Wenzetu wanachukulia vingine..ila huku waswahili tayari washakariri wanaona hio mitandao kama madanguro.kila mwanamke anaonekana anadanga ama kujiuza huko sababu ya wachache wanajiuza
Situmiagi hayo ma app ila kama una Nia njema we kama mwanaume mfate mwanamke uanze nae urafiki..sio mwanamke akufate wewe.wanawake ndo wanafatwa