Mkuu Mimi natembelea sana na kuchangia sana hili jukwaa ndio maana nimeandika hivyo!
Kwa sababu ni jukwaa la celebrity ni lazima wajadiliwe celebrity na si kwasababu ya kuwa celebrity bali kwasababu wako hot kipindi hiki!
Hata kwenye maradio watu hulalamika nyimbo Fulani ndio zinapigwa sana kumbe wana sahau kuwa hizo zinapigwa kwa kuwa ziko kwenye chat na walaji ndio wanapenda kuzijadili!
Pengine wewe una shangaa watu wawili au mmoja kutawala jukwaa pengine majibu ni Yale Yale kuwa hao ndio wanao uza na hao ndio wana jadilika maana kuna kitu cha kuwafanya watu wajadili!
Na kuna ushahidi usio tia shaka wanao trend sana humu kwa mijadala ndio wanao ongelewa kwenye media zote bongo kwa kila siku bila shaka kwenye hili hutoomba ushahidi maana huko wazi!
Hata Mimi ningependa tusiwajadili au tusimjadili mtu mmoja kwenye jukwaa hili lakini ukiniuliza unataka tumjadili nani na kwasababu gani pengine naweza nisikupe jibu la haraka!
Pengine njia pekee ya kuondokana na hilo unalo fikiri ni tatizo ni kuanzisha mada zingine na uangalie...pengine ni wakati wao hao na ndio wanao uzika sana!
Pengine hadhi ya jukwaa Mimi na wewe tunaitafsiri tofauti .kwangu Mimi ninapo ona jukwaa linapata wachangiaji wengi kwenye mada hapo hadhi yake hiko juu na imeongezeka! Jukwaa hili unalo sema hadhi yake imeshuka lilikuwa limepooza sana miaka miwili iliyopita lakini kwa sasa ni Moja ya majukwaa hot hapa jf kama wewe si mgeni humu!
Pengine hadhi ya jukwaa ni zaidi ya kujadili watu wengi!
Tatizo huyu msanii ameshindikana kabisa..... Leo katoa nyimbo utafikiri sherehe ya kitaifa Pia kumbuka hakuna kitu kinachomgusa mwanadamu kama Muziki utatulaumu bure ...
Hiyo inaitwa effect ya Dimond platnumz
Habari za anaeshindwa kutofautisha City na Town.....OverUmechangia Habari Za Nani Sasa?
Shabash!!!!Leo nimekubamba....unakumbuka nilivyosema naanzanje kumchukia Kiba na sura yake ya upole bibi ukawaka hatariiii hadi ukatamani umjue mume wangu umpe umbeya???
Haya niambie hayo mavitu matamu anayokupa ndomo....sipati picha ningesema hivi ile siku....
hahahahahahahaaaaaa umetishaaaa nifah unakumbukumbu kama sisimizi wewe mwanamke, kumbe upo humu ndani shogaa unapita kimya kimya, changia bwana acha kujipa stress video ya kiba inatoka soon si unajua alikuwa anamsubiri mondi atoe ili apate lift??? buhahahahahahaa uwii nimecheka sana
Mkuu unaonaje ukianzisha thread ya besti naso au huseni machozi tuone muitikio wake.
Hili jukwaa wala halijachuja ndio limepamba moto!
Ni vigumu kuwapangia watu cha kujadili wakati umepoteza muda kulalamika badala ya kuanzisha thread unayo ona mpya halafu watu wajadili!
Samahani lakini!
Mkuu Mimi natembelea sana na kuchangia sana hili jukwaa ndio maana nimeandika hivyo!
Kwa sababu ni jukwaa la celebrity ni lazima wajadiliwe celebrity na si kwasababu ya kuwa celebrity bali kwasababu wako hot kipindi hiki!
Hata kwenye maradio watu hulalamika nyimbo Fulani ndio zinapigwa sana kumbe wana sahau kuwa hizo zinapigwa kwa kuwa ziko kwenye chat na walaji ndio wanapenda kuzijadili!
Pengine wewe una shangaa watu wawili au mmoja kutawala jukwaa pengine majibu ni Yale Yale kuwa hao ndio wanao uza na hao ndio wana jadilika maana kuna kitu cha kuwafanya watu wajadili!
Na kuna ushahidi usio tia shaka wanao trend sana humu kwa mijadala ndio wanao ongelewa kwenye media zote bongo kwa kila siku bila shaka kwenye hili hutoomba ushahidi maana huko wazi!
Hata Mimi ningependa tusiwajadili au tusimjadili mtu mmoja kwenye jukwaa hili lakini ukiniuliza unataka tumjadili nani na kwasababu gani pengine naweza nisikupe jibu la haraka!
Pengine njia pekee ya kuondokana na hilo unalo fikiri ni tatizo ni kuanzisha mada zingine na uangalie...pengine ni wakati wao hao na ndio wanao uzika sana!
Pengine hadhi ya jukwaa Mimi na wewe tunaitafsiri tofauti .kwangu Mimi ninapo ona jukwaa linapata wachangiaji wengi kwenye mada hapo hadhi yake hiko juu na imeongezeka! Jukwaa hili unalo sema hadhi yake imeshuka lilikuwa limepooza sana miaka miwili iliyopita lakini kwa sasa ni Moja ya majukwaa hot hapa jf kama wewe si mgeni humu!
Pengine hadhi ya jukwaa ni zaidi ya kujadili watu wengi!
Sasa habari ya mujini ni Mondi na Madam sasa waswahili tunavyopenda umbea lazima zitawale.Sio hapa hata huko Jay Z alipochezea vitasa kwa shem kila media ilikuwa yeye.So hapa hot ni Mondi sasa utaleta habari gani ya Dudu Baya mpk iwe interested.?
Diamond nuksi kudadadekiiii hili songi mupya ni kiboko uwiiii diamonds are forever!!!!!
mtoto wa tandale kaimba kwa hisia hadi kaamsha hisia zangu