Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Atheist ni niniAtheist wanakuchanganya,the bible is spiritual book,it's not material as you think
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atheist ni niniAtheist wanakuchanganya,the bible is spiritual book,it's not material as you think
Big no. Mwanadamu yeyote ana asili ya dini (religiosity ). Swali ni dini gani. Wazungu waliupokea Ukristo na kwa upande mkubwa wameupreserve hadi ktk hali yake ya sasa. Nevertheless umevaa nguo za kizungu kwa sababu everything has to be understood in context. Hata Mungu alijifunua ktk context ya watu ndio aeleweke. Ilivyomtokea Musa aliongea Hebrew. Yesu pia alilelewa na kukua na kuhuburi ktk context ya Uyahudini. Wazungu pia wana haki ya kuwa context yao bila kudistort central message. Mf. Bible inasema tuwaheshimu baba na mama. Haijasema kwa namna gani. So inabaki kwa kila watu na mazingira yao kujua namna ya kuexpress heshima depending on their traditions(sio kila Mila zinapingana na imani. )Wazungu hawajui dini ? Mambo ya dini wazungu sio asili yao, wao wenyewe waliletewa tu, wakafanya ukarabati wanavotaka wao ionekane machoni mwa watu, alaf nd waka anza kuisambaza. Ukitaka kujua dini, tembelea nchi zenye asili ya Dini, nchi zenye chimbuko na asili ya Mitume unayoiamini wewe.(nikiongelea Mitume siongelei kina mwamposa na wenzake wanaojipachika utume na unabii) nadhani umenielewa.
Kwahiyo umeamua kumuongezea tena matusi mengine?sija kutusi njoo bhana kunakitu nikuelekeze.wee ni binti mzuri sana sawa ee mrembo?
tulia dogo...Kwahiyo umeamua kumuongezea tena matusi mengine?
Hata Mambo ya akina Isaac Newton unayaamini pia na umeletew kwann usiamini sayansi ya hao mababu unaowasemea?Mleta mada ameuliza swali la msingi ila wengi wenu mnamkejeli.
Niweke hivi.
Kama hapo mwanzo sisi jamii za kiafrika hatukua na dini hizi za ukristu na uislam mpaka baada ya kuja wamisionari chini ya miaka 300 iliyopita na waarabu miaka kadhaa pia iliyopita.
Je hizi story za Adam na Hawa na Yesu na mambo mengine yasiyoeleweka tunayaamini vipi? Mababu zetu haya mambo hawakuwa nayo yamekuja miaka ya juzi tu hapa lakini kuna watu mnashupaza shingo hamtaki kuambiwa tayari vichwa vimeshagandishwa.
Think Out of the Box People.
Sawa endelea kujipumbaza... mpaka akili ikikuaa sawa utaelewa wewe MEMBER sawa?tulia dogo...
dogo lala mapema kesho shule..Sawa endelea kujipumbaza... mpaka akili ikikuaa sawa utaelewa wewe MEMBER sawa?
Asante... siwezi kulala muda huu ndio kwanza nipo kazini ,kwasasa shule tumeawachia nyie maana hata humu JF ni shule hasa ukiwa MEMBER huyajui mengineyo...dogo lala mapema kesho shule..
😅😅😅dogo unazani Mimi mgeni humu?unajidanganya.Asante... siwezi kulala muda huu ndio kwanza nipo kazini ,kwasasa shule tumeawachia nyie maana hata humu JF ni shule hasa ukiwa MEMBER huyajui mengineyo...
Umekuja penyewe wewe ndiye Popoma haswaa..😅😅😅dogo unazani Mimi mgeni humu?unajidanganya.
Nakue.lewa. Ila bado swali lipo pale paleYeah ndo haohao.. Paulo alitembelea maeneo Kama Spain,Italy,turkey nk kusambaza injili
😅😅😅Bado umfinyu wa mawazo, kwaheri👐Umekuja penyewe wewe ndiye Popoma haswaa..
Nilitaka nikuite wewe unisaidie hiliMleta mada ameuliza swali la msingi ila wengi wenu mnamkejeli.
Niweke hivi.
Kama hapo mwanzo sisi jamii za kiafrika hatukua na dini hizi za ukristu na uislam mpaka baada ya kuja wamisionari chini ya miaka 300 iliyopita na waarabu miaka kadhaa pia iliyopita.
Je hizi story za Adam na Hawa na Yesu na mambo mengine yasiyoeleweka tunayaamini vipi? Mababu zetu haya mambo hawakuwa nayo yamekuja miaka ya juzi tu hapa lakini kuna watu mnashupaza shingo hamtaki kuambiwa tayari vichwa vimeshagandishwa.
Think Out of the Box People.
Ndio upunguze uvulana wako, ikibidi peleka huko huko Facebook kwenu...😅😅😅bado umfinyu wamawazo.kwaheri👐
Mkuu swali gani Tena? Mbona Vitu vipo wazi hivi? Baada ya Israel kumkataa masihi ilibidi injili isambazwe duniani kote, wayahudi wakapeleka kwa Wazungu then wazungu kwetu sisi.Nakue.lewa. Ila bado swali lipo pale pale
Dogo mbona unafosi kuchat na Mimi? Unataka nikutongoze wewe au? Lala mbeleNdio upunguze uvulana wako ,ikibidi peleka huko huko Facebook kwenu...
Ngoja nikupuuze tuu...dogo mbona unafosi kuchat na Mimi?unataka nikutongoze wewe au?lala mbele
Ndio nilichokuwa nataka hicho kwaheri expart memberNgoja nikupuuze tuu...