Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

Nauliza, Mwalimu Nyerere nchi ilimshinda kuongoza?

Unajuaje, pengine nilikuwa bado sjazaliwa!

Nipo sasa, kwa hiyo nina nafasi ya kulishikia bango swala hilo na kuwaonyesha nyinyi uhujumu mnao ufanya kwa nchi yetu hii.
Uhujumu wapi we kiazi, bandari ya dp world itakufanya ujitegemee kwenye bajeti,jambo lililoshindikana kwa miongo sita
 
Hapa unaonyesha wazi kwamba umekwisha tambua ujinga wako uko wapi. Kilicho baki ni kutafuta njia ya kuondokana na aibu ya kushikilia maoni potofu uliyo kuwa nayo.
Maoni potofu unayo wewe,umeyabeba kama dini kwa msaada wa elimu duni
 
Uhujumu wapi we kiazi, bandari ya dp world itakufanya ujitegemee kwenye bajeti,jambo lililoshindikana kwa miongo sita
Akili yako ni fupi sana; kwa hiyo nina kuchukulia hivyo hivyo. Sikupi maana tena katika haya unayo andika sasa hivi.
 
Kwani unadhani nakupa maana!!?.. nakujua vizuri kuwa ni mbumbumbu
EEEEeeenHEEEEEeeeee!

Basi furahi katika kujuwa huko. Hiyo hainipi shida hata kidogo.

Lakini nikikuona sehemu nyingine yoyote ukiweka upumbavu wako, elewa kuwa nitausema kuwa huo ni upumbavu kama hizi takataka unazoweka kwenye mada hii.
 
Maoni potofu unayo wewe,umeyabeba kama dini kwa msaada wa elimu duni
Elimu yangu isikupe taabu; kwa sababu hata ukiangalia tu mwandiko wako humu utakuonyesha kwamba katika eneo hilo unao upungufu mkubwa sana kujaribu kujilinganisha na yeyote.
 
EEEEeeenHEEEEEeeeee!

Basi furahi katika kujuwa huko. Hiyo hainipi shida hata kidogo.

Lakini nikikuona sehemu nyingine yoyote ukiweka upumbavu wako, elewa kuwa nitausema kuwa huo ni upumbavu kama hizi takataka unazoweka kwenye mada hii.
You're inept upstairs bro..yaani wewe ni buyu,hujui hata la maana lipi, elimu huna
 
Elimu yangu isikupe taabu; kwa sababu hata ukiangalia tu mwandiko wako humu utakuonyesha kwamba katika eneo hilo unao upungufu mkubwa sana kujaribu kujilinganisha na yeyote.
Mimi nakujua vizuri,hupenda kujifanya umeelimika wakati ni mzoga kielimu
 
Nimezaliwa miaka 1970, nimekutana na maisha magumu Sana, kulikuwa hakuna Sabuni, Sukari, Mafuta na hata nguo.

Watu walivaa magunia, kulikuwa hakuna vyakula na wakati tunapata uhuru aliikuta Tanganyika iko vyema kutoka kwa mkoloni nchi ikiwa vizuri.

Je, Uongozi ulimshinda?

Soma Pia: Kumuelewa vyema Hayati Mwalimu Julius Nyerere upeo uwe mkubwa
MAWAZO yake ilikuwa woote tuwe level moja!
Ili kuifikia lengo Hilo lazima wote tung'olewe mabawa Ili yaote Kwa pamoja! Na kusiwe na anayeshindwa kuruka....
 
MAWAZO yake ilikuwa woote tuwe level moja!
Ili kuifikia lengo Hilo lazima wote tung'olewe mabawa Ili yaote Kwa pamoja! Na kusiwe na anayeshindwa kuruka....
Hiyo idealogy ni kimaskini mno
Angalia leo china anasema ,atakuja kutujingea miundo mbinu ya kisasa😲, yan marabara ,madaraja
 
Nimeuliza wazee wakasema ndio hakukuwa na sukari ,nguo kwa baadhi ya watu , wala chakula chakutosha

Sukari ilikuwepo ila ilikua inauzwa kwa Magendo.

Watu walikua wanaiba sukari ya umma na kuificha kisha wanauza kwa magendo.

Ndio maana Oparation ya kukamata wauza magendo ya sukari Kipindi cha Sokoine watu walimwaga sukari mtoni na wengine kukimbia lagodown yao.
Watu wanadhani kuwa wakati wa Mwalimu Nyerere hapakua na matajiri na wafanya biashara .Walikuwepo ila tatizo leo lilikua ni kukwepa kodi na kuficha bidhaa kama sukari ,sabuni ,bia n.k ili Wauze bei kubwa.
 
Back
Top Bottom