Nauliza swali kuhusu uumbaji

Nauliza swali kuhusu uumbaji

Wazungu hawajui dini ? Mambo ya dini wazungu sio asili yao, wao wenyewe waliletewa tu, wakafanya ukarabati wanavotaka wao ionekane machoni mwa watu, alaf nd waka anza kuisambaza. Ukitaka kujua dini, tembelea nchi zenye asili ya Dini, nchi zenye chimbuko na asili ya Mitume unayoiamini wewe.(nikiongelea Mitume siongelei kina mwamposa na wenzake wanaojipachika utume na unabii) nadhani umenielewa.
Big no. Mwanadamu yeyote ana asili ya dini (religiosity ). Swali ni dini gani. Wazungu waliupokea Ukristo na kwa upande mkubwa wameupreserve hadi ktk hali yake ya sasa. Nevertheless umevaa nguo za kizungu kwa sababu everything has to be understood in context. Hata Mungu alijifunua ktk context ya watu ndio aeleweke. Ilivyomtokea Musa aliongea Hebrew. Yesu pia alilelewa na kukua na kuhuburi ktk context ya Uyahudini. Wazungu pia wana haki ya kuwa context yao bila kudistort central message. Mf. Bible inasema tuwaheshimu baba na mama. Haijasema kwa namna gani. So inabaki kwa kila watu na mazingira yao kujua namna ya kuexpress heshima depending on their traditions(sio kila Mila zinapingana na imani. )
 
Mleta mada ameuliza swali la msingi ila wengi wenu mnamkejeli.

Niweke hivi.

Kama hapo mwanzo sisi jamii za kiafrika hatukua na dini hizi za ukristu na uislam mpaka baada ya kuja wamisionari chini ya miaka 300 iliyopita na waarabu miaka kadhaa pia iliyopita.

Je hizi story za Adam na Hawa na Yesu na mambo mengine yasiyoeleweka tunayaamini vipi? Mababu zetu haya mambo hawakuwa nayo yamekuja miaka ya juzi tu hapa lakini kuna watu mnashupaza shingo hamtaki kuambiwa tayari vichwa vimeshagandishwa.

Think Out of the Box People.
Hata Mambo ya akina Isaac Newton unayaamini pia na umeletew kwann usiamini sayansi ya hao mababu unaowasemea?
 
Imani lazima iathiriwe na mazingira ya eneo husika ndugu,hata wakristo wa mbeya utaona wanaotofauti na WA knjro na WA bukoba
 
Asante... siwezi kulala muda huu ndio kwanza nipo kazini ,kwasasa shule tumeawachia nyie maana hata humu JF ni shule hasa ukiwa MEMBER huyajui mengineyo...
😅😅😅dogo unazani Mimi mgeni humu?unajidanganya.
 
Mleta mada ameuliza swali la msingi ila wengi wenu mnamkejeli.

Niweke hivi.

Kama hapo mwanzo sisi jamii za kiafrika hatukua na dini hizi za ukristu na uislam mpaka baada ya kuja wamisionari chini ya miaka 300 iliyopita na waarabu miaka kadhaa pia iliyopita.

Je hizi story za Adam na Hawa na Yesu na mambo mengine yasiyoeleweka tunayaamini vipi? Mababu zetu haya mambo hawakuwa nayo yamekuja miaka ya juzi tu hapa lakini kuna watu mnashupaza shingo hamtaki kuambiwa tayari vichwa vimeshagandishwa.

Think Out of the Box People.
Nilitaka nikuite wewe unisaidie hili
 
Nakue.lewa. Ila bado swali lipo pale pale
Mkuu swali gani Tena? Mbona Vitu vipo wazi hivi? Baada ya Israel kumkataa masihi ilibidi injili isambazwe duniani kote, wayahudi wakapeleka kwa Wazungu then wazungu kwetu sisi.
 
Back
Top Bottom