Nauliza swali kuhusu uumbaji

Nauliza swali kuhusu uumbaji

Mi naswali hapo mwanzo Mungu alitumbaa vitu, viumbe na Hawa na Adam, haya Sasa kwanini hadi wazungu waje kutuonyesha dini sahihi na huku Dunia ilishaumbwa mbona hakujitokeza kabla ni baada ya wazungu kutuambia yupo??🤦
Ushapigwa cha jioni? Tuanzie hapo kwanza
 
Wazungu wengi ni wapsgani nyakati hizi
Cycle ya wazungu hasa wakristo inachekesha sana, mie mie nmekaa nao America na UK ila nikashia kuona hawa jamaa sio kabisa.

Yaan akiwa mdogo anaamini dini na anakua churchboy, wengine wanakua hadi waimba kwaya. Wakishakua watu wazima, I mean wakivuka 18 wanaanza kuamini sayansi na tech, wanaanza kutumia madude mbalimbali kuboost efficiency zao kazini na masomoni na utakuta wengine wanakua illuminati kisa hicho. Wakizeeka tena wanakua hopeless na wanaanza kujaa makanisani au kufanya charity works kupitiliza
 
Creation story is a myth with a religious meaning. Ukiisoma literally utaingia chaka. Adam and Eve are not historical figures but symbols of first humans.
 
Mleta mada ameuliza swali la msingi ila wengi wenu mnamkejeli.

Niweke hivi.

Kama hapo mwanzo sisi jamii za kiafrika hatukua na dini hizi za ukristu na uislam mpaka baada ya kuja wamisionari chini ya miaka 300 iliyopita na waarabu miaka kadhaa pia iliyopita.

Je hizi story za Adam na Hawa na Yesu na mambo mengine yasiyoeleweka tunayaamini vipi? Mababu zetu haya mambo hawakuwa nayo yamekuja miaka ya juzi tu hapa lakini kuna watu mnashupaza shingo hamtaki kuambiwa tayari vichwa vimeshagandishwa.

Think Out of the Box People.
 
Hizi dini ni tamaduni za watu/Eneo au mahali fulani.

Fikiria Kanisa la Roma na ufikirie mji wa Roma/Hispania. Hapa padri humkuti katokea Misri/Iran au nchi ya uarabu.

Waswidishi na uswideni

Uislamic na Uarabu

Fuatilia hata Sabbath pia..

Unachokiamini ndio dini yako! 🙌
 
Wazungu hizi hazikuwa imani zao za asili, na wenyewe walikuwa kama waafrika
 
Mi naswali hapo mwanzo Mungu alitumbaa vitu, viumbe na Hawa na Adam, haya Sasa kwanini hadi wazungu waje kutuonyesha dini sahihi na huku Dunia ilishaumbwa mbona hakujitokeza kabla ni baada ya wazungu kutuambia yupo??🤦
Hata wazungu walimjua kuptia wayahudi! MUNGU alikusudia iwe hivyo mkuu Yani tumjue kupitia hao
 
From judaism tukapata ukristo then ukaja ukatoliki, then hapo ukatokea uislamu na uprotedtant
 
Back
Top Bottom