gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
Uhujumu wapi we kiazi, bandari ya dp world itakufanya ujitegemee kwenye bajeti,jambo lililoshindikana kwa miongo sitaUnajuaje, pengine nilikuwa bado sjazaliwa!
Nipo sasa, kwa hiyo nina nafasi ya kulishikia bango swala hilo na kuwaonyesha nyinyi uhujumu mnao ufanya kwa nchi yetu hii.
Maoni potofu unayo wewe,umeyabeba kama dini kwa msaada wa elimu duniHapa unaonyesha wazi kwamba umekwisha tambua ujinga wako uko wapi. Kilicho baki ni kutafuta njia ya kuondokana na aibu ya kushikilia maoni potofu uliyo kuwa nayo.
Akili yako ni fupi sana; kwa hiyo nina kuchukulia hivyo hivyo. Sikupi maana tena katika haya unayo andika sasa hivi.Uhujumu wapi we kiazi, bandari ya dp world itakufanya ujitegemee kwenye bajeti,jambo lililoshindikana kwa miongo sita
Kwani unadhani nakupa maana!!?.. nakujua vizuri kuwa ni mbumbumbuAkili yako ni fupi sana; kwa hiyo nina kuchukulia hivyo hivyo. Sikupi maana tena katika haya unayo andika sasa hivi.
EEEEeeenHEEEEEeeeee!Kwani unadhani nakupa maana!!?.. nakujua vizuri kuwa ni mbumbumbu
Elimu yangu isikupe taabu; kwa sababu hata ukiangalia tu mwandiko wako humu utakuonyesha kwamba katika eneo hilo unao upungufu mkubwa sana kujaribu kujilinganisha na yeyote.Maoni potofu unayo wewe,umeyabeba kama dini kwa msaada wa elimu duni
You're inept upstairs bro..yaani wewe ni buyu,hujui hata la maana lipi, elimu hunaEEEEeeenHEEEEEeeeee!
Basi furahi katika kujuwa huko. Hiyo hainipi shida hata kidogo.
Lakini nikikuona sehemu nyingine yoyote ukiweka upumbavu wako, elewa kuwa nitausema kuwa huo ni upumbavu kama hizi takataka unazoweka kwenye mada hii.
Mimi nakujua vizuri,hupenda kujifanya umeelimika wakati ni mzoga kielimuElimu yangu isikupe taabu; kwa sababu hata ukiangalia tu mwandiko wako humu utakuonyesha kwamba katika eneo hilo unao upungufu mkubwa sana kujaribu kujilinganisha na yeyote.
Hili nalo unataka tulifanye mjadala humu; kweli?Mimi nakujua vizuri,hupenda kujifanya umeelimika wakati ni mzoga kielimu
Elimu haihitaji mjadala,ni aidha unayo au huna,na wewe hunaHili nalo unataka tulifanye mjadala humu; kweli?
Sasa kinacho kuhangaisha hapa ni kipi?Elimu haihitaji mjadala,ni aidha unayo au huna,na wewe huna
Kunihangaisha kivipi?Sasa kinacho kuhangaisha hapa ni kipi?
Hata hili hujui?Kunihangaisha kivipi?
We ni mental caseHata hili hujui?
Duh!We ni mental case
MAWAZO yake ilikuwa woote tuwe level moja!Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukari, Mafuta na hata nguo.
Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni nchi ikiwa vizuri.
Je, Uongozi ulimshinda?
Soma Pia: Kumuelewa vyema Hayati Mwalimu Julius Nyerere upeo uwe mkubwa
Hiyo idealogy ni kimaskini mnoMAWAZO yake ilikuwa woote tuwe level moja!
Ili kuifikia lengo Hilo lazima wote tung'olewe mabawa Ili yaote Kwa pamoja! Na kusiwe na anayeshindwa kuruka....
Nimeuliza wazee wakasema ndio hakukuwa na sukari ,nguo kwa baadhi ya watu , wala chakula chakutosha
watu wa miaka ya sabiini hawakuvaa maguni acha uwongo.Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukari, Mafuta na hata nguo.
Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni nchi ikiwa vizuri.
Je, Uongozi ulimshinda?
Soma Pia: Kumuelewa vyema Hayati Mwalimu Julius Nyerere upeo uwe mkubwa