Nauliza swali kuhusu uumbaji

Nauliza swali kuhusu uumbaji

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,838
Reaction score
25,282
Mimi nina swali, hapo mwanzo Mungu aliumba vitu, viumbe na Hawa na Adam, haya sasa kwanini hadi wazungu waje kutuonyesha dini sahihi na huku Dunia ilishaumbwa, mbona hakujitokeza kabla ni baada ya wazungu kutuambia yupo??🤦
 
Mi naswali hapo mwanzo Mungu alitumbaa vitu,viumbe na Hawa na Adam , haya Sasa kwanini hadi wazungu waje kutuonyesha dini sahihi na huku Dunia ilishaumbwa mbona hakujitokeza kabla ni baada ya wazungu kutuambia yupo??🤦
Wazungu hawajui dini? Mambo ya dini wazungu sio asili yao, wao wenyewe waliletewa tu, wakafanya ukarabati wanavyotaka wao ionekane machoni mwa watu, halafu nd wakaanza kuisambaza. Ukitaka kujua dini, tembelea nchi zenye asili ya Dini, nchi zenye chimbuko na asili ya Mitume unayoiamini wewe.(nikiongelea Mitume siongelei kina mwamposa na wenzake wanaojipachika utume na unabii) nadhani umenielewa.
 
Kuna jambo umekaririshwa vibaya, hakuna mwenye hatimiliki ya imani
 
Miongoni wa walioamini tokea mwanzo ni Simon negro huyu alikuwa mwafrika na aliambatana na mitume
 
Mimi ntasoma comment tu sitajib kitu kwasbb mumeuliza kwa upande wa wakristu. Kwaio ni uwanja ni wenu
 
Yesu alisema wazi kuwa watu kutoka nchi za kusini, nchi za mbali watawatangulia wayahudi
 
Wazungu hawajui dini ? Mambo ya dini wazungu sio asili yao, wao wenyewe waliletewa tu, wakafanya ukarabati wanavotaka wao ionekane machoni mwa watu, alaf nd waka anza kuisambaza. Ukitaka kujua dini, tembelea nchi zenye asili ya Dini, nchi zenye chimbuko na asili ya Mitume unayoiamini wewe.(nikiongelea Mitume siongelei kina mwamposa na wenzake wanaojipachika utume na unabii) nadhani umenielewa.
Well said!!
 
Back
Top Bottom