Siyo kweli mkuu. Kuhusu UJAMAA alikiri kuwa alikosea lakini kujitegemea alikataa kwa argument kwamba ni nani hataki KUJITEGEMEA hapa duniani.Hayati Mwalimu ni Siasa za Ujamaa na Kujitegemea ndio zilimshinda na alishindwa kukiri kuwa zimemshinda na KAMA KAWAIDA YA WATANZANIA WANAKUSHAURI MAMBO UNAYOPENDA KUYASIKIA HUKU WANALUOGOPA KINAFIKI.
Bro, msamehe aisee.Siyo nchi tu hata familia yake iangalie ilivyo
Haina shida. Inatosha tu kuwapa "like" CHADEMANashindwa kukupa 'like' wewe, hasa kutokana na sifa unazo wapa CCM hii ya leo.
Mwalimu Nyerere asinge sogelea hii CCM iliyopo hii leo kama angekuwa yu hai.
Miaka 15 hujui mchanango wa Nyerere kwenye Taifa hili bado na wewe unajiona ni mature!! ImbecileWewe inaonesha ulijitambua ukiwa na miaka 30 ulikua kubwa jingaπ€£π€£π€£π€£
Hamna mchango wa Nyerere kwenye taifa hili zaidi ya kuzidisha ujinga na umasikini alikua anawaburuza mijitu kama nyie makubwa jinga wewe mwenyewe umekiri umeanza kujitambua ukiwa na miaka 30 Sasa kwanini usilambe miguu ya nyerereπ€£π€£π€£π€£π€£Miaka 15 hujui mchanango wa Nyerere kwenye Taifa hili bado na wewe unajiona ni mature!! Imbecile
Yule mzee alikua anakiri kukwama dhahiri kabisa.Ni kwamba tulishindwa kumuelewa na kuchukua hatua muhimu.Hayati Mwalimu ni Siasa za Ujamaa na Kujitegemea ndio zilimshinda na alishindwa kukiri kuwa zimemshinda na KAMA KAWAIDA YA WATANZANIA WANAKUSHAURI MAMBO UNAYOPENDA KUYASIKIA HUKU WANALUOGOPA KINAFIKI.
Umeliweka vizuri sana mkuu Moisemusajiografii tatizo vijana hawasomi wanaishia kuandika vitu wasivyo na uelewa navyoYule mzee alikua anakiri kukwama dhahiri kabisa.Ni kwamba tulishindwa kumuelewa na kuchukua hatua muhimu.
-alitoa kitabu cha kuhusu Ujamaa na kusema kila akikisoma(maandishi na si uhalisia)hakuona kilipokosewa hadi akaja kusikia azimio la Zanzibar.
-alikiri kukosea mambo mengi na mengine yalikua mema tu.Akaendelea kuasa kwamba shida ni sisi hatujui kuacha mabaya na kuchukua mazuri yaendelezwe kwa mazuri mengine ili kuleta ustawi.
-aliikataa CCM hadharani na kwa hisia alisema kwa sababu inaenenda hovyo,angeiacha.Si mama wala baba yake hiyo CCM.
-alienda mbali akatuletea uhalisia(siyo utunzi)wa nchi kimaandishi jinsi nchi ilivyokua imeharibika kimifumo/kuoza.Kitabu kikazua taharuki.
-jumlisha na hotuba mbalimbali za kuasa na kujuta.
Kazi ikabaki kwetu kusuka twende kilioni au butus!
Alikiri baada kung'atuka na kuona Rafiki yake Nicolai Caucescu wa Romania akiuwawa kinyama.Siyo kweli mkuu. Kuhusu UJAMAA alikiri kuwa alikosea lakini kujitegemea alikataa kwa argument kwamba ni nani hataki KUJITEGEMEA hapa duniani.
Huwezi kuliingiza Taifa CHANGA kwenye SIASA za KUJITEGEMEA ndio maana Watanzania tulitembea UCHI na kutembea BILA VIATU.Yule mzee alikua anakiri kukwama dhahiri kabisa.Ni kwamba tulishindwa kumuelewa na kuchukua hatua muhimu.
Hili ndilo jambo baya sana alilolifanya Nyerere.Na akatukosea sana kwa kuiua Tanganyika yetu
Hiyo ni changamoto.Yule mzee ilitakiwa kumsikiliza kwa umakini na utulivu ndiyo ung'amue jambo.Alikua anaongea kimamlaka,kiualimu,kama mzazi na kama mwanume wa kiafrika/baba.Asingeweza kusimama(hata kama angekaa)na kutuambia ..."mimi yamenishinda kabisa.Anzeni upya siyo ujinga"...!Isingwezekana hilo.Akili kumutwe.Umeliweka vizuri sana mkuu Moisemusajiografii tatizo vijana hawasomi wanaishia kuandika vitu wasivyo na uelewa navyo
Bado hujajibu swali langu,zaidi ya kunishambulia.ni kweli nilipata utapiamlo, siyo mimi tu tulikuwa watoto wengi sana wenye utapiamloMiaka yote hii umekuwa mtu mzima; na sijui kama hata shule ulikwenda, bado hata akili ya kutafuta taarifa mwenyewe huna?
Unaeleza umezaliwa miaka ya 1970. Sasa wewe kama mtoto hayo mambo uliyajuaje?
Tueleze ulipata utapia mlo ndiyo maana akili yako ikadumaa kiasi hiki?
Ni waTanzania wangapi walikufa njaa wakati huo, unajuwa? Je, Ethiopia na hapo Kenya, nako Nyerere aliwanyima chakula watu wa huko waliokuwa wakifa kwa njaa?
Sidhani kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Juliasi Kambarage Nyerere alikuwa Mjinga,bali alifanya makosa mengi tu na mazuri mengi tu.NYERERE ni mjinga sana
Ni mjinga mmoja hamna mazuri yeyote aliyofanya halafu huyo ni baba Yako peke yakoSidhani kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Juliasi Kambarage Nyerere alikuwa Mjinga,bali alifanya makosa mengi tu na mazuri mengi tu.
Wakati yuko Madarakani alisema "hageuki nyuma akigeuka atageuka Jiwe"hapo ni wakati alikuwa kwenye 'Power' akaja kukiri kuwa alikosea baada kugive up Power huoni shida iliyopo?!Siogopi kulamba miguu ya Nyerere kwa kuwa mchango wake ndiyo umejenga nchi yetu ambayo leo kiuchumi ni moja ya nchi 10 zenye GDP kubwa katika bara la Afrika. Pili amejenga taifa ambalo liko stable kisiasa na ni kimbilio la nchi majirani wote wanapogombana.
I am a proud Tanzanian πΉπΏ, you can perish
Sawa mkuu, kimsingi umeniunga mkono kuwa alikiri kuwa alikosea
Nyerere ni Baba wa Taifa wa Tanzania kasoro wewe mrundi ChristopherPaul15 , unaruhusiwa kumtukana unavyotaka.Ni mjinga mmoja hamna mazuri yeyote aliyofanya halafu huyo ni baba Yako peke yako
π π πBBa
Bado hujajibu swali langu,zaidi ya kunishambulia.ni kweli nilipata utapiamlo, siyo mimi tu tulikuwa watoto wengi sana wenye utapiamlo