Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wazungu hawajui dini? Mambo ya dini wazungu sio asili yao, wao wenyewe waliletewa tu, wakafanya ukarabati wanavyotaka wao ionekane machoni mwa watu, halafu nd wakaanza kuisambaza. Ukitaka kujua dini, tembelea nchi zenye asili ya Dini, nchi zenye chimbuko na asili ya Mitume unayoiamini wewe.(nikiongelea Mitume siongelei kina mwamposa na wenzake wanaojipachika utume na unabii) nadhani umenielewa.Mi naswali hapo mwanzo Mungu alitumbaa vitu,viumbe na Hawa na Adam , haya Sasa kwanini hadi wazungu waje kutuonyesha dini sahihi na huku Dunia ilishaumbwa mbona hakujitokeza kabla ni baada ya wazungu kutuambia yupo??🤦
AlwysKipa katoka
Ni kweliHaya mambo majibu yake ni ngumu sana kupatikana
Mbona walipokuja ndio makanisa yakaanza kujengwaKuna jambo umekaririshwa vibaya,hakuna mwenye hatimiliki ya imani
Well said!!Wazungu hawajui dini ? Mambo ya dini wazungu sio asili yao, wao wenyewe waliletewa tu, wakafanya ukarabati wanavotaka wao ionekane machoni mwa watu, alaf nd waka anza kuisambaza. Ukitaka kujua dini, tembelea nchi zenye asili ya Dini, nchi zenye chimbuko na asili ya Mitume unayoiamini wewe.(nikiongelea Mitume siongelei kina mwamposa na wenzake wanaojipachika utume na unabii) nadhani umenielewa.