuwa 25,000 kuendelea sijui ni vigezo gani vinatumika.
Funguka mkuuMwanza-Ukerewe kilomita ngapi. Nauli Tsh ngapi? Mwanza-Bukoba Tdh ngapi
Sfahamu nataka kufananisha
Anaongelea Tax! Kwenu mnapanda Tax?Unaongelea nauli ya chombo gani?
Basi
Bodaboda
Tax
Ndege
Boti
Meli
Au nini????