Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

Hayati Mwalimu ni Siasa za Ujamaa na Kujitegemea ndio zilimshinda na alishindwa kukiri kuwa zimemshinda na KAMA KAWAIDA YA WATANZANIA WANAKUSHAURI MAMBO UNAYOPENDA KUYASIKIA HUKU WANALUOGOPA KINAFIKI.
Siyo kweli mkuu. Kuhusu UJAMAA alikiri kuwa alikosea lakini kujitegemea alikataa kwa argument kwamba ni nani hataki KUJITEGEMEA hapa duniani.

Rejea miaka ya 1990s akiwa mwenyekiti wa South SOUTH Commission
 
Nashindwa kukupa 'like' wewe, hasa kutokana na sifa unazo wapa CCM hii ya leo.
Mwalimu Nyerere asinge sogelea hii CCM iliyopo hii leo kama angekuwa yu hai.
Haina shida. Inatosha tu kuwapa "like" CHADEMA
 
Miaka 15 hujui mchanango wa Nyerere kwenye Taifa hili bado na wewe unajiona ni mature!! Imbecile
Hamna mchango wa Nyerere kwenye taifa hili zaidi ya kuzidisha ujinga na umasikini alikua anawaburuza mijitu kama nyie makubwa jinga wewe mwenyewe umekiri umeanza kujitambua ukiwa na miaka 30 Sasa kwanini usilambe miguu ya nyerere🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hayati Mwalimu ni Siasa za Ujamaa na Kujitegemea ndio zilimshinda na alishindwa kukiri kuwa zimemshinda na KAMA KAWAIDA YA WATANZANIA WANAKUSHAURI MAMBO UNAYOPENDA KUYASIKIA HUKU WANALUOGOPA KINAFIKI.
Yule mzee alikua anakiri kukwama dhahiri kabisa.Ni kwamba tulishindwa kumuelewa na kuchukua hatua muhimu.
-alitoa kitabu cha kuhusu Ujamaa na kusema kila akikisoma(maandishi na si uhalisia)hakuona kilipokosewa hadi akaja kusikia azimio la Zanzibar.
-alikiri kukosea mambo mengi na mengine yalikua mema tu.Akaendelea kuasa kwamba shida ni sisi hatujui kuacha mabaya na kuchukua mazuri yaendelezwe kwa mazuri mengine ili kuleta ustawi.
-aliikataa CCM hadharani na kwa hisia alisema kwa sababu inaenenda hovyo,angeiacha.Si mama wala baba yake hiyo CCM.
-alienda mbali akatuletea uhalisia(siyo utunzi)wa nchi kimaandishi jinsi nchi ilivyokua imeharibika kimifumo/kuoza.Kitabu kikazua taharuki.
-jumlisha na hotuba mbalimbali za kuasa na kujuta.
Kazi ikabaki kwetu kusuka twende kilioni au butus!
 
Umeliweka vizuri sana mkuu Moisemusajiografii tatizo vijana hawasomi wanaishia kuandika vitu wasivyo na uelewa navyo
 
Umeliweka vizuri sana mkuu Moisemusajiografii tatizo vijana hawasomi wanaishia kuandika vitu wasivyo na uelewa navyo
Hiyo ni changamoto.Yule mzee ilitakiwa kumsikiliza kwa umakini na utulivu ndiyo ung'amue jambo.Alikua anaongea kimamlaka,kiualimu,kama mzazi na kama mwanume wa kiafrika/baba.Asingeweza kusimama(hata kama angekaa)na kutuambia ..."mimi yamenishinda kabisa.Anzeni upya siyo ujinga"...!Isingwezekana hilo.Akili kumutwe.
 
BBa
Miaka yote hii umekuwa mtu mzima; na sijui kama hata shule ulikwenda, bado hata akili ya kutafuta taarifa mwenyewe huna?
Unaeleza umezaliwa miaka ya 1970. Sasa wewe kama mtoto hayo mambo uliyajuaje?
Tueleze ulipata utapia mlo ndiyo maana akili yako ikadumaa kiasi hiki?

Ni waTanzania wangapi walikufa njaa wakati huo, unajuwa? Je, Ethiopia na hapo Kenya, nako Nyerere aliwanyima chakula watu wa huko waliokuwa wakifa kwa njaa?
Bado hujajibu swali langu,zaidi ya kunishambulia.ni kweli nilipata utapiamlo, siyo mimi tu tulikuwa watoto wengi sana wenye utapiamlo
 
Siogopi kulamba miguu ya Nyerere kwa kuwa mchango wake ndiyo umejenga nchi yetu ambayo leo kiuchumi ni moja ya nchi 10 zenye GDP kubwa katika bara la Afrika. Pili amejenga taifa ambalo liko stable kisiasa na ni kimbilio la nchi majirani wote wanapogombana.

I am a proud Tanzanian 🇹🇿, you can perish

Sawa mkuu, kimsingi umeniunga mkono kuwa alikiri kuwa alikosea
Wakati yuko Madarakani alisema "hageuki nyuma akigeuka atageuka Jiwe"hapo ni wakati alikuwa kwenye 'Power' akaja kukiri kuwa alikosea baada kugive up Power huoni shida iliyopo?!
 
Back
Top Bottom